Messi Messi Messi

Messi Messi Messi

big result now

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Nimeangalia vizur game ya jana kati ya Man City na Barcelona,

Huyu kijana ni hatari sana, sitaki kuongelea kwenye upande wa ufungaji, Messi anachezesha timu, huu mpira wa kawaida kabisa mbali na kufunga, anacheza mno, kapiga pasi kama saba zote za magoli lakini imetumika moja tu.

Laiti kama Barcelona jana wangetumia zile nafasi naamini Man City angepigwa hata 5.
 
Achana na Messi Kaka, hao wanaokwambia Ronaldo ni bora kuliko Messi huwa ni Mashabiki wa England, kumbuka England ndo lig inayoongoza kwa makelele ila sio kuwa na timu nzuri.

Jana Messi ameonesha kuwa ana uwezo wa kufaya chochote awapo na mpira, ana uwezo wa kuwafanya chochote mabeki awapo na mpira.

Marcelo na beki zote za Madrid zijipange sana kuelekea Mechi ya Jumapili, sidhani kama Messi atakosakosa kama alivyowakosa jana.
 
Messi ni habari nyingine mkuu. Yapuuze makelele ya mashabiki wa ligi ya rugby ya Uingereza
 
Hakuna wa kufananishwa na mess katika ulimwengu wa sasa!!!!!
 
Ushabiki wakitoto, miaka 3iliopita Messi ameisaidia nn Bercelona au Argentina, kucheza lzm kuende na mataji,Nyie ndio mnaleta ushabiki wakizamani,
 
Mipira yote iliishia mikononi mwa kipa, na hilo Sio sifa, ni kwamba waliokwama kimkakati, na kwa style hiyo wakikutana na Timu ya buyern munichen kwa benki yao mbovu hata Messi hutamsikia tena
 
Mipira yote iliishia mikononi mwa kipa, na hilo Sio sifa, ni kwamba waliokwama kimkakati, na kwa style hiyo wakikutana na Timu ya buyern munichen kwa benki yao mbovu hata Messi hutamsikia tena

Ha ha ha mkuu matukio mengine tukiyaleta kwa usahihi uwez mlaumu kwa kukosa nafasi kadhaa alizopata, mfano hii hapa chin unasema mkono wa huyo kipa uliposhika huo mguu unafikilia nn endapo refa angeona? Na je bila kumkamata nn kingetokea?

HAKUNA KAMA MESS ULIMWENGUNI HAPA, YULE BABU YENU HAMANA KITU
 
Attachments

  • 1426752157834.jpg
    1426752157834.jpg
    55 KB · Views: 627
Mipira yote iliishia mikononi mwa kipa, na hilo Sio sifa, ni kwamba waliokwama kimkakati, na kwa style hiyo wakikutana na Timu ya buyern munichen kwa benki yao mbovu hata Messi hutamsikia tena
comment yakoo hii uje nayo tena jumapili kayi ra messi na ronaldo
 
Mess ni khatari sana jamaa anajua sana
Ha ha ha mkuu matukio mengine tukiyaleta kwa usahihi uwez mlaumu kwa kukosa nafasi kadhaa alizopata, mfano hii hapa chin unasema mkono wa huyo kipa uliposhika huo mguu unafikilia nn endapo refa angeona? Na je bila kumkamata nn kingetokea?

HAKUNA KAMA MESS ULIMWENGUNI HAPA, YULE BABU YENU HAMANA KITU
 
Unapomzungumzia mesi ujue unazungumzia miujiza mikubwa iliyopo duniani kwa sasa
 
Mtu aliyecheza mpira ni lazima akubali uwezo wa Messi ila wapenzi wa ngumi,rugby,basketball na michezo mingine ya nguvu nyingi hao hawatamuelewa huyo kiumbe wao kwao Ronaldo ndo bora.....mi uwezo wa Ronaldo labda ufananishwe Rooney na si Messi,huyu Messi yupo ktk level za akina Maradona.....amezaliwa ili aje kucheza mpira lakini yule mwingine anaefananishwa nae ye alizaliwa aje kucheza ule mchezo wa ng'ombe ila amelazimisha kuhamia huku kwa akina Messi!
 
Ha ha ha mkuu matukio mengine tukiyaleta kwa usahihi uwez mlaumu kwa kukosa nafasi kadhaa alizopata, mfano hii hapa chin unasema mkono wa huyo kipa uliposhika huo mguu unafikilia nn endapo refa angeona? Na je bila kumkamata nn kingetokea?

HAKUNA KAMA MESS ULIMWENGUNI HAPA, YULE BABU YENU HAMANA KITU

Acha ushabiki wa kinaz, Hart alianza kuupiga mpira then huyo Messi ndo akajigonga kwny mikono ya joe.
 
Nimemsifia hadi nimemaliza maneno ya kumsifia
 
zile beki nzembe tu, ila mess mwenyewe akikutananaga na wanaojua kumkaba hadi yemwenyewe huwa anakasirika!
 
Back
Top Bottom