Kwa hiyo Akili Za Mo Salah Kuwatakia Wakristo heri ya Sikukuu ya Christmass kapewa na nani?!Akili za kutengeneza hizo smartphone wamepewa na NANI?
Soma Aya ya 3.
Sisi wote tumeumbwa na KUPEWA akili na MUNGU MMOJA.View attachment 1663436
Kwa hiyo Akili Za Mo Salah Kuwatakia Wakristo heri ya Sikukuu ya Christmass kapewa na nani?!
Hatari, nilitaka kushangaa mwarab bila kuwa na mabomu ni sawa na Mchagga kutokuwa mwizi/tapeli.kwenye mti
muislam wa kweli hatumii vitu vya kafiri.hata simu na magari ya makafiri usipande achana na kula ubwabwa wa kafiri.
mko ulimwengu unaoongozwa kikafiri,una ukafiri ndani yake.mnavimba mashavu tu kama panya badala ya kuhama mkaishi akhera,acheni kumfanya mungu kiazi kama nyinyi.
Ndio maana mimi nasema kuwa maadui wa Mtume muhammad wengi ni hawa hawa waislamu wanakuwa hawajui tu.Kuvaa kanzu fupi ni sunnah sheikh
Kama jirani yako mkristo hana kawaida ya kukuletea chakula hawezi kukuletea chakula hata krismass.Tatizo lenu mnataka muongopewe, uislam hauna ushirikiano na dini ingine yoyote linapokuja suala la ibada, sasa wewe unapika ubwbwa unasherehekea kuzaliwa yesu ambaye nyie mnamuita mungu alafi sisi waislamu iman yetu ni kwamba Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hana mtoto alafu unataka tujumuike pamoja tule ubwabwa kwa ushirikiano upi? Wanafiq ni nyie mkiwa ndani mnaonesha chuki zenu mkija jukwaani mnataka umoja. Hilo halipo na halitakaa litokee kwa muislam wa kweli anayeijui dini yake.
Ndio maana mimi nasema kuwa maadui wa Mtume muhammad wengi ni hawa hawa waislamu wanakuwa hawajui tu.
Wanabeza kanzu fupi wanadhani wanawabeza wavaaji kumbe wanabeza sunna na kuzitia sifa chafu.
Wanabeza wafuga ndevu
Kama jirani yako mkristo hana kawaida ya kukuletea chakula hawezi kukuletea chakula hata krismass.
Lakini kama jirani yako mkristo anakawaida ya kukuletea chakula siku za kawaida mnaishi kwa munaasaba huo alafu krismass anakuletea chakula kwa nini usile wakati yeye anafanya ni katika ada yake ya kila siku ndugu ?
Mimi nimeishi na jirani mmoja mkristo takriban miaka zaidi ya mitano yule jirani akioika nguruwe haleti anajua itikadi yetu,lakini vyakula vingine vyoote anavyojua ni halali kwetu akipika anatuletea na sisi tunapelekea hayo yalikuwa ni maisha yetu ya kila siku.
Likifika suala la krismass na sikukuu zao wakilete chakula susi tunapokea tunakula kwa roho safi kwa sababu ni ada tayari sio kwamba kinaletwa pale krismass.
Na sisi kupikea kwetu chakula haimaanishi kuwa tunakubali itikadi yao bali inamaanisha tunaendeleza ada yetu ya kila siku.
Na wewe unaepokea huwezi kuhukumiwa kwa nia yake bali utahukumiwa kwa nia yako kwamba jee unapopokea chakula cha krismass kwa jirani yako ambae ndo kawaida yetu kupeana je na wewe unaamini itikadi hiiyo au unapokea kwa sababu ni katika kuendeleza wema ambao mtume wa Allah ametaka tufanyiane ?
Rejea hadithi ya Mtume alivyosisitiza katika kupeana vyakula mpaka akasema kuwa kama mchuzi umepika ni kidogo basi TIA MAJI ILI UPATE KUMPA NA JIRANI.
Yani hapo sio kwamba kama ni kidogo usimpe laa mtume kasisitiza kama ni kidogo ongeza maji upate kumpa jirani yako,hayo ndo maisha kasisitiza mtume wa Allah.
Sasa ukipata jirani wa aina hii mkristo ambae mnaishi kwa uzuri mnakawaida hiyo ya kupesna vyakula pale mnapopika,kwa nini akikupa siku hiyo ya sherehe zao usile wakati ni katika ada yenu ambayo ndani yake unatii sunna ya Mtume kaka.
