Hahaaa myahudi mweusi nakuona..JF-Expert Member
#56
3 minutes ago
New
Israel ni taifa teule: argentina wamebugi kwa kufanya hivyo safari yao ya kombe la dunia wakienda mbali sana mwisho nusu fainali. Hawatoki wamekosa baraka za jerusalem. Tuwasiliane baada ya fainali kuisha.
Ardhi ya israel ni ipi? Mbona husemi kwao ni wapi?Sio muislamu lakini anapiga vita kuonewa wapalestina na kukaliwa ardhi yao kimabavu.
Kwa hiyo uyo Messi ndio amebadilisha nini mpumbavu wewe?!
Nakuona myahudi mweusi unatoka povuKwa hiyo uyo Messi ndio amebadilisha nini mpumbavu wewe?!
Sijui nchi yao zaidi ya hilo wanalodai. Nieleweshe tafadhali nianze kuona ubaya waoJiongeze mwenyewe mkuu. Hilo halihitaji msomi
Ardhi ya israel ni ipi? Mbona husemi kwao ni wapi?
Aliyekataa si Messi pekee, kila mchezaji amepatwa na hofuWatu walitishia suala la ubalozi wa USA kuwekwa Jerusalem, na walienda bila woga pamoja na vitisho vyote! iwe Messi mmoja tu? angeachwa nyumbani wakacheza wengine
Nawewe mfia mwarabuSawa mfia myahudi
Aliyekataa si Messi pekee, kila mchezaji amepatwa na hofu
Nawewe mfia mwarabu
Biblia inasema hivo, lkn uteule wake usha isha. Taifa teule kwa sasa ni wanao mcha Mungu tu, ndo hao wameahidiwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.Hakuna taifa teule duniani ambalo Mungu kaliruhusu kuua raia wasio na hatia na kuvamia maeneo yasiyo yake.
Ukweli mchungu ambao haters hawataki kuutambua. Haiwezekani mji uwe wa warabu halafu uwe na majina ya kiebrania. Kwa nini walishindwa kubadili jina?Ukweli unabaki pale pale kwamba mji mkuu wa taifa la Israeli ni Jerusalem. Period!!!
Uteule wao uliisha lkn utaifa wao hakuna wa kuumaliza. Walikuwepo, wapo na watakuwepo, pro Palestine mfahamu hilo. Au mseme kwao ni wapi.Hahaaa myahudi mweusi nakuona..
Niambie hio israeli imeshinda kombe la dunia mara ngapi??
Au hata fainali imewahi kufika..
Taifa teule my foot
Zipo nyingi tu, bara ulaya hapajawahi kuwa kwaoNchi za magharibi..malizia mwenyewe hapa hatuko darasani tunaulizana maswali
Huo uongo utadanganyia kule msikitini huku kuna watu wenye akili zao wanaojua kuanzia mwanzo wa hili jambo.Huwa hamkubali ukweli ndiyo tatizo.." Messi kawaumbua"
Nyie mnaoshangilia ndo imewatachi, warabu weusi. Tangu 1948 mnawapinga Israel, leo ni miaka 70 lkn israel hajapungua bali anarejesha maeneo yake yote. Hujiulizi why? Ametengwa mara ngapi? Amewekewa vikwazo vingapi? Amerudi nyuma?Wayahudi weusi imewatachi sana kwa alichokifanya KING MESSI
Mkuu siku zote huwa tunapingana lakini leo naona tuna common thinkingBiblia inasema hivo, lkn uteule wake usha isha. Taifa teule kwa sasa ni wanao mcha Mungu tu, ndo hao wameahidiwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.
Kesi ya Israel siyo utaifa teule, ni historia yao tu kuwa, walipo sasa kama taifa, ndipo milki yao japo walipokonywa. Kama siyo kwao na walipokonywa, dunia iwaambie kwao ni wapi.
Na taarifa wanayotumia warabu weusi imesema bayana.[emoji116] [emoji116] [emoji116]Ni shinikizo kutoka kwa maadui wa Israel wala siyo swala la Messi wala Mchezaji mwingine.
Ukweli mchungu ambao haters hawataki kuutambua. Haiwezekani mji uwe wa warabu halafu uwe na majina ya kiebrania. Kwa nini walishindwa kubadili jina?