Messi akishinda tena Ballon Dior itakuwa ni yale ya upendeleo, mapenzi na favouritism

Messi mwenyewe world cup kabebwa na akina mac Allister, Jullian Alvarez na enzo fenandez. Performance ya world cup mbappe alifanya vizuri kuliko huyo andunje.
Huyo messi tuzo moja kampora Iniesta, Nyingine kampora Lewandowski. Balon dor za halali alizonazo hazizidi 3
 
Kama vipi weken Tuzo mbili moja ya Messi ,then nyingine mpeni mtu wenu
 
Baadhi ya Majina yanayoshindania Ballon di'or 2023
1. Lionel Messi
2. Erling Haaland
3. Kylin Mbappe
4. Karim Benzema
5. Harry Kane
6. Bukayo Saka
7. Jude Bellingham

Wapiga kura ni waandishi wa michezo wa kimataifa, makocha na manahodha.

Mpaka sasa mtu pekee wa kumpa changamoto Messi ni Haaland ambaye aliiwezesha Man City kutwaa makombe matatu (treble).
 
Chuki binafsi timu shingo twiga[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Messi hastahili ni majuha tu ndio wataamua kumpa!!, Nje ya kuchukua kombe la Dunia msimu uliopita kafanya kipi kwenye mpira! Poor Messi poor....
 
Yaani kigezo kiwe kombe la Dunia tu?, HAKUNA mchezaji aliyeisaidia timu yake kuchua kombe la Dunia Kama Messi!!

Halland ana makombe 3 mkononi unakuja unaleta story za kombe la Dunia la kupewa asee!
 
Ndiyo Hivyo hivyo Messi akiwa Barcelona mlisema Anabebwa na akina Iniesta Xavi na Bosquets na kwamba timu ya taifa ya Argentina hakuna Xavi wala Iniesta hataweza lolote....

Badala yake akashinda akiwa na kina Enzo, na alvares...

Sasa mmebadili mada..

Pia unapaswa kujua Messi ndiye mchezaji aliyetoa Assist nyingi za magoli kuliko mchezaji yeyote.katika kombe la dunia 2022..

Ndiye mchezaji aliyegusa mpira mara nyingi zaidi...

Hoja yako ya kusema alibebwa na akina Mc Allister na Enzo ni ya kitoto kabisa...na ya kijinga, kwani wewe ulitaka acheze mwenyewe..?? Nini maana ya team work...? Nini maana yakuwa na wachezaji 11 uwanjani....??

Huyo mbape alikuwa anacheza Mwenyewe.??..hakupewa assist hata Moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…