Ama ikiwa hamuna hiyo kawaida yeye chakula ni sikukuu hadi sikuu una haki ya kukataa,na kule kukataa kwako sio kwamba ukikubalii ati ndo umeikubali itikadi yao laa bali umekikubalii chakula ma sio itikadi yao.
Ndugu kama wewe ni muislam unahitaji upate elimu kuhusu haya masuala, bimaana masihala ya dini hayana rai katika jambo lenye nafsi yaani dalili, sasa unachanganya ujirani na ibada na pia unashindwa kujua namna ya kuhamiliana na jirani ambaye ni kufari, maelezo ni mengi lakin maelezo yako yana makosa mengi yanayohitaji kueleweshwa.
Al akh sawa unasema hakuna rai basi mimi naomba uniambie wapi katika sheria imekatazwa kupokea chakula alichopika mkristo siku ya sikukuu mkristo ambaye huwa mnakawaida ya kupeana chakula siku zingine kama ujirani mwema,wapi dalili ?bimaana masihala ya dini hayana rai
Mtume wa Allah kaamrisha tutendeane wema na majirani ikiwemo kuwapa chakula na mema mengine,hivyo suala la kupeana chakula kwa majirani ni IBADA kwa mujibu wa sheria kwa sababu kuna amri yake rasuul.sasa unachanganya ujirani na ibada na pia
Mtume wa Allah alialikwa chakula na mayahudi ambao sio waislamu,akaenda akala japo haikuwa siku ya sikukuu lakini mtume alihudhuria mwito wa chakula.hii ni kuomesha suala la kupokea chakula lipo katika sheria kwa wasiokuwa waislamu.unashindwa kujua namna ya kuhamiliana na jirani ambaye ni kufari,
Ukiona hivyo kaka basi jua hapo kuna rai kibao na wala sio sheria kwamba imewekwa.maelezo ni mengi
Al akh sawa unasema hakuna rai basi mimi naomba uniambie wapi katika sheria imekatazwa kupokea chakula alichopika mkristo siku ya sikukuu mkristo ambaye huwa mnakawaida ya kupeana chakula siku zingine kama ujirani mwema,wapi dalili ?
Usiniambie kasema mwanachuoni fulani na fulani kwa sababu hiyo pia itakuwa RAI yake na weye wasema dini haina rai.
Mtume wa Allah kaamrisha tutendeane wema na majirani ikiwemo kuwapa chakula na mema mengine,hivyo suala la kupeana chakula kwa majirani ni IBADA kwa mujibu wa sheria kwa sababu kuna amri yake rasuul.
Kwa hiyo ujirani mwema pia ni ibada katika uislamu.
Mtume wa Allah alialikwa chakula na mayahudi ambao sio waislamu,akaenda akala japo haikuwa siku ya sikukuu lakini mtume alihudhuria mwito wa chakula.hii ni kuomesha suala la kupokea chakula lipo katika sheria kwa wasiokuwa waislamu.
Ukiona hivyo kaka basi jua hapo kuna rai kibao na wala sio sheria kwamba imewekwa.
Jambo la dalili kwamba pombe haramu maelezo yake machache tu,zinaa haramu maelezo yake machache tu,tena ije iwe hili ndo kwamba lina maelezo mengi laaaa
Mkuu sisi wakati wa IDD tunaletewa chakula na siku hiyo nyumbani hatupiki kabisa na wakati wa Christmas nasi tunawaandalia chakula jirani zetu ambao mageti yanaangaliana.Al akh sawa unasema hakuna rai basi mimi naomba uniambie wapi katika sheria imekatazwa kupokea chakula alichopika mkristo siku ya sikukuu mkristo ambaye huwa mnakawaida ya kupeana chakula siku zingine kama ujirani mwema,wapi dalili ?
Usiniambie kasema mwanachuoni fulani na fulani kwa sababu hiyo pia itakuwa RAI yake na weye wasema dini haina rai.
Mtume wa Allah kaamrisha tutendeane wema na majirani ikiwemo kuwapa chakula na mema mengine,hivyo suala la kupeana chakula kwa majirani ni IBADA kwa mujibu wa sheria kwa sababu kuna amri yake rasuul.
Kwa hiyo ujirani mwema pia ni ibada katika uislamu.
