Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Hao waislam unao taka wakupende na kukuheshimu je ww unawapenda na kuwaheshimu?
Wewe unaonekana mbishi hatari, kuna mambo mawili hapa, huenda unaijua sana dini au huijui kabisa.

Na possibility ya kutoijua ni kubwa maana watu wanaojua huwa si waongeaji sana.

Katika comment yangu Mimi sijataka niheshimiwe wala nipendwe, rudia kusoma uelewe kusudi langu.
 
Yani uislam ni chuki chuki chuki chuki chuki tuuuuuu hii dini basi tuuuu.
Na chuki siku zote humchoma anaehifadhi, kuna jamaa juzi wanajiita mashehe wa Dar slam wameenda kwa kwa anejiita nabii Mkuu , acha jamaa sasa walivyo washa moto utadhani wakristo wote tumehusika. Hah ha 😂
 
Uislam ndo ulivyo ni haram kusherehekea Christmas na hata mwaka mpya huu wa kesho kutwa.
Hiyo ndo Iman ilivyo hakuna kitakacho weza kubadilisha Imani ya waislam usipokubaliana na hiyo hali utaumia hadi siku unaingia kaburin ila hutawahi kuona wakipenda labda kwa wachache ambao wamekiuka mafundisho.

Ni kama ilivyo kwa wakristo ambao hawasherehekei siku ya Eid
Washerekee wasisherekee ila Hadi simu zao zitabadili tareh siku hio😀😀😀

Sasa wakaandike huo mwaka wao wa 1700s shuleni aumakazini
 
Katika jambo ambalo nimepambana nalo kwenye familia yangu na nashukuru Mungu nimefanikiwa ni kusherehekea Christmas na pasaka nashukuru mpaka wanangu wamezoea hawaulizii pilau na wala hawana shobo nalo, nguvu nyingi nazielekeza kwenye sikukuu ya Eid nahakikisha wanafurahi sana
 
Washerekee wasisherekee ila Hadi simu zao zitabadili tareh siku hio😀😀😀

Sasa wakaandike huo mwaka wao wa 1700s shuleni aumakazini
Ndo maana hizo tarehe kutokuwepo makazini haijabadili Imani yao ya kutokuamini sherehe za Christmas kwahiyo watu wakubaliane na hali hakuna kitakacho badili Imani ya waislam hata dunia nzima ibadilishwe taratibu zake ila waislam watabaki na taratibu zao
 
Katika jambo ambalo nimepambana nalo kwenye familia yangu na nashukuru Mungu nimefanikiwa ni kusherehekea Christmas na pasaka nashukuru mpaka wanangu wamezoea hawaulizii pilau na wala hawana shobo nalo, nguvu nyingi nazielekeza kwenye sikukuu ya Eid nahakikisha wanafurahi sana
Unaandika kama unafukuzwa.
 
Mo Salah ana influence, kitendo chake cha kusherehekea sikukuu zenye asili ya kipagani anaweza kupoteza wengi. Bora akumbushwe
 
Mo Salah ana influence, kitendo chake cha kusherehekea sikukuu zenye asili ya kipagani anaweza kupoteza wengi. Bora akumbushwe
Mo Salah ni mgalatia, hata asemwe vipi ye anacheka anapenda kuona waislam wakitokwa na mapovu mitandaoni karibu miaka minne mfululizo ye anapost tu

Huwa najiuliza kule Egypt kwanini hawamchinji wanamlea tu

FB_IMG_1671982259741.jpg
FB_IMG_1671982264367.jpg
FB_IMG_1671982268846.jpg
FB_IMG_1671982052908.jpg
FB_IMG_1671982271997.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_1671982264367.jpg
    FB_IMG_1671982264367.jpg
    69.3 KB · Views: 4
Mo Salah ana influence, kitendo chake cha kusherehekea sikukuu zenye asili ya kipagani anaweza kupoteza wengi. Bora akumbushwe
Kweli mkuu mbona mambo ya muziki pia ni ya kipagani sijaona watu wakimponda Nassib Abdul au sababu alijenga msikiti

Kina Ali Kiba wamesoma madrasa au kina Haji Manara si ndo au wapo kwenye kampuni za kamari na miziki na ndo zinawapa pesa kufuturisha watu ramadhan au mkuu hao hawana influence ?
 
Yeah, mtoa uzi labda hajui kuwa kupost hivyo ni hulka ha Mo Salah kila mwaka kipindi kama hiki... Huwa hajali hizo comments za waislamu radicals. Nadhani anataka kufikisha ujumbe kuwa 'hapangiwi'.
Mkuu kweli sijui ila nafahamu, all to all mosalah ni international public figure na anajitambua hivyo kutokana na mshauri wake kumpa elimu na hata mwenyewe kuwa muislam anayejitambua.

Mfano, tembela page ya Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi, amewatakia wakristo wote sikukuu njema.

Aya hapo chini angalia comments za ndg waislam, ndipo unaweza kuelewa nini maana ya kujua na kufaham!.
 
Uyo mtu ni wakimataifa, ilo sio ajabu, ajabu ni pale angeutangaza ushoga ndio mbaya zaid
 
Mbona mastaa wa kikristo bongo wakiWish Siku ya Eid hakuna wachungaji wanabonga. waislam mnachuki kutoka kwa mudi totali
 
Back
Top Bottom