Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha we mmakonde acha ndoto messi siyo ngassaamejimaliza kushindana na Israel
Hahaha unajisikia vibaya ikiwa maamuzi ya wachezaji wa Argentina ni voluntarily? Wayahudi wa bongo mna matatizo sana.Kwa hiyo wameamua kuandika hayo si kutoka moyoni mwao, bali kwa kuwa wametishiwa uhai na wapelestina.
Hata ujumbe wa Mesi ni matokeo ya kutishiwa tu. Maana ingekuwa natural, wasingepanga mechi na Israel
Unashangaa hiyo? Je ukipewa kisa cha miraji si utahama sayari wewe? Unadhani mtume alikuwa binadamu wa kawaida kama ulivyo wewe? Yule ni wa daraja lingine wala upunje humfikii. Na ndio maana akaitwa Mtume. Watu kama nyinyi ndo mnataka majadiliano ya dini halafu maarifa yenyewe ya kuungaunga.Hahaha,nilicheka sana kile kisa cha mtume wa alla kwenda kuongoza ibada Yerusalem akitokea saudi arabia kwa miguu kwa usiku mmoja alifika Yerusalem na kurudi Macca,yaani ni km zaidi ya 3000,na watu wakaamini .
Wayahudi walitaka kuwafanya Argentina mafala wa kutumika kuhalalisha upuuzi wao.tumeshtuka. viva la purga
Unashangaa hiyo? Je ukipewa kisa cha miraji si utahama sayari wewe? Unadhani mtume alikuwa binadamu wa kawaida kama ulivyo wewe? Yule ni wa daraja lingine wala upunje humfikii. Na ndio maana akaitwa Mtume. Watu kama nyinyi ndo mnataka majadiliano ya dini halafu maarifa yenyewe ya kuungaunga.
Hahaha unajisikia vibaya ikiwa maamuzi ya wachezaji wa Argentina ni voluntarily? Wayahudi wa bongo mna matatizo sana.
Tatizo ninaloliona ni kuwa watu wengi wanaposikia waisrael, basi moja kwa moja wanajua ni taifa teule.Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Ungekuwa unatafakari hiyo kauli yako kwa kuzingatia hili:Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Ungekuwa unatafakari hiyo kauli yako kwa kuzingatia hili:
Israel orders African migrants to leave
Upofu wa fikra na mahaba yasiyo na tija huongoza fikra kuelekea kwenye upotofuWanajitoa ufahamu, hilo ndo tatizo
We @Gilesi ushahidi upo wapi aliozungumza Messi? Chama cha Soccer cha Argentina ndio kimeomba radhi! baada ya Messi kutishiwa maisha na sio Messi kusema eti anaangalia utu kwanza... Msilete habari jf kipumbavu pumbavu. Busara za Suleiman Messi hana hata kidogoMechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule.
Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya awali, kwamba mechi itachezwa Tel aviv.. Yerusalem ni mji ambao Israel na Palestina wanaupigania miaka mingi.
Messi Amesema yeye anaangalia ubinadamu kwanza kabla ya mpira.. Messi amesema, yeye binafsi, atawarudishia gharama zote waandaaji wa ile mechi.''
Huu ndio uungwana na binadamu Messi. Mungu aendelee kukupa hekima na busara za kiwango cha mfalme Sulemani.
Wewe nawe una ushabiki wa kidini tu huna ufahamulo kuhusu Taifa la Israel na hiyo misaada usemayo Marekani huwa anatoa kwa faida yake tu so hiyo sio misaada bali ni malipo... Misaada ya kijeshi ya Marekani ni huwa anahitaji huduma fulani za Ujuzi wa kutengeneza silaha na new technology so huwekeza almost Silaha za Mmarekani karibu zote zinahusisha Muisrael... Achana na Ushabiki mbuzi. Marekani hana Msaada ujue even Tanzania akiisaidia basi juwa anataka information kadhaa there is no free lunch in this world. Marekani hajawahi kuwa mjinga kiasi hicho ati atoe msaada bureAcha bhana... kumbe ni taifa teule!
