Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Hawana makazi maalum hao, ni wavamizi tu.

"King Messi kawaumbua"
Messi kawaumbua au kashinikizwa? Soma habari hiyo vizuri, labda kama hakusafiri to Jerusalem[emoji2] [emoji1]

"Katibu mkuu wa chama cha soka cha Palestina Jibril Rajoub aliuomba uongozi wa chama soka cha argentine kufuta mchezo huo mara moja

Baadhi ya mashabiki wa Messi nchini Palestina walichoma jezi za nyota huyo mara baada ya kikosi hicho kuwasili Jerusalem kwa muda.".

Halafu, hivi inawezekana mtu akose kwao? Yaani awe hana anapo paita nyumbani?
 
Wamefanya hayo kwa sababu ya vitisho. Nje ya vitisho, walipanga kucheza na Israel
Yaani ulinzi wote waliokuwa nao Israel, silaha za kisasa, kweli na wewe unaamini vitisho vya watoto wa palestina vingeweza kudhuru hio mechi? ubalozi wa USA ulipohamishiwa Jerusalem, kuna yooyote Israel alipatwa na majeraha kwa vitisho vya wapalestina?
 
"...Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasiliana na Rasi wa Argentine Mh Mauricio Macri. Netanyahu alimsihi Sana Macri kuwahimiza uongozi na wachezaji kutokufutilia mbali mchezo huo siku ya jumanne. Macri alimjibu waziri huyo kuwa yeye hawezi kuingilia maamuzi ya mwisho ya chama cha soka cha taifa hilo.

Raisi Macri aliwasiliana na uongozi wa chama cha soka kujua msimamo wao. Viongozi walimwambia kuwa kila mchezaji ana hofu na hakuna mchezaji ambaye yupo tayati kucheza pambano hilo. Macri alimpigia simu waziri wa Israel na kumuomba radhi kwamba hakuna mchezaji ambaye atakubali kucheza pambano hilo...".

Soma hapo mkuu. Walipanga pambano, na wakasafiri kwenda uyahudi, wakatishiwa na wapalestina, wakaogopa, wakafuta mchezo kulinda uhai wao.
Watu walitishia suala la ubalozi wa USA kuwekwa Jerusalem, na walienda bila woga pamoja na vitisho vyote! iwe Messi mmoja tu? angeachwa nyumbani wakacheza wengine
 
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
 
JF-Expert Member
#56
3 minutes ago

New
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
 
Bila Messi Argentina ina uwezo gani kucheza Israel?.. Messi ni kama mungu mtu Argentina anaweza amua nani apangwe kikosini nani aachwe!.
Messi alitoa altimatum Icardi aitwe yeye asicheze WC akasikilizwa, Messi alitangaza kustaafu wakampigia magotti abadili maamuzi!. Hiyo ndio nguvu ya Lionel Messi 'La Purga' Argentina.
Lakini nampongeza kuchagua Amani na kutoenda Jerusalem, hao jamaa wakiona imewauma wamfate CR7 kama atakubali kuja cheza Jerusalem.
Kwa Mo Salah ni mbombo ngafu napo😀

😀😀😀😀
 
Yaani ulinzi wote waliokuwa nao Israel, silaha za kisasa, kweli na wewe unaamini vitisho vya watoto wa palestina vingeweza kudhuru hio mechi? ubalozi wa USA ulipohamishiwa Jerusalem, kuna yooyote Israel alipatwa na majeraha kwa vitisho vya wapalestina?

Umemjibu vizuri sana, harudi tena.
 
Messi kawaumbua au kashinikizwa? Soma habari hiyo vizuri, labda kama hakusafiri to Jerusalem[emoji2] [emoji1]

"Katibu mkuu wa chama cha soka cha Palestina Jibril Rajoub aliuomba uongozi wa chama soka cha argentine kufuta mchezo huo mara moja

Baadhi ya mashabiki wa Messi nchini Palestina walichoma jezi za nyota huyo mara baada ya kikosi hicho kuwasili Jerusalem kwa muda.".

Halafu, hivi inawezekana mtu akose kwao? Yaani awe hana anapo paita nyumbani?

Narudia tena na tena.."Messi Kawaumbua"
 
Massive respect
football.newz-20180606-0001.jpg
 
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
Kuna mtu yupo karibu na Israel kama marekani? Je kachukua world cup mara ngapi je mwaka huu yupo russia? Kwanini umeamua kutumia kichwa chako kufugia nywele tu mkuu
 
Back
Top Bottom