Tatizo mnachanganyaga vitu vinne kwa wakati mmoja
(1)Messi
(2)Cr 7
(3)Fc Barcelona
(4)Argentina National Team
Ukweli hauwezi kupata chochote unacholazimisha kutuaminisha....utasema mengi lakini bado mchezaji bora na Extra ordinary atabaki kua mmoja tu duniani... Wengi wamejaribu kumlinganisha na magwiji wengine waliotangulia lkn inafikia Mahala wanakwambia huyo kiumbe ni hatari!... A creature from another planet!...
Makocha wote wakubwa wa dunia wameshamjadili na kutoa takwimu zao, wengine wakimfananisha na mchezaji wa PlayStation!....