Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Messi atangaza kujiuzulu kuichezea timu ya Taifa akiwa na miaka 29

Quite some reasoning you got there. I expected disappointment.

You should know that I summarized his whole international career, not just yesternight's game. He came closer 4 effin times.

But anyway, let's talk about yesternight. Didn't he Sergio Ramos'd the first penalty? Or that's Higuain's fault as well?
Bro Paul naomba nianze english kozi kama utanikubalia napenda sana english yako ila cjajua kama uko huku mavumbini au ni diaspora
Aisee ivi una muwekaje huyo Messi n Maradona pamoja Maradona ndo legend wa Argentina embu usimlinganiehshe na huyo Messi wenu, Argentina walichukua kombe la dunia kwa juhudi zke binafsi za Maradona kitu ambacho Messi ameshindwa
 
Bro Paul naomba nianze english kozi kama utanikubalia napenda sana english yako ila cjajua kama uko huku mavumbini au ni diaspora

Karibu sana, mwenyewe nimebakiza mihula michache kuhitimu. Huku huku mavumbini ndio kwetu.
 
Kwa hili sikubaliani na MESSI hata kidogo. Arudi nyuma atafakari uamuzi wake. Bado wanasoka tunamhitaji sana kijana huyu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii timu hii mmmmh haya bana sisi tutaona
 
Kwa wale ambao wanamwita Huyu jamaa mfalme Hana tena hizo sifa kikawaida mfalme anatakiwa awe mtu wa mwisho kufa kwenye mapambano sio kukata tamaa vitani, hivyo mpaka sasa hapaswi kuwekwa kwenye kundi la kina Pele, maradona, zizzou, gaucho, de Lima na wengineo waliotoa mafanikio timu za taifa zao na sio klabu pekee.
 
Anaweza kuwa alikuwa anawabania vijana wengine , aondoke tu .
 
Back
Top Bottom