Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo ya mchezaji chipukizi, mfungaji Bora, kipa Bora hazikutolewa kwakuzingatia mchezo wa Jana tu Bali ni mashindano yote. Ndiomaana Mbape kachukua kutokana na kuwa na magoli 8, Wengine nao wameisaidia timu kubeba ubingwa na waliofanya vizuri kwenye mashindano na sio kwenye mechi Moja.
Wewe ndo mvuta bangi mkuu.Wewe utakua unavuta bangi sio bure au wewe mchawi mtu wa husda, Messi unaweza ukamlinganisha na mchezaji gani kama sio nguvu za bangi?
Cr7 alishasema fifa wanamuandalia messi cup kilazima France waliforce tu kupata draw, binafsi sijaona maajab ya messi yule wa barca.Kwa kweli mambo yamekuwa ya siku nyingi sana mpaka yanakaribia kutapisha sasa.
Messi aliwezaje kushinda tuzo ya Man of The Match katika mechi ya fainali jana mbele ya Mbappe, Martinez au Di Maria?
Kwa kipi kilichomfanya awe mchezaji bora wa mashindano?
Vyombo vya habari vya Magharibi ni ovyo kabisa.
Na Watu tumekuwa hatuna tena uwezo wa kuchambua, tumekuwa tukiishi kwa kukaririshwa tu.
N.B (C. Ronaldo na Neymar nao ni wengine ambao wamekuwa wakibebwa kisiasa.)
Hi picha ni fake
Kwani aligusa mpira mara ngapi? acha ufala wakati timu elizidiwa kila departmentMbappe jana ndie alikua Best Player in the field tena by miles kabisa.
Mazumbukuku wa MISS PENATI toka mbeleko FC/Argentina watakuelewa kwa hii inshu kweli [emoji848][emoji16]Mimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi
Ila ni sababu za marketing tu
PUMBAMuache uchawi,,,ni ngumu kutoona Messi alichofanya jana labda kama ulikua unaangalia game Kwa makasiriko
1.Mbape hakuonekana mda wote wa mchezo mpaka ilipofika dk ya 70 ,,,kabla ya dk 70 alikua kama Peter Banda
2.Di Maria alikua na mchezo mzuri na Kocha alifanya makosa kumtoa,,, Messi alirekebisha makosa ya scallon
3.Martinez ni mwanaume dk ya 120 alifanya save bora katika maisha yake yote ya soka na kwa Wa Argentina na aliokoa penalty mbili kongole kwake
4 .Messi alifunga goli la Kwanza kumbuka penalty hua wanakosa, alichokifanya mpaka goli la pili linapatikana mungu tu ndo anaejua, Goli la tatu Kama ulikua france sawa ila kwa Argentina that was a Beautiful moment ever, penalty ya Kwanza alienda kupiga hakusubiri mambo yaharibike au ubishoo wa kupiga penalty ya mwisho, alitengeneza nafasi nyingi za kufunga kuliko mchezaji yoyote kwenye pitch kwenye ile fainal, Lautaro Kama angetulia au angekua mchezoni angebadilisha kazi alizofanya Messi kuwa magoli,,, yule mwanaume wa miaka 36 kafanya kazi ya vijana wa miaka 22
5.Acha uchawi na makasiriko Messi alistahili kuwa man of the match, Alikua akirekebisha mambo kila yalipokua yanaharibika,
Umri, umri, umri Ndugu yangu [emoji4]Cr7 alishasema fifa wanamuandalia messi cup kilazima France waliforce tu kupata draw, binafsi sijaona maajab ya messi yule wa barca.
[emoji38]Wakati mwingine mkijadili mtumie akili kidogo, mpira ni magoli na tunarukaruka kila yanapoingia.Sasa mwanaume anajikaza anatia goli tatu peke yake wewe unaongea upupu hapa.Wakati mwingine huwa tunajiaibisha sana.Mumpe na uchezaji bora wa dunia na vipenati vyake.
Au wangempa Ronaldo kabisa auššMimi naona hata ile golden ball hakutakiwa kushinda yeye
Mbape alifanya vizuri zaidi katika kombe hili kuliko Messi
Ila ni sababu za marketing tu