Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Higuain anakosa magoli ya wazi kabisa ulitaka Messi afanye nini zaidi
Hivi hapa ronaldo anahusika vipi jamani..Hivi penaldo kaifikisha Portugal final ngapi
Ongezea na Danny PasarellaPumzika Messi kusema kweli hakuwa na bahati na timu ya Taifa pamoja na juhudi zote alizozionyesha, utabaki kuwa mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kuwahi kuvaa jezi ya Argentina kando ya Diego Armando Maradona.
SanchezHivi mchezaji bora wa Copa America ametangazwa nani?
Acha kuniwekea maneno mdomoni..Vipi Cristiano ana World Cup au Euro?? Hata kuifikisha fainali Ureno
Awafuate akina Ronaldino wampe vitu adimu.Wale ndo walicheza Mpira.yaani waligusa kila konaMessi has never lifted trophy with captain band....mavi yake
Mpira makombe.Mabeki wa Chile wamemuonesha kuwa wanajua kaziKufight na nani sasa dunia hii? Kuna mtu Messi anaweza fight nae kisoka? Labda akafight sayari nyingine huko
Ametangazwa Alexis Sanchez wa Chile...Hivi mchezaji bora wa Copa America ametangazwa nani?
Mweee mbona ya wazenji hayakuheshimiwaMAAMUZI YAKE YAHESHIMIWE.
Ni balaa. Nimesoma hiyo habari mmh sio mchezo. Sasa naona kama timu nzima itamfuata MessiHaya wengine kumfuata messi na ni arguero, higuain, mascherano, di maria na lavezi hawa sio wapambanaji kabisa brazil wenzao wamepoteana ila hakuna aliyequit kama hivi
Argentina stars Sergio Aguero and Javier Mascherano follow Lionel Messi in quitting international football after suffering heartbreaking Copa America loss