inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Uislam upo tangu Adam, huko Abyssinia ndiyo wapi!?Hapana uislamu ulianzia abbysinia Africa kupindi cha mtume mwenyewe hata kabla ya Egypt Syria Iraq nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam upo tangu Adam, huko Abyssinia ndiyo wapi!?Hapana uislamu ulianzia abbysinia Africa kupindi cha mtume mwenyewe hata kabla ya Egypt Syria Iraq nk.
Kutosherehekea sikukuu zako za kipagani ndiyo chuki!? Utataka Nile mpaka nguruwe ili nikuoneshe upendo, huko Ireland wamepigana na kuchinjana Sana kisa dini, ndiyo mafundisho ya ukiristo!?..ndiyo upendo huo!?..Hispania wamelipuana Sana mabomu, Botswana watu wameuawa Sana na wakoloniKama Wakristo wangekuwa na roho mbaya na ya kisasi kama waislamu, dunia ingekuwa imejaa mchafuko kila mahali. Sijui hawa wanaitarajia pepo ya nani maana wanayofanya na kuyaamini hayana punje ya upendo anaoutaka Mungu kati yetu.
Anyway, Waislamu wao kwa wao hawapendani, wanachinjana kila siku (Angalia mifano Mashariki ya kati). Vurugu na chuki ndio mafundisho yao. Hivyo tusitarajie watawapenda wasio waislamu!
Wao ndio waseme, sio wewe useme. Inawezekana kwa mujibu wa imani yao, hao unaosherehekea nao ndio makanjanjaHao sio waislam hao ni makajanja.
Nipo naishi na waislam tunasherekea vzr tu
Pole. Ndio maana hamjielewi maana hata historia ya imani yenu hamuijui kwa hiyo mmekariri kila kitu bla kuhoji. Kwa taarifa yako Uislamu umeanza karne ya 15 baada ya Kristo.Uislam upo tangu Adam,huko Abyssinia ndiyo wapi!?
😂😂😂😂😂Hawa jamaa wakikisia jina Yesu wanalipuka
Hahahaaa ati Karne ya 15 baada ya kristo!!..itakua shuleni walinidanganya,Kama unamaanisha utume wa Muhammad ni kazaliwa 570AD kafariki 633AD,Karne Moja Ina miaka mia,Karne 15 itakua ni miaka 1500 baadae,unamaanisha mtume alikuwepo mwaka 1500 wakati wareno wanachukua watumwa Congo na wakaja mpaka kilwa!?Pole. Ndio maana hamjielewi maana hata historia ya imani yenu hamuijui kwa hiyo mmekariri kila kitu bla kuhoji. Kwa taarifa yako Uislamu umeanza karne ya 15 baada ya Kristo.
Na haiwezekani tukaishi hivyo mkuu, sisi tuna miiko na taratibu zetu na itabaki hivyo mpaka kufa.Nimependa ujumbe kwenye picha ya Mo Salah and family, nimetamani tungekuwa tunaishi hivi na waislamu wote. Inapendeza.View attachment 2457758
Ethiopia.Uislam upo tangu Adam,huko Abyssinia ndiyo wapi!?
Na wewe anaeongea ulizaliwa ukiwa muislamu umekuja kubadilishwa dini na wazazi wako au upuuzi wako mwenyewe ukuwa mkubwa, intabidi urudi katika dini ya asiri yako IslamPole. Ndio maana hamjielewi maana hata historia ya imani yenu hamuijui kwa hiyo mmekariri kila kitu bla kuhoji. Kwa taarifa yako Uislamu umeanza karne ya 15 baada ya Kristo.
Namzingua, maana ni mtupu, anadai Muhammad saw alikuwepe Karne ya 15!!Ethiopia.
Vipi kuhusu wahindi na miungu yao?Nimesha kwambia uislamu ilikuja ukakuta waarabu wana dini zao za kuabudu masanamu ina maana hata wao huo uislamu waliupokea kama sisi tulivyo upokea ,masuala ya kusema sijui waarabu ndo wenye uislam ni ufinyu wa akili na ni hoja zinazo kuzwa na wapumbavu.
Na unacho takiwa kujua ni kuwa waarabu ni asilimia 20 tu ya waislam ulimwenguni.
Ukraine na Urusi ambao sasa hivi wapo wana uawa kama kuku na ni waislam?Kama Wakristo wangekuwa na roho mbaya na ya kisasi kama waislamu, dunia ingekuwa imejaa mchafuko kila mahali. Sijui hawa wanaitarajia pepo ya nani maana wanayofanya na kuyaamini hayana punje ya upendo anaoutaka Mungu kati yetu.
Anyway, Waislamu wao kwa wao hawapendani, wanachinjana kila siku (Angalia mifano Mashariki ya kati). Vurugu na chuki ndio mafundisho yao. Hivyo tusitarajie watawapenda wasio waislamu!
Rudi shule.Ukraine na Urusi ambao sasa hivi wapo wana uawa kama kuku na ni waislam?
Rwanda walipo uana napo ni waislam?
Hapo DRC ambao sasa wanauwana nao ni waislam?
Unataka waislam wakupende hali ya kuwa ww unawachukia?
Hapa pwani ya afrika mashariki tu uislamu umeingia zaidi ya miaka 1000 iliyopita.Namzingua,maana ni mtupu,anadai Muhammad saw alikuwepe Karne ya 15!!
Waliomshambulia wanawakilisha waislam wote. Yaani wanawakilisha tabia halisi ya waislam wote walivyo na ubinafsi na roho mbayaSalah ni mwislamu na wanaomshambulia ni baadhi ya waislam so vizuri kuwajumuisha waislam wore Kwa ujinga wa wachache
Ibn batutta anapita kilwa 1330 anakuta watu waislam kitamboHapa tanzania tu uislamu umeingia zaidi ya miaka 1000 iliyopita.