Ukiweka exception ya Ronaldo kumkuta Messi Laliga kama ndio factor ya Messi kuwa na penati nyingi kumbuka hata Champions League nako Messi kapiga penati nyingi kumzidi Ronaldo ila changamoto ni ileile conversion rate yake ya magoli ipo chini.Penalty nyingi hizo 72 (Ronaldo kapata 61) kwa 73 Messi (kapata 60),maana Ronaldo kamkuta Messi.
Sawa ratio hana, hiyo ratio ukiconvert still hakosi goal 14,njoo kwenye assists alizowapa wenzake ambazo yeye alikuwa anafunga zipo kibao.Ukitizama assists zaidi ya 400+ za Messi basi assist zaidi ya 80 alikuwa na uwezo wa kufunga mwenyewe.Hapo ndio utajua ni wachezaji wawili wenye mentality tofauti huyu ni best playmakers so kwake kuassists ni kawaida,huyu goal scorer tu ambaye ni mbinafsi ambayo ni sifa ya kawaida kwa goal scorer.
Kama unazungumzia ratio,njoo kwenye ratio za idadi ya magoli kwa jumla ya mechi walizo cheza,Messi(asilimia 79) anapercent kubwa kuliko CR7(asilimia 73).
Messi ndiye mwenye wastani nzuri wa kufunga na ndio amechangia mabao mengi zaidiUkiweka exception ya Ronaldo kumkuta Messi Laliga kama ndio factor ya Messi kuwa na penati nyingi kumbuka hata Champions League nako Messi kapiga penati nyingi kumzidi Ronaldo ila changamoto ni ileile conversion rate yake ya magoli ipo chini.
Yote yanawezekana, inawezekana angefunga hata zaidi ya hizo 80 na pia inawezekana pia angeweza kukosa pia maana huu ni mpira haina maana kupata nafasi ya wazi ndio kufunga.
Kama nafasi ya wazi (penati) isiyokuwa na pressure ya kukabwa na mabeki watu wanakosa, sasa tutakuwa wajinga kufikiria kwa upande mmoja tu wa kufunga.
The reasons why Ronaldo kacheza mechi nyingi lakini ratio yake ya magoli haina gape kubwa kati yake na Messi ni kwamba position alizokuwa anacheza Ronaldo mwanzoni mwa Career yake zilikuwa zinamnyima nafasi ya kufunga.
Msimu wake wa kwanza pale United alicheza mechi 29 na kufunga bao 4 na assist 4 na hapa ni mechi 15 tu ndio alianza.
Na ukumbuke kipindi cha Messi pale Barcelona kulikuwa na mastaa wakubwa ambao walikuwa wanampa kampani
Ni kweli ulichokiongea.Messi ndiye mwenye wastani nzuri wa kufunga na ndio amechangia mabao mengi zaidi
Hizo sehemu alizocheza jukumu lake kuu lilikuwa ni nini?Ni kweli ulichokiongea.
Ila wastani unapimwa kwa idadi ya mechi na magoli aliyofunga.
Messi namba zinambeba kwasababu kacheza mechi chache kuliko Ronaldo.
Usisahau Ronaldo kuna misimu amecheza katika nafasi ambazo swala la kufunga sio jukumu lake.
Ku supply mipira kwa center strikeHizo sehemu alizocheza jukumu lake kuu lilikuwa ni nini?
Sasa ikiwa anaratio mbaya upande wa penalty na ratio nzuri upande wa non penalty goals,basi kwa asilimia kuvwa hizo assists alikuwa na uwezo wa kuziconverts kuwa goal.Sawa penalty sio mzuri ila Messi kupunguza mtu watu watano ndani ya boksi kwake ni kitu cha kawaida ,ndio maana hata hizo assists alikuwa na uwezo wa kufunga.Ukiweka exception ya Ronaldo kumkuta Messi Laliga kama ndio factor ya Messi kuwa na penati nyingi kumbuka hata Champions League nako Messi kapiga penati nyingi kumzidi Ronaldo ila changamoto ni ileile conversion rate yake ya magoli ipo chini.
Yote yanawezekana, inawezekana angefunga hata zaidi ya hizo 80 na pia inawezekana pia angeweza kukosa pia maana huu ni mpira haina maana kupata nafasi ya wazi ndio kufunga.
Kama nafasi ya wazi (penati) isiyokuwa na pressure ya kukabwa na mabeki watu wanakosa, sasa tutakuwa wajinga kufikiria kwa upande mmoja tu wa kufunga.
The reasons why Ronaldo kacheza mechi nyingi lakini ratio yake ya magoli haina gape kubwa kati yake na Messi ni kwamba position alizokuwa anacheza Ronaldo mwanzoni mwa Career yake zilikuwa zinamnyima nafasi ya kufunga.
Msimu wake wa kwanza pale United alicheza mechi 29 na kufunga bao 4 na assist 4 na hapa ni mechi 15 tu ndio alianza.
Na ukumbuke kipindi cha Messi pale Barcelona kulikuwa na mastaa wakubwa ambao walikuwa wanampa kampani
Dah wewe kazi yako ngumu sana๐คฃKu supply mipira kwa center strike
Kwani kati ya kufunga penati na kufunga open play kipi ni rahisi?Sasa ikiwa anaratio mbaya upande wa penalty na ratio nzuri upande wa non penalty goals,basi kwa asilimia kuwa hizo assists alikuwa na uwezo wa kuziconverts kuwa goal.
Kwa Messi ni Non Penalty goal ,ratio inajieleza.Kwani kati ya kufunga penati na kufunga open play kipi ni rahisi?
Namkubli goatEndeleeni kujifariji the GOAT is back on fire๐ฅ
We unachoambiwa na unachojibu tofautiEndeleeni kujifariji the GOAT is back on fire๐ฅ
Sikulaumu usiku una mengiMwambie a kajinyongee
Akili umeacha chooniWatu mnampenda Cristiano Ronaldo kwa sababu ya urembo wake dah!
Angejitilokeza tu maeneo ya Tanganyika pekaz mngempiga mtungo aisee!๐๐๐.
Al-mukheef.
Mapenzi yako na nani?Hii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.
Naona mwiba umekuingia messi๐
View attachment 3614832
Tunajua una talent, but some people are made different..
Huwezi kuchukua nyota ya the only GOAT CR7, utaimbwa because ya ufundi, ila Kuna mwamba aliye Anza chini kabisa,
He earned his carrier hakuhitaji utatu mtakatifu wa kama wako wa MSN,
Kila mahala alipo enda aliacha alama,
Aliitoa atletico Madrid yeye mwenyewe akiwa Juventus..
Alii I tafuta sare na Spain kwa mguu wake pekee
World Cup sio measure ya ukuu wake kwenye soccer.
We appreciate talanta yako, ila mapenzi yetu yapo kwa the greatest of all time CR7
Acha chuki kwa MessiHii video ya kufanya mazoezi kizembe ni kama dongo kwa ronaldo baada ya kuonesha high class game jana.