Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Higuain anakosa magoli ya wazi kabisa ulitaka Messi afanye nini zaidi

Quite some reasoning you got there. I expected disappointment.

You should know that I summarized his whole international career, not just yesternight's game. He came closer 4 effin times.

But anyway, let's talk about yesternight. Didn't he Sergio Ramos'd the first penalty? Or that's Higuain's fault as well?
 
Hivi mchezaji bora wa Copa America ametangazwa nani?
 
Leo ni siku ya huzuni kubwa sana kwangu
Kwanini Messi umetukimbia mapema?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Pumzika Messi kusema kweli hakuwa na bahati na timu ya Taifa pamoja na juhudi zote alizozionyesha, utabaki kuwa mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kuwahi kuvaa jezi ya Argentina kando ya Diego Armando Maradona.
Ongezea na Danny Pasarella
 
Mesi angeshinda kombe km kati kuna iniesta,raktic, bosquet jordi vinginevyo atasubiri sana
 
Vipi Cristiano ana World Cup au Euro?? Hata kuifikisha fainali Ureno
Acha kuniwekea maneno mdomoni..

Kwani kwenye post yangu kuna sehemu nimemataja Cristiano?..

Ronaldo na Messi wote ni failures unapozungumzia mafanikio ya wachezaji bora duniani...

Hawawafikii Maradona wala Gaucho...Hawa wamebeba kila kombe la mashindano makubwa...Kuanzia ligi za ndani mpaka Copa America...

Gaucho kabeba UEFA CL, Copa America, Confederation, World Cup, La Liga, U20 WC, South America U20 & 17 Championship, UEFA Intertoto, Serie A, FIFA 17WC
 
Niliiona disapointment usoni mwake.. amefait sana kwa ajili ya nchi yake.. wakubwa wakikaanae wakaongea atarudi tu.. kwa sasa tumwelewe
 
Akwende tu hana jipya maana kuna watu humu wanakelele sana..
 
Chili Campeon de la America (kwa sauti ya mtangazaji wa mpira)
 
  • Thanks
Reactions: DLS
Back
Top Bottom