Mtume wa Allah alialikwa chakula na mayahudi ambao sio waislamu,akaenda akala japo haikuwa siku ya sikukuu lakini mtume alihudhuria mwito wa chakula.hii ni kuomesha suala la kupokea chakula lipo katika sheria kwa wasiokuwa waislamu.
Ukiona hivyo kaka basi jua hapo kuna rai kibao na wala sio sheria kwamba imewekwa.
Jambo la dalili kwamba pombe haramu maelezo yake machache tu,zinaa haramu maelezo yake machache tu,tena ije iwe hili ndo kwamba lina maelezo mengi laaaa
Naam hadithi sahihi,lakini hii hadithi inataka ufafanuzi kwa sababu sio kujifananisha katika ubaya tu bali hata katika wema ukijifananisha na watu basi na wewe ni katika wao KATIKA HILO AMBALO UMEJIFANANISHA NAO.Atakaejifananisha na watu basi yeye ni katika wao]. Na Mtume Muhammad
asisaidie kufanyika kwa sherehe hizi kwa jambo lolote,
Mimi nazungumzia kupokea chakula cha jirani yako ambaye tayari mnayo kawaida hiyo,wewe hujapika kwa ajili ya sikukuu na wala hujafanya jambo lolote la sherehe,yeye ndo kapika anakuletea wewe kama ilivyokuwa kawaida yake,sasa hapo unakuwa umemsaidia jambo gani ambalo uislamu umekataza ?Hivyo basi kushirikiana na Makafiri katika sherehe zao ni sampuli ya kusaidiana katika Maovu na Uadui
Mimi sizungumzii muislamu kujishughulisha na maandalizi ya kusherehekea hilo nina amini ni haramu.Basi inampasa Muumini wa kike na wa kiume kujihadhari na jambo hilo na asisaidie kufanyika kwa sherehe hizi kwa jambo lolote, kwa sababu sherehe hizi ni sherehe ambazo ziko kinyume na sheria ya Mwenyezi Mungu, na wanaozisherehekea ni Maadui wa Mwenyezi Mung hivyo basi haifai kushiriki katika sherehe hizo wala kuwasaidia wenye kusherehekea kwa jambo lolote, sio kwa Chai wala Kahawa wala kwa jambo lolote kama vile vyombo na mfano wake.
Lakini licha ya kuwa mnaletewa chakula cha iddi eti kupokea kwenu chakula cha IDDI ni ishara kwamba mlikuwa mushakubali na kuiamini itikadi ya kiislamu au mlikuwa mnapokea kwa sababu ya nafasi yenu ya ujirani ?Mkuu sisi wakati wa IDD tunaletewa chakula na siku hiyo nyumbani hatupiki kabisa na wakati wa Christmas nasi tunawaandalia chakula jirani zetu ambao mageti yanaangaliana.
Huo utaratibu ulianza zamani kabisa Mimi nikiwa mdogo
Naam hadithi sahihi,lakini hii hadithi inataka ufafanuzi kwa sababu sio kujifananisha katika ubaya tu bali hata katika wema ukijifananisha na watu basi na wewe ni katika wao KATIKA HILO AMBALO UMEJIFANANISHA NAO.
Mathalan leo waislamu tunajifananisha na makafiri kwa kuwa na matv na simu ndani hii haina maana kuwa eti sisi sio waislamu,tunabaki kuwa waislamu lakini hili na kuwa na simu na Tv ndo tunakuwa kama wasiokuwa waislamu na sio kwa ijmaal yake.
Mimi nazungumzia kupokea chakula cha jirani yako ambaye tayari mnayo kawaida hiyo,wewe hujapika kwa ajili ya sikukuu na wala hujafanya jambo lolote la sherehe,yeye ndo kapika anakuletea wewe kama ilivyokuwa kawaida yake,sasa hapo unakuwa umemsaidia jambo gani ambalo uislamu umekataza ?
Kwa sababu dalili ulizotoa zote ni عامة ambazo hazifidishi kwamba kupokea chakula cha kafiri ambaye ni kawaida yenu ati ni haramu.
Hayo yote uliyoyasema ni kuwa muislamu naye akafanya sherehe na maandalizi ya kupika na mambo mengine,lakini muislamu ambaye yeye yupo kawaida hana shangwe ni siku yake ya kawaida kikaletwa chakula na jirani yake mkristo ambaye wana mazoea hayo.
Sijui una hoja gani ya kumkataza huyu muislamu asile chakula hiki ambacho msingi wake ni katika ada zao wenyewe majirani kupeana.
Mimi sizungumzii muislamu kujishughulisha na maandalizi ya kusherehekea hilo nina amini ni haramu.
Mimi nipo na huyu muislamu ambaye yeye hana sherehe wala maandalizi yoyote,kimekuja chakula cha jirani yake mkristo ambaye kila siku huwa anamletea anakula,kwa nini iwe leo asipokee ati kwa sababu ya sikukuu alafu siku zingine apokee.
Sikukuu haimzuwii muislamu huyu kupokea jema atakalofanyiwa na jurani yake huyo.
Wao hata kama wamekusudia krismass wewe ukawa umekusudia ujirani kup0kea chakula kile je kaifiya hiyo itahukumiwa kwa nia ya mkristo ama nia yako wewe muislamu unayepokea ?
Lakini licha ya kuwa mnaletewa chakula cha iddi eti kupokea kwenu chakula cha IDDI ni ishara kwamba mlikuwa mushakubali na kuiamini itikadi ya kiislamu au mlikuwa mnapokea kwa sababu ya nafasi yenu ya ujirani ?
Mimi huwa sijibu kejeli na dharau za watu,ufahamu wangu mdogo sawa,laakin napenda sana kujadili kuliko kutanguliza misimamo ambayo haina tija.Mimi binafsi na ndio sheria tukio lolote linalohusu dini halina ushirikiano na asiye na dini yangu.
Wewe unaekataza ndo ulete dalili.nipe dalili kwa hadithi inayoruhusu wewe kupokea chakula ama zawadi itakanayo na siku ya Christmas kwamba hiyo ni nzuri na inaangalia nia yako wewe mpokeaj
Nataka nikudhihirishie kuwa kupeana vyyakula kwanza sio ishara ya kwamba ati umekubali itikadi yao,mnaweza kupeana vyakula na bado kila mmoja atabaki na itikadi yake.We uelewa wako mdogo sana kwenye suala la dini na ujirani, inaonekana ndio wale wa dini mseto kaaa chini soma dini ndugu usifuate kimkumbomkumbo tu alafu unataka kumuuliza huyo asiyemuumini unadhani atajibu nini? Mimi binafsi na ndio sheria tukio lolote linalohusu dini halina ushirikiano na asiye na dini yangu. Ndio maamrisho ya quran na sunnah na si maoni yako.
Mimi huwa sijibu kejeli na dharau za watu,ufahamu wangu mdogo sawa,laakin napenda sana kujadili kuliko kutanguliza misimamo ambayo haina tija.
Wewe unaekataza ndo ulete dalili.
Asili katika mambo ni kujuzu,ikiwa itajuzu kupokea chakula cha mkristo wakati usiokuwa wa sikukuu,naomba unipe dalili ya kukataa chakula hiko wakati wa sikukuu.
Kwa sababu inafaa kupokea chakula chakula cha huyu huyu mkristo wakati usiokuwa wa sikukuu,basi naomba unipe dalili kuwa eti chakula hiko hakifai kupkea wakati wa sikukuu ?
Kama inajuzu kwangu kupokea wema wa fulani,basi nipe dalili kwamba eti wema ule ule akinifanyia siku ya sikukuu yake haifai kuupokea,lete dalili ya kunikataza mimi kupokea ?
Kwa sababu kupokea wema ni jambo la mubaaha.sasa mubaaha yeyote ile asili yake ni kujuzu.
Nipe wewe dalili ndugu ya kunikataza kupokea wema huu.
Kwasababu ya ujirani mwemaLakini licha ya kuwa mnaletewa chakula cha iddi eti kupokea kwenu chakula cha IDDI ni ishara kwamba mlikuwa mushakubali na kuiamini itikadi ya kiislamu au mlikuwa mnapokea kwa sababu ya nafasi yenu ya ujirani ?
Hakuna katazo la kwamba usishirikiane na makafiri zinapofika sikukuu zao.swali je kwamba unakubali kuna katazo la kutoshorikiana na makafiri katika sikukuu zao?
Ushirikiano ambao utakuwa umenuia kuwasaidia na kujifananisha nao katika sikukuu zao.Jibu kama ndio nielekeze ni aina gani ya ushirikiano au jambo gani ambalo ukilifanya utakuwa ndio umeshirikana nao siku hiyo ya hizo sikuu zao?
