Messi ndie most overrated Player ever

Messi ndie most overrated Player ever

Timu Ronaldo endeleeni kulia🐐

20221210_191416.jpg
 
Tuzo ya mchezaji chipukizi, mfungaji Bora, kipa Bora hazikutolewa kwakuzingatia mchezo wa Jana tu Bali ni mashindano yote. Ndiomaana Mbape kachukua kutokana na kuwa na magoli 8, Wengine nao wameisaidia timu kubeba ubingwa na waliofanya vizuri kwenye mashindano na sio kwenye mechi Moja.
 
Best ever player on planet!

1,,Messi
2 ,, Pele
3 ,,maradona !

Numbers don't lie,,,, kila alichokipigania ameshinda !!!! Tuna bahati Sana ya kumuona huyu mchezaji akicheza na kufanya maajabu ! Ni miaka mingi itapita ndo ije kutokea kiumbe wa Aina hiii ! Vijukuu na vitukuu vyetu vitakuja kusoma historia hake,,,,

Kongole kwake na waargentina wote !

Hatimae maji na mafuta vimejitenga !
 
Tuzo ya mchezaji chipukizi, mfungaji Bora, kipa Bora hazikutolewa kwakuzingatia mchezo wa Jana tu Bali ni mashindano yote. Ndiomaana Mbape kachukua kutokana na kuwa na magoli 8, Wengine nao wameisaidia timu kubeba ubingwa na waliofanya vizuri kwenye mashindano na sio kwenye mechi Moja.

Ni kweli hazikutakiwa kutolewa kwa ajili ya mechi ya jana tu, Lakini pia unatakiwa Ufahamu kuwa Mechi ya Jana ndio kubwa na Muhimu kuliko zote.
 
Muache uchawi,,,ni ngumu kutoona Messi alichofanya jana labda kama ulikua unaangalia game Kwa makasiriko

1.Mbape hakuonekana mda wote wa mchezo mpaka ilipofika dk ya 70 ,,,kabla ya dk 70 alikua kama Peter Banda

2.Di Maria alikua na mchezo mzuri na Kocha alifanya makosa kumtoa,,, Messi alirekebisha makosa ya scallon

3.Martinez ni mwanaume dk ya 120 alifanya save bora katika maisha yake yote ya soka na kwa Wa Argentina na aliokoa penalty mbili kongole kwake

4 .Messi alifunga goli la Kwanza kumbuka penalty hua wanakosa, alichokifanya mpaka goli la pili linapatikana mungu tu ndo anaejua, Goli la tatu Kama ulikua france sawa ila kwa Argentina that was a Beautiful moment ever, penalty ya Kwanza alienda kupiga hakusubiri mambo yaharibike au ubishoo wa kupiga penalty ya mwisho, alitengeneza nafasi nyingi za kufunga kuliko mchezaji yoyote kwenye pitch kwenye ile fainal, Lautaro Kama angetulia au angekua mchezoni angebadilisha kazi alizofanya Messi kuwa magoli,,, yule mwanaume wa miaka 36 kafanya kazi ya vijana wa miaka 22

5.Acha uchawi na makasiriko Messi alistahili kuwa man of the match, Alikua akirekebisha mambo kila yalipokua yanaharibika,
 
Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.

Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?

Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?

Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.

Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.

N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Cr7 alishasema fifa wanamuandalia messi cup kilazima France waliforce tu kupata draw, binafsi sijaona maajab ya messi yule wa barca.
 
Kwangu mimi katika kikosi cha Argentina, Di Maria alikuwa kwenye kiwango bora zaidi kuliko Messi

Mbappe huyu nilimzungumzia sana jana, huyu ni mchezaji wa kipekee sana ila kinacho mkosti hana fanbase ya kutosha
 
Wakati mwingine mkijadili mtumie akili kidogo, mpira ni magoli na tunarukaruka kila yanapoingia.Sasa mwanaume anajikaza anatia goli tatu peke yake wewe unaongea upupu hapa.Wakati mwingine huwa tunajiaibisha sana.Mumpe na uchezaji bora wa dunia na vipenati vyake.
 
Pele did it first

Ni kwa sababu tu ya teknolojia kukua hivyo vijana wa sasa mnaona mengi yafanywayo na wachezaji wa sasa.

Lakini mchezaji Abei Pele, mwenye asili ya Ghana amefanya mengi sana ambayo ndio imekuwa kiigizo kwa hawa nyota wa siku hizi.

Pitia video clip hii fupi angalau ujionee.
 
Muache uchawi,,,ni ngumu kutoona Messi alichofanya jana labda kama ulikua unaangalia game Kwa makasiriko

1.Mbape hakuonekana mda wote wa mchezo mpaka ilipofika dk ya 70 ,,,kabla ya dk 70 alikua kama Peter Banda

2.Di Maria alikua na mchezo mzuri na Kocha alifanya makosa kumtoa,,, Messi alirekebisha makosa ya scallon

3.Martinez ni mwanaume dk ya 120 alifanya save bora katika maisha yake yote ya soka na kwa Wa Argentina na aliokoa penalty mbili kongole kwake

4 .Messi alifunga goli la Kwanza kumbuka penalty hua wanakosa, alichokifanya mpaka goli la pili linapatikana mungu tu ndo anaejua, Goli la tatu Kama ulikua france sawa ila kwa Argentina that was a Beautiful moment ever, penalty ya Kwanza alienda kupiga hakusubiri mambo yaharibike au ubishoo wa kupiga penalty ya mwisho, alitengeneza nafasi nyingi za kufunga kuliko mchezaji yoyote kwenye pitch kwenye ile fainal, Lautaro Kama angetulia au angekua mchezoni angebadilisha kazi alizofanya Messi kuwa magoli,,, yule mwanaume wa miaka 36 kafanya kazi ya vijana wa miaka 22

5.Acha uchawi na makasiriko Messi alistahili kuwa man of the match, Alikua akirekebisha mambo kila yalipokua yanaharibika,
PUMBA

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine mkijadili mtumie akili kidogo, mpira ni magoli na tunarukaruka kila yanapoingia.Sasa mwanaume anajikaza anatia goli tatu peke yake wewe unaongea upupu hapa.Wakati mwingine huwa tunajiaibisha sana.Mumpe na uchezaji bora wa dunia na vipenati vyake.
[emoji38]

Back
Top Bottom