GE2025 Message sent: Ipo siku nguvu ya umma italeta mabadiliko Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu

Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.

Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.

Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
 
Huyawahi kushuhudia yapi?Vipi naona unaandika huku umekata tamaa.Ulitegemea nini?Keyboard warrior?
 
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu

Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.

Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.

Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya

Kinachonitisha watu hawana uoga wanasogelea gar za polis
 
Kwa tz Bado sana tutaishia hivi hivi kuandika
 
Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu

Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli.

Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha.

Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
Na hili nimewaambia wengi humu wanaobeza kukejeli na dharau, kwa hii hali ingawa ni kama wanajaribu kuandamana ni wake-up call kwa watawala watafakari na kuwasikiliza wananchi nn wanataka!! Hii tabia ya dharau na kuwabeza wananchi ipo cku wataamka jumla, maan woga na hofu vinaanza kutoweka taratibu kwa wananchi!!
 
Back
Top Bottom