Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

Unawezaje kumfananisha Kijana wa Miaka 23 na kijana wa Miaka 35. Hata kama wangekuwa na vigezo sawa bado tungempa tu, si kwa kiwango kile alichocheza Kombe la Dunia 2022 ukilinganisha na umri aliokuwa nao hivi sasa.

kinacholinganishwa ni performance, Umri wao hauna nafasi ndani ya Uwanja.
 
Attachments

  • 996DA268-1F50-4525-8315-A5E1567B976B_1.jpg
    996DA268-1F50-4525-8315-A5E1567B976B_1.jpg
    292.9 KB · Views: 2
  • 0ecb7a7f9af4b141448bb17e0bd3b07e.jpg
    0ecb7a7f9af4b141448bb17e0bd3b07e.jpg
    34.1 KB · Views: 1
Nimesoma hoja zote mwanzo mwisho,nikianza na suala la nafasi uwanjani, mess ni kiungo wa Kati mshambiaji na mbape ni kiungo wa pembeni mshambiliaji,sasa kwa suala la kufunga mbape anaangaliwa zaidi na tiimu yake,tofauti na mess kufunga kwake ilikuwa kama bahati zaidi ya kutengeneza,hata lile gori alilofunga dakika ya 80 ni bahati,mess alistahili kuwa mchezaji Bora kwa sababu sehem kubwa ya magori yalianzia kwake,alidiriki hadi kurudi nyuma kukaba na kipeleka mipira mbele,mess apewe heshima yake,
 
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
mkuu sikia jana nimechek kwa makini sana messi alicheza tikitaka na alikuwa akiwatuliza madogo pale kati japo alipoteza mpira mara kadhaa

kilichombeba ni goals
possession
ushindi
na mwisho umaarufu popularity

ila huyo mbappe mbali na speed yake ya kukimbia hamna kitu

na mshukuru MUNGU kuna yule jamaa linaitwa griezman jamaa upo overated mpaka kero na wanafanya ivyo makusudi ili waafrika wasijazane pale kati watu weusi ndio walileta hope vengine mech ingeisha mapema mno maana mesai jana aliingiwa mzimu wa xavi jamaa anaiga asi anarud nyuma anapiga pasi anaenda mbele ukija ovyo ovyo anakupa tobo
 
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
kuna kitu kinaitwa stastistics, tupe stats za kufananisha mbape na messi kwenye fina na kwenye michuano yote, nkukumbushe stats sio magoli tu, ni overall contribution ya mchezaji kwenye game. Kwa namba za messi kusema anabebwa sijui overated ni uchawi na wivu mkubwa, tunaweza kusema messi anasifiwa sana hasa kwenye world cup hii japo amechangia mafanikio ya timu ila hajapambana pekeake hvyo wasifiwe wote akiwem kipa wao, lakini messi anastahilli kila tuzo aliyoshinda by numbers
 
Makasiriko yote kwasababu Argentina na Messi wamechukua kombe la Dunia? au watu.
 
Mbappe anajua ila kwenye Game FIFA 23 hakabiki

Ila uwanjani speed tu uwezo unyoya
 
takwimu sio goli na assist tu, hata alvarez ana goli nne lakini tuzo kachukua enzo. unaposema best player ina gusa kila kitu, ndio maana kuna tuzo tofauti kwa best player na top scorer. Shida maumivu yakiwa makali watu wanajitoa fahamu, tukiweka chuki pembeni kila anayejua mpira duniani anasema messi kastahili, except ronaldo fan boys
 
unajua neno penaldo lilianzia wapi?
Mada inayozungumziwa ni most overrated footboller ever ambaye ni messi na mimi nikataja baadhi ya mambo yanayodhihirishwa kukuzwa kwake ambako ni tofauti na uhalisia ulivyo. NB: SIO KILA MTU ANAETOA MAWAZO HASI KUHUSU MESSI ANAMPENDA PENALDO.
 
Wekeni takwimu mkuu tuone kama kweli kaonewa
Mbappe ana goli 8 assist 2, ktk goli hizo nane ana penati 2, Messi ana goli 7 penati 5 assist 3, wote wanacheza nafasi ya ushambulisji.
Hapo umeshapata majibu
 
takwimu sio goli na assist tu, hata alvarez ana goli nne lakini tuzo kachukua enzo. unaposema best player ina gusa kila kitu, ndio maana kuna tuzo tofauti kwa best player na top scorer. Shida maumivu yakiwa makali watu wanajitoa fahamu, tukiweka chuki pembeni kila anayejua mpira duniani anasema messi kastahili, except ronaldo fan boys
Jana Messi amefanya kipi cha kumzidi Mbappe mpaka akawa man of the match?
 
Kijana habari zako huwa unazitoa wapi, kwa hawa wachambuzi wa mchongo au fesibuku??

Man of the match jana alikua ni Mbape, we Messi umemtoa wapi??

Mihemko inawaharibu sana aisee, yani unakurupuka kuanzisha uzi bila kua na taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom