Merry Christmass from Mo Salah

Wafiraji na wafirwaji namba moja ni Waislam, hata hapa Afrika ya Mashariki wanaofanya hiyo michezo ni waislam wa pwani....ndio mana mnaita mambo ya pwani yakhee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu huko kwenu hadi ndoa za jinsia moja zipo kwenye nyumba za ibada
 
Alizaliwa tarehe 17.rabil awwal
Hakuna kauli ya moja kwa moja kuwa alizaliwa tarehe hiyo.

KUNA KHILAAF juu ya tarehe ya kuzaliwa Mtume Wa Allah.

Mimi naona muislamu anaefanya maulidi asinyanyue mdomo wake kuponda crissmass kabisa kwa sababu na hawa wanamshereheea mtukufu wao kama ambavyo wana maulidi wanamsherehekea Mtume Muhammad.

Sikubaliani na itikadi ya kikristo lakini pia sikubaliani na waislamu ambao wanawananga wakristo kuhusu krismass alafu wao wanafanya maulidi.

Lakini pia kusherehekea krismass sio kumshirikisha Mungu ikiwa kama huamini yale yanayoaminiwa na hao wenye krismass.

Huku ni kuwasaidia watu katika uovu na sio kila uovu ni kufru,ikiwa utaamini kama wanavyoamini wakristo basi naam hiyo ni kufru kwa mujibu wa UISLAMU.


JA WALE waislamu wanaoponda sherehe za mwaka mpya wakati huo huo wanataka watu washerehekee sherehe za mwaka mpya wa kiislamu,huu pia sio uoni mzuri.

Hii terehe mpya na ile ya kiislamu ni mpya kama kusherehekea zisjerehekewe zote na kama kukatazwa zikatazwe zote.

Ndio maana mimi naona kuwa maulidi,krismass,mwaka mya wa kidunia na kiislamu hizi sherehe zote hazina maana kwangu mimi hata hizo za waislamu walizojitungia hazina mpango wowote.
 
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Aliyekwambia dhambi ikifanywa na alikiba inakuwa sio dhambi ni nani?
 
Naona umeongea mengi haya tuambie mtume alizaliwa tarehe ngapi?
 
Naona umeongea mengi haya tuambie mtume alizaliwa tarehe ngapi?
Hakuna tarehe iliyokuwa imekubaliwa na wote.

Muhimu hakuna mwenye uhakika wa tarehe aliyozaliwa kwa sababu tayari kuna mgongano wa watu juu ya tarehe.
 
Hakuna tarehe iliyokuwa imekubaliwa na wote.

Muhimu hakuna mwenye uhakika wa tarehe aliyozaliwa kwa sababu tayari kuna mgongano wa watu juu ya tarehe.
Kwani waislam wanakubaliana nini kabisa katika dini Yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…