vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Kama ni World cup hata Messi 3 angekuwa nazo timu ilikuwa haijitambui tu eg 2014 ile fainal Argentina alishindwa mwenyewe kisa ujinga wa other strikers huwezi kumlaumu Messi hapo
Kwahio hio timu ambayo haijitambui ilimsaidia kufika fainali ?Kama ni World cup hata Messi 3 angekuwa nazo timu ilikuwa haijitambui tu eg 2014 ile fainal Argentina alishindwa mwenyewe kisa ujinga wa other strikers huwezi kumlaumu Messi hapo
Hadi leo hii huwa najuta kumfahamu Higuain na Rodrigo Palacio lile lililokosa goli lenyewe na kipa tu [emoji23]Higuan yule mshenzi sana alinifanya nimchukie mno
Ila kwa mchango wa messi kwenye mpira dunia hii hata asingebeba kombe la Dunia bado ndiye angekuwa mchezaji bora wa wakati wote
kati ya Messi na Ronaldo kwako wewe nani ni bora zaidi a complete footballer ?Mkuu mbona unakuwa mvivu ? Ulishawahi kujiuliza na kufanya Research kwanini Pele hakwenda Juventus, Real n.k. Tafuta sababu alafu utaelewa...
Ila kama watu wenye uwezo wa kuchambua ngoja tupime like for like..., yaani makombe / mashindano aliyocheza Pele na ambayo kacheza Messi (like for like) ambayo ni World Cup.., Hapo Stats zipo vipi naomba unijibu...
Okay kwahio cup competition haina maana ? Sawa.... ngoja nifuate logic yako ili uone kwamba hata wewe mwenyewe hujui unaongea nini au unasimamia nini ?
Hivi unashindwa hata kufanya research kidogo ndugu yangu.... unaongelea kwamba Europe ndio kuna mpira kipindi cha Pele wangapi walikuwa wanatoka kwao kucheza Europe ? Na kipindi hicho ambacho Brazil ilikuwa inachukua makombe huku na kule wale wachezaji walikuwa wanacheza timu gani ? Pili unajua 1961 pele alifanywa nyara ya Serikali ili asichukuliwe ?
Unajua mambo ya ubaguzi ? Eusebio alikuwa the Best Footballer in Europe mara kadhaa ila unajua walivyokutana na timu ya Pele ilkuwaje ? Kuna kombe lilikuwa linaitwa Intercontinental Cup na hili zilicheza timu za Ulaya na South America... unajua ilikuwaje kipindi cha Pele ?
Having already won the World Cup with Brazil, he became a world champion at club level as Santos defeated Benfica to win the Intercontinental Cup in 1962, repeating the feat the following year against AC Milan. In addition to two Intercontinental Cups, Pele's Santos won the shortlived Intercontinental Supercup in 1968.
Club Bingwa ya dunia ilianza lini ? Mkuu cheki hapo continental cup ambayo ilikuwa ni European and South American Cup kipindi cha Pele...
Pia nimekwambia hata wewe mwenyewe unajipinga..., hapo juu umesema world cup (cup competition sio kipimo) sasa club bingwa ni nini ?
Hadi leo hii huwa najuta kumfahamu Higuain na Rodrigo Palacio lile lililokosa goli lenyewe na kipa tu [emoji23]
Mambo PauMessi ni mchezaji kama wengine tu
Thanks to Pele kidogo tunapumua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni upuuzi kumlinganisha Pele na Messi
Pele ni Baba wa Mpira duniani , ndio maana ukaja msemo maarufu umecheza kama Pele sio umecheza kama Messi
Dada nenda kapike chakulaHuna akili
Kucheza km pele nikuchezaje
Sasa aliumia ulitaka acheze na maumivu ? na hizo mechi mbili alifanya nini ?Mnaosema eti Pele ana Worldcup tatu. Mwaka 1962 Pele aliumia kwenye Mechi ya pili na kushindwa kumalizia tournament,
Kwamba goli alilofunga dhidi ya Mexico ulifunga wewe ? Ofcourse 1962 world cup belonged to Garrincha mchawi wa chenga....akina Garincha wakaibeba timu mpaka kutwaa ndoo halafu unakuja hapa kumsifu kwa Worldcup Tatu?.
Kwamba 1958 youngest World Cup Player alikuwa nani ?Messi katwaa Copa America, Pele hajawahi kutwaa Copa America!.
Messi amekuwa mchezaji bora wa mashindano ya Worldcup mbili, ya mwaka 2014 na 2022 , Pele amekuwa mchezaji bora wa Worldcup ya mwaka 1970 tu.
Dada nenda kapike chakula
Sawa DadaKila mtu unamwita dada utakuja kuondoka huna marinda
Messi ndo mchezaji Bora wa muda wote wewe endelea kuamini unavyo amini sikuzuii ila kwangu Messi ndo mchezaji boraKwahio unadhani watu na akili zao wanatafuta stats za kina Pele kwa kutumia Instagram ya Pele ? Yaani FIFA Officially verified Stats ni Insta ya Pele ?
Hii nishajibu mara kibao hata kwenye Post hapo juu acheni kudanganyana Offside rule imeanza tangia 1800's na pia haikuwa marginally onside bali lazima awepo jamaa kabisa mbele yako achana na sasa kwamba upo nae sambamba
Hata uelewa unao mkuu ? Kipindi anaanza kulikuwa hakuna red/ yellow wala substitution na rafu nyingi refa anapeta.Sasa mbona hapo anachezewa rafu na refa anasimamisha mpira kuonesha ni faulo? Tafuteni vigezo ndugu zangu otherwise Messi ni bora kuliko huyo pele.
Narudia uelewa wako unatia mashaka nimesema kipindi cha pele assists zilikuwa haziwi recorded kwahio inabidi watu warudi kutazama mechi ambazo zilikuwa televised (sio zote) kwahio hii stats ni ngumu kuipata sababu hatuna kina opta index wanaochukua kila takwimu Kwahio hizo sio official upande wa PeleNgoja niseme jambo la uongo kwako ,
Umesema enzi hizo asist zilikuwa hazihesabiwi ila umetuandikia kwamba Pele ana 0.83 za asist huku Messi akiwa na 0.79
Huu ni uongo maana kama takwimu hazikuchukuliwa wewe umezitoa wapi?
Again uelewa wako mkuu kipindi kile hakuna marginally offside yaani achana na shati yaani hata kama defender anakuweka onside kwa nusu mwili bado ni offside na zamani kabisa haikuwa mmoja tu bali wawili kwahio kila wakati kulikuwa na defender mbele yako ambae haogopi kwamba ana-kuplay onside....Kuna kipengele cha Offside ambacho umekisemea mi naona cha wakati wa Pele kilikuwa soft maana enzi za sasa ambazo Messi kafunga sana hata tshirt ikizidi tu tayari ni offside that means Messi kafunga magoli huku wachezaji wengi ikilazimika awapite kwanza ndo akafunge.
vipi ?Huyu Pele anaweza kuwa alikuwa bora sana ila Messi kamfunika kwa vingi sana kiuchezaji.
Pele hajacheza hata ulaya.Messi anamzidi Pele kwa kipi labda hilo ndio swali rahisi zaidi ambalo naweza nikakupa jibu kwa haraka...