Messi ndie most overrated Player ever

Acha wivu
 
GOAT....
Na wewe angalau utawaambia wajukuu wako ulimuona jamaa laivu kwenye tv..
 
Jana mbappe kakinukisha na ni bonge la mchezaji... great future, still very young, alistahili yeye kuwa man of the match, hata man of the tournament. Nakumbuka kuna world cup final german vs argentina mesi alifunikwa vibaya na walifungwa ila yeye akapewa man of the tournament... hivyo hata jana mbappe alistahili licha ya kufungwa ila mtu kusema mafanikio ya messi kuwa messi ni overrated ni kipofu wa macho na kipofu wa akili ya kuchakata unachoona na kusikia... messi is GOAT, mbappe anaelekea huko pia...
 
Kwangu mimi katika kikosi cha Argentina, Di Maria alikuwa kwenye kiwango bora zaidi kuliko Messi

Mbappe huyu nilimzungumzia sana jana, huyu ni mchezaji wa kipekee sana ila kinacho mkosti hana fanbase ya kutosha
Di maria alisababisha penalty na akafunga goal.

alikuwa msumbufu sana jana. Sijui kocha aliwaza nn kumtoa mapema vile.

Bahati mbaya sana watu wote wamefumba macho sifa anapewa Messi 😥😥😥
 
Mchezaji bora wa mechi, halafu akachomesha kabisa na goli!!
 
Messi na Ronaldo ni brand za watu hapo watu wameshaingiza pesa zao tayari.
 
Kwan Messi Jana kachukua man of the match? Kama ni hivyo basi hayo ni mauzauza ila kwenye mchezaji bora wa mashindano kastahili
Kwa mapenalty yale kweli alistahili
 
sasa 2014 ulitaka nani apewe?
 
Unawezaje kumfananisha Kijana wa Miaka 23 na kijana wa Miaka 35. Hata kama wangekuwa na vigezo sawa bado tungempa tu, si kwa kiwango kile alichocheza Kombe la Dunia 2022 ukilinganisha na umri aliokuwa nao hivi sasa.
 
Kumbukeni zamani walikuwa wanahesabu mpaka magoli ya offside.
 

acha mambo yako ya kiafrika, Hayo mambo huko majuu hayapo kabisa. acha kukariri.
 
Mbappe jana ndie alikua Best Player in the field tena by miles kabisa.
Imagine dogo kafunga magoli yote 3 kwa timu yake! Tena akifanya come back!! Amemtungua golikipa wao kwa jumla ya magoli 4 kwenye mchezo wa jana!!

Kwangu mimi, Kylian Mbape alistahili kabisa kuwa mchezaji bora, na pia mfungaji bora wa mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…