Unawezaje kumfananisha Kijana wa Miaka 23 na kijana wa Miaka 35. Hata kama wangekuwa na vigezo sawa bado tungempa tu, si kwa kiwango kile alichocheza Kombe la Dunia 2022 ukilinganisha na umri aliokuwa nao hivi sasa.
Mazumbukuku wa MISS PENATI toka mbeleko FC/Argentina watakuelewa kwa hii inshu kweli [emoji848][emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wekeni takwimu mkuu tuone kama kweli kaonewa
mkuu sikia jana nimechek kwa makini sana messi alicheza tikitaka na alikuwa akiwatuliza madogo pale kati japo alipoteza mpira mara kadhaaKwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
mi nahisi amechapia alitaka kuandika griezman is overatedKaangalia michango yao katika mechi zote za mashindano ya WC then urudi
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
kuna kitu kinaitwa stastistics, tupe stats za kufananisha mbape na messi kwenye fina na kwenye michuano yote, nkukumbushe stats sio magoli tu, ni overall contribution ya mchezaji kwenye game. Kwa namba za messi kusema anabebwa sijui overated ni uchawi na wivu mkubwa, tunaweza kusema messi anasifiwa sana hasa kwenye world cup hii japo amechangia mafanikio ya timu ila hajapambana pekeake hvyo wasifiwe wote akiwem kipa wao, lakini messi anastahilli kila tuzo aliyoshinda by numbersKwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
na ile ya 2013Hili halina ubishi MESSI ndio most overrated player toka dunia sema wewe tu umechelewa kufahamu rejea Balan d'or 2010(SNEIJDER) na ile 2021(Lewandowski).
unajua neno penaldo lilianzia wapi?unasifu penati? kati ya magoli 7 ya messi, 5 amefunga kwa penati. au hilo hujui? au sifa za kijinga zimekupofusha?
Mada inayozungumziwa ni most overrated footboller ever ambaye ni messi na mimi nikataja baadhi ya mambo yanayodhihirishwa kukuzwa kwake ambako ni tofauti na uhalisia ulivyo. NB: SIO KILA MTU ANAETOA MAWAZO HASI KUHUSU MESSI ANAMPENDA PENALDO.unajua neno penaldo lilianzia wapi?
Mbappe ana goli 8 assist 2, ktk goli hizo nane ana penati 2, Messi ana goli 7 penati 5 assist 3, wote wanacheza nafasi ya ushambulisji.Wekeni takwimu mkuu tuone kama kweli kaonewa
Jana Messi amefanya kipi cha kumzidi Mbappe mpaka akawa man of the match?takwimu sio goli na assist tu, hata alvarez ana goli nne lakini tuzo kachukua enzo. unaposema best player ina gusa kila kitu, ndio maana kuna tuzo tofauti kwa best player na top scorer. Shida maumivu yakiwa makali watu wanajitoa fahamu, tukiweka chuki pembeni kila anayejua mpira duniani anasema messi kastahili, except ronaldo fan boys
Man of the match alikua Mbape na sio Messi nani alimtangaza Messi kama man of the match??Jana Messi amefanya kipi cha kumzidi Mbappe mpaka akawa man of the match?
Tuoneshe source ya ujinga unao usemaMan of the match alikua Mbape na sio Messi nani alimtangaza Messi kama man of the match??
Ameshinda kombeJana Messi amefanya kipi cha kumzidi Mbappe mpaka akawa man of the match?