Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

Messi hawezi kuwa Bora Nje ya Barcelona

kubeba taji sio shida.
tunaangalia nini mchango uwanjani mpaka team imechukua taji kwenye hiyo tournament!
kama hoja yako ni kubeba kombe national team. basi olivier giroud kawazidi wote wawili messi na huyo cr7!
maana yeye ana world cup moja.
si ndo unataka iwe hivyo haha
Tunawacompare watu wawili ambao wana mafanikio makubwa katika soka binafsi na timu zao kwa ujumla Giroud mafanikio binafsi ni madogo na hata kitimu pia hana mataji kuwazidi hao jamaa wawili ila tatizo ni kwamba mmoja wao ana mataji katika klabu tu maisha yake yote ya soka
 
national team na club ni tofauti
mlisemaga eti ooh pep hawezi kuja epl! ligi ngumu sijui nini!
sasa anajipigia mbuzi zake hapo england mpaka kachoka!
sasa onyesha niliposema kwamba messi akienda madrid atapwaya!
pia subiri aondoke halafu afeli ndo uanze kuongea. na ikiwa kinyume chake sijui utajifichia wapi? haha
kuhusu huyo ronaldo kwanza ni mzee kuliko messi kaanza snka muda.
kama yeye ronaldo ana uwezo mkubwa si angeenda hata chievo akawape kombe tuone uwezo wake? badala yake anaenda juve team imechukua kombe msimu wa nane huu? haha hata kagere pale juve anacheza.
Ronaldo ametoka SPORTING ya Ureno.. kaenda Man u then Real and now Juve.
hayo maelezo ya Chievo mpe Messi ambae hajawahi kutoka hapo... CR7 ni chuma mkuu
 
Tunawacompare watu wawili ambao wana mafanikio makubwa katika soka binafsi na timu zao kwa ujumla Giroud mafanikio binafsi ni madogo na hata kitimu pia hana mataji kuwazidi hao jamaa wawili ila tatizo ni kwamba mmoja wao ana mataji katika klabu tu maisha yake yote ya soka
"achukue basi hata kombe team ya taifa"
hii sentensi yako vipi? mara umebadili baada ya kukubana mbavu haha, umekimbilia kwenye club tena! tofauti na mada inavyojieleza!

mzeebaba gwele kalale sasa umelewa sana
kwaheri
 
Ronaldo ametoka SPORTING ya Ureno.. kaenda Man u then Real and now Juve.
hayo maelezo ya Chievo mpe Messi ambae hajawahi kutoka hapo... CR7 ni chuma mkuu
CR7 ni chuma chakavu au? ??
Chuma kwenye eneo lipi kumfananisha na Messi unajibu hoja kwa kusema tu chuma
Nyie watu wachekeshaji sana
 
haha eti euro!
kile kikombe ambacho ghafla nimeshtuka naskia ni final? haha
je baba wa uefa kama mlivyokuwa mnamuita. huko juve kawapa uefa kama alivyosema?
mtu siku hizi anacheza 9 anavizia kwenye boksi ndo maana kale ka de light kamemficha kuanzia uefa mpaka kule euro! haha
binafsi naamini ureno imebebwa na wale viungo wawili benardo silva, bruno fenarndez basi.
chuki kwa messi sio nzuri bro
Argentina ina mastaa tupu.. ina maana hata kuvizia na kumalizia Messi hawezi?
Au unataka kusema hana shida na kombe pale Taifa, mbona huwa analia na anakuwa wa kwanza kukimbilia ndani?
 
Ronaldo ametoka SPORTING ya Ureno.. kaenda Man u then Real and now Juve.
hayo maelezo ya Chievo mpe Messi ambae hajawahi kutoka hapo... CR7 ni chuma mkuu
sporting ile ya kipindi kile? ufananirhe na chievo mkuu? man u then madrid? haha hizo team zote ni kubwa na zina uwezo kwa wakati aliocheza yeye!
haya sporting kacheza kwa muda gani mkuu? si alipita tu pale?
kama messi alivyopita ile club ya kwao argentina?
mpo watatu sasa leteni mawe niwape mawe
kwaheri
 
