big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Mipira yote iliishia mikononi mwa kipa, na hilo Sio sifa, ni kwamba waliokwama kimkakati, na kwa style hiyo wakikutana na Timu ya buyern munichen kwa benki yao mbovu hata Messi hutamsikia tena
comment yakoo hii uje nayo tena jumapili kayi ra messi na ronaldoMipira yote iliishia mikononi mwa kipa, na hilo Sio sifa, ni kwamba waliokwama kimkakati, na kwa style hiyo wakikutana na Timu ya buyern munichen kwa benki yao mbovu hata Messi hutamsikia tena
Ushabiki wakitoto, miaka 3iliopita Messi ameisaidia nn Bercelona au Argentina, kucheza lzm kuende na mataji,Nyie ndio mnaleta ushabiki wakizamani,
Messi magician..........................
Ha ha ha mkuu matukio mengine tukiyaleta kwa usahihi uwez mlaumu kwa kukosa nafasi kadhaa alizopata, mfano hii hapa chin unasema mkono wa huyo kipa uliposhika huo mguu unafikilia nn endapo refa angeona? Na je bila kumkamata nn kingetokea?
HAKUNA KAMA MESS ULIMWENGUNI HAPA, YULE BABU YENU HAMANA KITU

Messi jana kakutana na viazi, ndo maana kaonekana anacheza.