Hivi hashindwi kwa sababu ni taifa teule au ni kutokana na misaada mikubwa ya kijeshi anayopewa na US?!
Kwa mfano, during Obama Administration; US waliingia mkataba wa msaada wa $38 Billion kwa kipindi cha miaka 10!
$38 Billion ni zaidi ya TZS 80 Trillion ambayo ni more than TZS Trillion 8 kwa mwaka!
Leo hii Tanzania tupate msaada wa trillion 8 kwa mwaka kwa ajili ya masuala ya kijeshi tu; hivi unadhani kuna taifa Afrika litaweza kutuchezea?
Na sio Africa tu bali nchi kadhaa duniani!
Leo hii wazibie hiyo mirija Israel halafu hizo Trillion 8 wape Hamas tu let alone Iran halafu njoo hapa miaka 5 ijayo utuambie "Taifa Teule" halishindwi!!
Nchi ya Israel waishukuru Marekani,bila ya Marekani hili taifa lingelikuiwa limeshaangamia...Hakuna nchi teule,Nchi zote ni teule kwa Mungu,Taifa la Israel limetengenezwa na waingereza May 14th, 1948. sio Mungu…Suala la Israel ni gumu sana. Uzuri hakuna aliyewahi kushinda vita apiganapo na taifa teule, wote hushindwa vibaya sana. Hivyo hilo ni suala la muda tu.
Dah bonge la wazo.. Hizi ndo akili kubwa za JFAcha bhana... kumbe ni taifa teule!
Hivi hashindwi kwa sababu ni taifa teule au ni kutokana na misaada mikubwa ya kijeshi anayopewa na US?!
Kwa mfano, during Obama Administration; US waliingia mkataba wa msaada wa $38 Billion kwa kipindi cha miaka 10!
$38 Billion ni zaidi ya TZS 80 Trillion ambayo ni more than TZS Trillion 8 kwa mwaka!
Leo hii Tanzania tupate msaada wa trillion 8 kwa mwaka kwa ajili ya masuala ya kijeshi tu; hivi unadhani kuna taifa Afrika litaweza kutuchezea?
Na sio Africa tu bali nchi kadhaa duniani!
Leo hii wazibie hiyo mirija Israel halafu hizo Trillion 8 wape Hamas tu let alone Iran halafu njoo hapa miaka 5 ijayo utuambie "Taifa Teule" halishindwi!!
Well saidNchi ya Israel waishukuru Marekani,bila ya Marekani hili taifa lingelikuiwa limeshaangamia...Hakuna nchi teule,Nchi zote ni teule kwa Mungu,Taifa la Israel limetengenezwa na waingereza May 14th, 1948. sio Mungu…
Katika vitabu vya dini vya Biblia na Quran vimewatukuza sana Wayahudi kama watu,hakuitukuza nchi inayoitwa Israel kwa sababu kulikuwa hakuna nchi kama hiyo duniani
Hapo kwenye red umeonesha una iq ndogo sana... Kajifunze neno liitwalo Nchi kwanza ndio uje upya na tuhuma zako za uongo.Nchi ya Israel waishukuru Marekani,bila ya Marekani hili taifa lingelikuiwa limeshaangamia...Hakuna nchi teule,Nchi zote ni teule kwa Mungu,Taifa la Israel limetengenezwa na waingereza May 14th, 1948. sio Mungu…
Katika vitabu vya dini vya Biblia na Quran vimewatukuza sana Wayahudi kama watu,hakuitukuza nchi inayoitwa Israel kwa sababu kulikuwa hakuna nchi kama hiyo duniani
Mkuu matusi ya nini,huo ndio ukweli wenyewe,kulikuwa hakuna taifa linalitwa Israel,yalikuwepo mataifa yanayoitwa mfano Palestina,Tanganyika,Kenya,Congo,Denmark,Germany nk,lakini sio Israel...Waisrael humshukuru Mungu wao tu Heshem na sio Taifa la Marekani au Uingereza acha ubwege... Kulisemea Taifa lisilokuhusu ni jambo la ujinga na wanakusoma hukuona mwehu...
Unaonesha kwenye Maisha yako unategemea zaidi Binadamu kuliko Muumba wako.