Merry Christmass from Mo Salah

Merry Christmass from Mo Salah

Hahahaha na mwaka watausherekea wa makafiri [emoji122][emoji122] makafiri wana akilli sana[emoji3][emoji3]
unafiki ndio dhambi itakayochoma watu wengi siku ya mwisho.

kuliko uzinzi,mauaji,uongo,wizi,nk.

hawa ndugu zetu ni wanafiki sana.
 
We bint huwa unamatatizo gani? Unazani Mo salah ni nani kwenye uislam? Huyo ni binaadam kama wewe nae anamapungufu yake tena hilo alilolifanya ni dogo ukilinganisha na analolifanya kila siku la kusapoti ushoga, ila nikwambie kitu kwenye biblia kuna aya hii" enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye......."
Na kwenye uislam kuna aya hii " hawatokua radhi mayahudi na manaswara hadi mtakapofata mila zao"
 
Wewe ndio huwezi, wenzio wanaweza...kwahiyo Mo Salah sio Muislam?
Aliyekwambia mo salah hawezi kukosea ni nani? Wanakosea mapadri waliopo vatcan kwa kufir. vitoto sembuse mo salah ambae sio kiongozi wa dini yoyote ni mtu tu kama azarel
 
Hahahaha na mwaka watausherekea wa makafiri [emoji122][emoji122] makafiri wana akilli sana[emoji3][emoji3]
Mkuu unafeli wapi? Unadhani ni wakristo wangapi wanazini? Je dhambi ikifanywa na wengi inakuwa sio dhambi tena? Kiigizo chetu ni mtume wetu pekee hao mnaotaka tuwafate qur an haikuagiza tufanye hayo
 
We bint huwa unamatatizo gani? Unazani Mo salah ni nani kwenye uislam? Huyo ni binaadam kama wewe nae anamapungufu yake tena hilo alilolifanya ni dogo ukilinganisha na analolifanya kila siku la kusapoti ushoga, ila nikwambie kitu kwenye biblia kuna aya hii" enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye......."
Na kwenye uislam kuna aya hii " hawatokua radhi mayahudi na manaswara hadi mtakapofata mila zao"
Ok povu lote hili..kosa langu nini?
 
muislam wa kweli hatumii vitu vya kafiri.hata simu na magari ya makafiri usipande achana na kula ubwabwa wa kafiri.

mko ulimwengu unaoongozwa kikafiri,una ukafiri ndani yake.mnavimba mashavu tu kama panya badala ya kuhama mkaishi akhera,acheni kumfanya mungu kiazi kama nyinyi.
Picha ni Haram kwahyo muislam hutakiwi kumiliki smartphone ziaonesha picha,usiangalie movies na wala Muziki kwasababu muziki pia ni haram ingawaje Quran ni wimbo...Uislam unakutaka ufikirie,ule,uvae,uishi kama mwarabu wa karne ya 7 ambaye hajaenda shule.
 
mtu kavimbisha matako kwenye kiti ana tecno lina miziki ya diamond,anang'aka muislam kula pilau sikukuu ya xmas.
 
Mkuu unafeli wapi? Unadhani ni wakristo wangapi wanazini? Je dhambi ikifanywa na wengi inakuwa sio dhambi tena? Kiigizo chetu ni mtume wetu pekee hao mnaotaka tuwafate qur an haikuagiza tufanye hayo
Je Diamond,Ally Kibamia,Mzee Yusuf na wengine ambao ni waislam hawajui kuwa wanachokifanya ni ukafiri? Mkuu acha roho mbaya kwa binadamu wenzio tafuta hela hizi dini ni geresha tu hata MO Salah analijua hilo that's why anaishi na kufanya mambo kwa jinsi inavyo mpendeza yeye
 
Aliyekwambia mo salah hawezi kukosea ni nani? Wanakosea mapadri waliopo vatcan kwa kufir. vitoto sembuse mo salah ambae sio kiongozi wa dini yoyote ni mtu tu kama azarel
Wafiraji na wafirwaji namba moja ni Waislam, hata hapa Afrika ya Mashariki wanaofanya hiyo michezo ni waislam wa pwani....ndio mana mnaita mambo ya pwani yakhee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliyekwambia mo salah hawezi kukosea ni nani? Wanakosea mapadri waliopo vatcan kwa kufir. vitoto sembuse mo salah ambae sio kiongozi wa dini yoyote ni mtu tu kama azarel
Kutwa mwawachezea wake zenu nyuma kisha mwawaachia bikira za mbele na wao hujisifu kuwa bikira....daah vijana wa Mwamedi mnafurahisha jamvi sana
 
Sasa kama papa ali like ile pic ya mlimbwende...sembuse huyo mo salah

Acheni kucomplicate vitu bhna....Imani sio jina la mtu Imani ipo moyoni mwa mtu.
 
Binadamu ni WANAFIKI SANA Mo salah na wanamichezo/wasanii wengi waislam huwa wanatoa misaada mbali mbali kwa makundi yenye uhitaji, pia hujenga misikiti waislam huwa wanawasifia sana na kuwaombea duwa ila wanasahau kuwa hizo ela wanazipata kutoka kwenye makampuni ya betting na vilevi.

Ila hili la kupiga picha kwenye mti wa krismas watu wamevimba mashavu.
 
Kutwa mwawachezea wake zenu nyuma kisha mwawaachia bikira za mbele na wao hujisifu kuwa bikira....daah vijana wa Mwamedi mnafurahisha jamvi sana
Hii ulioandika hapa ni aya ya biblia au?
 
Back
Top Bottom