Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Hawana makazi maalum hao, ni wavamizi tu.

"King Messi kawaumbua"
Messi kawaumbua au kashinikizwa? Soma habari hiyo vizuri, labda kama hakusafiri to Jerusalem[emoji2] [emoji1]

"Katibu mkuu wa chama cha soka cha Palestina Jibril Rajoub aliuomba uongozi wa chama soka cha argentine kufuta mchezo huo mara moja

Baadhi ya mashabiki wa Messi nchini Palestina walichoma jezi za nyota huyo mara baada ya kikosi hicho kuwasili Jerusalem kwa muda.".

Halafu, hivi inawezekana mtu akose kwao? Yaani awe hana anapo paita nyumbani?
 
Wamefanya hayo kwa sababu ya vitisho. Nje ya vitisho, walipanga kucheza na Israel
Yaani ulinzi wote waliokuwa nao Israel, silaha za kisasa, kweli na wewe unaamini vitisho vya watoto wa palestina vingeweza kudhuru hio mechi? ubalozi wa USA ulipohamishiwa Jerusalem, kuna yooyote Israel alipatwa na majeraha kwa vitisho vya wapalestina?
 
Watu walitishia suala la ubalozi wa USA kuwekwa Jerusalem, na walienda bila woga pamoja na vitisho vyote! iwe Messi mmoja tu? angeachwa nyumbani wakacheza wengine
 
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
 
JF-Expert Member
#56
3 minutes ago

New
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umemjibu vizuri sana, harudi tena.
 
Narudia tena na tena.."Messi Kawaumbua"
 
Ukweli unabaki pale pale kwamba mji mkuu wa taifa la Israeli ni Jerusalem. Period!!!
 
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
Kuna mtu yupo karibu na Israel kama marekani? Je kachukua world cup mara ngapi je mwaka huu yupo russia? Kwanini umeamua kutumia kichwa chako kufugia nywele tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…