CR7 ni chuma chakavu au? ??
Chuma kwenye eneo lipi kumfananisha na Messi unajibu hoja kwa kusema tu chuma
Nyie watu wachekeshaji sana
Mtu anaekanyaga fainal 1 na kubeba ndoo 3 humjui..? Unataka nimtaje anaekanyaga fainal 3 anatoka kapa.
Post inasema Messi nje ya barca hamna kitu.. unakubali au unakataa?
 
sporting ile ya kipindi kile? ufananirhe na chievo mkuu? man u then madrid? haha hizo team zote ni kubwa na zina uwezo kwa wakati aliocheza yeye!
haya sporting kacheza kwa muda gani mkuu? si alipita tu pale?
kama messi alivyopita ile club ya kwao argentina?
mpo watatu sasa leteni mawe niwape mawe
kwaheri
Leta point Messi nje ya barca amefanya nini ndio post inavyosema... HAUNA MAWE YOYOTE mkuu kwa post hii tofauti na hapo lala tu
 
Argentina ina mastaa tupu.. ina maana hata kuvizia na kumalizia Messi hawezi?
Au unataka kusema hana shida na kombe pale Taifa, mbona huwa analia na anakuwa wa kwanza kukimbilia ndani?
unadhani messi ana akili za kizembe eti ? jibaba zinavizia kwenye box kama mtoto na yeye aige? tangu lini messi akacheza 9?
yeye ana create nafasi watu wafunge mbele halafu wanazembea afanyaje?
nashauri rudia reply zangu za nyuma nilizowajibu wenzio maana mnauliza maswali yale yale!
 
"achukue basi hata kombe team ya taifa"
hii sentensi yako vipi? mara umebadili baada ya kukubana mbavu haha, umekimbilia kwenye club tena! tofauti na mada inavyojieleza!

mzeebaba gwele kalale sasa umelewa sana
kwaheri
Nimekwambia messi ana mataji katika klabu nikiwa na maana hana taji lolote timu ya taifa kipi hujakielewa hapo sasa
 
Leta point Messi nje ya barca amefanya nini ndio post inavyosema... HAUNA MAWE YOYOTE mkuu kwa post hii tofauti na hapo lala tu
wewe mawe yako yako wapi eti ronaldn chuma? baaasi! hahaha
siwezi kukujibu tena sababu unauliza maswali ambayo wenzako walishaleta nikawajibu! sasa hivi wote wamenikimbia haha
sikujibu tena soma tu reply za nyuma nilipowabana mbavu wenzako sababu wote mmekunywa mvinyo ule ule haha

mwingine??
 
Nimekwambia messi ana mataji katika klabu nikiwa na maana hana taji lolote timu ya taifa kipi hujakielewa hapo sasa
kwan mkuu uzi unazungumzia nini?
kusoma na kuelewa kumbe ni vitu viwili tofauti! haha tulia mkuu acha jazba haha
 
Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....

Umemaliza mkuu, na mjadala ufungwe.
 
Nasema na ninarudia tena kusema Messi unaeweza kumfananisha japo kidogo na Cr7 ni messi wa Barca tu..Nje ya hapo messi hata Kagere hampati..!! Naona copa america watu mshaanza kulia lia mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]timu inakaa kabisa inamtegemea Messi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Argentina bhana waache bhangi.View attachment 1129132

Mbongo na mpira wapi na wapi 😁😁

Hata acpobeba kopa amerika au world cup ataendelea kuwa bora kuwai kutokea. Waliopita na wasasa hawajamfikia hata nusu yake.
 
nimemwambia hapo rikiboy kachomekea ooh pimbi sijui!
angekuwa ana uwezo angeenda hata genoa.sasa juve wenyewe msimu wa nane sijui wanachukua kombe wenyewe tu. eti ndo ameenda huko haha
thats why juve siku hizi wanapigwa hovyo uefa kwa sababu wanakosa challenge huko seria A!
halafu alisema kaja juve kuwapa uefa! haha
wao hoja yao ni hii tu wanaposhindwa
Messi alikuwa Barca...ronaldo akawa madrid ebu tuambie UEFA ilikuwaje??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom