Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
-
- #61
Unajua kwanini ? Unajua 1961 alifanywa Nyara ili asiende Europe ?Pele hajacheza hata ulaya.
Unajua hao wavuta sigara walishinda kombe la Intercontinetal cup (dhidi ya timu za ulaya) na kushinda mara ngapiAlafu kacheza Vs wakulima na wavuta sigara.
Na hao wanaorudi vibaruani wanaruhusiwa kupiga kiatu cha kila aina na tackles from behind pia ruksaWatu wanatoka kwenye mechi wanarudi vibaruani
hana assists hii umeitoa wapi ?Plus hana Assist hawezi hata kudribble
Unajua signature faint ya Pele ? , Unajua Dribble de Vaca Kwamba pele alikuwa anafanya nini kama sio dribbling au unamfananisha Pele na Emil Heskey au Lukaku ?