big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Nimeangalia vizur game ya jana kati ya Man City na Barcelona,
Huyu kijana ni hatari sana, sitaki kuongelea kwenye upande wa ufungaji, Messi anachezesha timu, huu mpira wa kawaida kabisa mbali na kufunga, anacheza mno, kapiga pasi kama saba zote za magoli lakini imetumika moja tu.
Laiti kama Barcelona jana wangetumia zile nafasi naamini Man City angepigwa hata 5.