Nilishajibu kuwa ushirikiano ambao utakuwa umeutilia nia ya kusapoti sikukuu zao na kujifananisha nao basi huo ndio ushirikiano ambao umekatazwa.Kama jibu hapana naomba dalili ya kuruhusu kushirikiana na makafiri katika sherehe zao
Naam.Kwasababu ya ujirani mwema
Hakuna katazo la kwamba usishirikiane na makafiri zinapofika sikukuu zao.
Amri imekuja kwamba usijifananishe nao,na kujifananisha ni kufanya kama ambavyo wao wanafanya.
Lakini kushirikiana ni tofauti.
Mfano leo ama jana sisi waislamu wauza maduka tufunge,michele tusiuze,nyma tusiuze ati kwa sababu tukiuza vitu hivi wataenda kupika na hapo itakuwa tumejifananisha nao.huu ufahamu sio sahihi.
Kwa hiyo kwa kuweka sawa tu ni kuwa kuna tofauti ya kwamba kushirikiana nao na kujifananisha nao,na amri zimekuja hivyo.
Kujifananisha na mtu ni kuiga mambo yake na pia kufuata mila yake yaani unafata matendo yake.
Sasa katika kushirikiana ni jambo pana sana ambalo halitakiwi kutafsiriwa kwa mujibu wa wewe bali litafsiriwe kwa mujibu wa huyo anayefanya.
Mathala ndugu yangu jana ameuza nguo kuwauzia wakristo na anawajua,ameuza mchele na sukari na nyama kuwauzia wakrsito na anajua kwamba hawa kesho wanaenda kula sikukuu,hii kaifiyyah hutakiwi kumhukumu kwamba eti KAJIFANANISHA NAO AMA KAWASAIDIA KATIKA SIKUKUU ZAO,bali hapo itarudi katika nia ya huyo unayemtuhumu,kama alikusudia kweli kushiriki katika hilo naam ni shida lakini kama yeye hajakusudia basi hutakiwi kumhukumu hivyo.
Ushirikiano ambao utakuwa umenuia kuwasaidia na kujifananisha nao katika sikukuu zao.
Lakini ikiwa haujakusudia kushirikiana nao kisikukuu na kujifananisha nao basi hilo haliitwi ushirikiano.
Mimi krismass naweza kuvaa nguo zangu nzuri tu nikatoka nje alafu wewe unikataze nisivae vizuri ati kwa kuwa leo wakristo wanavaa vizuri hivyo mimi nisijifananishe nao ?
Kwani mimi nimekusudia kujifananisha nao ama nimekusudia mambo yangu tuu jamani.
إن ما الأعمال بالنيات
"Hakika matendo yanahukumiwa kwa nia ya mtu"
Na matendo hayo yanayohukumiwa kwa nia ya mtu ni yale yenye sura ya kujuzu isiyokuwa ya haramu,sio unazini unasema nilikuwa na nia nzuri laa,sio unaiba unasema nilikuwa na nia nzuri laaa.
Bali yale matendo ambayo dhaahir yake yanaonekana hayana uharamu kuyafanya,mfano mtu unaenda kusali sio haramu kusali lakini unasali kwa sababu unataka kuwaibia waislamu,wewe utapata dhambi kwa nia yako na wala sio kwa matendo yako.
Hivyo wewe muislamu siku ya krismass na wewe ukapika wali wako pale safi umeamua kupika alafu Mungu akakuchome moto wakati haukukusudia kuiadhimisha siku hiyo ?
Hii itakuwa Tunamfanya Mungu kwamba hayajui yale ya nafsi zetu kwamba ili akuhukumu basi anaangalia wengine wanafanyaje alafu anakuja kwako wewe kukuhukumu kwa mujibu wa alivyowaona wengine.No No.
Allah anahukumu kwa mtu mmoja mmoja na ndio maana jambo la nia Anayelijua ni Allah pekee na sio mimi na wewe tukaangalia matendo ya nje tukahukumu.
Nimejibu kwa urefu utanisamehe lakini nimeona niandike haya pengine ukapata jambo
Nilishajibu kuwa ushirikiano ambao utakuwa umeutilia nia ya kusapoti sikukuu zao na kujifananisha nao basi huo ndio ushirikiano ambao umekatazwa.
Kwa hiyo huo ushirikiano utaambatana na NIA ya Mfanyaji na wala sio utakavyoona wewe kwa dhaahir yako.
Siku ya sikukuu sio kwamba ni siku special saaaana kwa Allah kwamba eti siku hiyo asiangalie nia ya Mtu badala yake aangalie je anajifananisha vipi na wengine .,sivyo hivyo ndugu.