Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Kwa hiyo wameamua kuandika hayo si kutoka moyoni mwao, bali kwa kuwa wametishiwa uhai na wapelestina.

Hata ujumbe wa Mesi ni matokeo ya kutishiwa tu. Maana ingekuwa natural, wasingepanga mechi na Israel
Hahaha unajisikia vibaya ikiwa maamuzi ya wachezaji wa Argentina ni voluntarily? Wayahudi wa bongo mna matatizo sana.
 
Hahaha,nilicheka sana kile kisa cha mtume wa alla kwenda kuongoza ibada Yerusalem akitokea saudi arabia kwa miguu kwa usiku mmoja alifika Yerusalem na kurudi Macca,yaani ni km zaidi ya 3000,na watu wakaamini .
Unashangaa hiyo? Je ukipewa kisa cha miraji si utahama sayari wewe? Unadhani mtume alikuwa binadamu wa kawaida kama ulivyo wewe? Yule ni wa daraja lingine wala upunje humfikii. Na ndio maana akaitwa Mtume. Watu kama nyinyi ndo mnataka majadiliano ya dini halafu maarifa yenyewe ya kuungaunga.
 

Hahaa Mungu akuzidishie kheri bro, unajua sana. King Messi kawaumbua hao mbwa/yahudi
 
Hahaha unajisikia vibaya ikiwa maamuzi ya wachezaji wa Argentina ni voluntarily? Wayahudi wa bongo mna matatizo sana.

Yani mkuu hawa yahudi weusi wanajiona kuthaminiwa sana na myahudi/mbwa ama shetani..Netambwa anawajua vizuri waargentina na waargentina wanamjua vizuri mno netambwa lakini wameamua kumpuuza na kutopeleka tim yao. Lakini wayahudi wa huku bongo wanajifanya kujipendekeza kwa huyu shetani wakati yeye hana time nao na wala hamjui Consigliere,Conspiracy theorist,ntamaholo n.k.
 
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Tatizo ninaloliona ni kuwa watu wengi wanaposikia waisrael, basi moja kwa moja wanajua ni taifa teule.
Bila ya kujua kuna zionists and true israelians (uzao wa Abraham),. Hao wanaokwaruzana na palestinians ni zionists.
Zionist hawamwamini Mungu wa kweli. They are devil worshippers.
 
We @Gilesi ushahidi upo wapi aliozungumza Messi? Chama cha Soccer cha Argentina ndio kimeomba radhi! baada ya Messi kutishiwa maisha na sio Messi kusema eti anaangalia utu kwanza... Msilete habari jf kipumbavu pumbavu. Busara za Suleiman Messi hana hata kidogo
 
Wewe nawe una ushabiki wa kidini tu huna ufahamulo kuhusu Taifa la Israel na hiyo misaada usemayo Marekani huwa anatoa kwa faida yake tu so hiyo sio misaada bali ni malipo... Misaada ya kijeshi ya Marekani ni huwa anahitaji huduma fulani za Ujuzi wa kutengeneza silaha na new technology so huwekeza almost Silaha za Mmarekani karibu zote zinahusisha Muisrael... Achana na Ushabiki mbuzi. Marekani hana Msaada ujue even Tanzania akiisaidia basi juwa anataka information kadhaa there is no free lunch in this world. Marekani hajawahi kuwa mjinga kiasi hicho ati atoe msaada bure
 
Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Nchi ya Israel waishukuru Marekani,bila ya Marekani hili taifa lingelikuiwa limeshaangamia...Hakuna nchi teule,Nchi zote ni teule kwa Mungu,Taifa la Israel limetengenezwa na waingereza May 14th, 1948. sio Mungu…

Katika vitabu vya dini vya Biblia na Quran vimewatukuza sana Wayahudi kama watu,hakuitukuza nchi inayoitwa Israel kwa sababu kulikuwa hakuna nchi kama hiyo duniani
 
Dah bonge la wazo.. Hizi ndo akili kubwa za JF
 
Well said
 
Hapo kwenye red umeonesha una iq ndogo sana... Kajifunze neno liitwalo Nchi kwanza ndio uje upya na tuhuma zako za uongo.

Shuleni sijui ulikwepa somo la historia!

Waisrael humshukuru Mungu wao tu Heshem na sio Taifa la Marekani au Uingereza acha ubwege... Kulisemea Taifa lisilokuhusu ni jambo la ujinga na wanakusoma hukuona mwehu...

Unaonesha kwenye Maisha yako unategemea zaidi Binadamu kuliko Muumba wako.
 
Waisrael humshukuru Mungu wao tu Heshem na sio Taifa la Marekani au Uingereza acha ubwege... Kulisemea Taifa lisilokuhusu ni jambo la ujinga na wanakusoma hukuona mwehu...

Unaonesha kwenye Maisha yako unategemea zaidi Binadamu kuliko Muumba wako.
Mkuu matusi ya nini,huo ndio ukweli wenyewe,kulikuwa hakuna taifa linalitwa Israel,yalikuwepo mataifa yanayoitwa mfano Palestina,Tanganyika,Kenya,Congo,Denmark,Germany nk,lakini sio Israel...

Nashanga wewe povu linakutoka kulitetea hilo taifa linaloitwa Israel,unajua lakini vipi hao watu wanaoitwa waisarael walivyokuwa wabaguzi kwa waafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…