Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Hahaha heri tumbo lililokuzaa msemakweliMtoa mada ni team CR7 mwenzangu, ameleta hii mada kujifariji yeye na sie team CR7 wenzake.
[emoji23][emoji23][emoji23] miwa ina madini muhimu sana kuliko pilau ujueWe kubali tu Leo umeshiba miwa basi
Umejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.Pele wakati anacheza mpira alifikisha Goli 1000 Messi wakati anacheza mpira kashindwa kufikisha Goli 1000 ana jumla ya Goli kama 700hivyo kitu ambacho Pele ameweza kufanya uwanjani ni kwamba Kafunga jumla ya Goli 1000 wakati Messi amefikisha Goli 700 plus
Pele ana magoli ya mchongo [emoji23]Umejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.
Na alisema wazi atacheza mpira mpaka afikishe 1000 goals.
Akaenda kucheza na ile mipira ya ufukweni nadhani timu inakuwa na wachezaji 6 kama sio wa5.
Kwanza kwa nini huu mjadala mmeutoa kwa cr na kuuhamishia kwa pele?
Pele wakati anacheza mpira alifikisha Goli 1000 Messi wakati anacheza mpira kashindwa kufikisha Goli 1000 ana jumla ya Goli kama 700hivyo kitu ambacho Pele ameweza kufanya uwanjani ni kwamba Kafunga jumla ya Goli 1000 wakati Messi amefikisha Goli 700 plus
Umejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.
Na alisema wazi atacheza mpira mpaka afikishe 1000 goals.
Akaenda kucheza na ile mipira ya ufukweni nadhani timu inakuwa na wachezaji 6 kama sio wa5.
Kwanza kwa nini huu mjadala mmeutoa kwa cr na kuuhamishia kwa pele?
Nnavyojua kipindi cha babu hapakua na sheria kali kama ilivyo sasa, na hata kipindi cha diego sidhani kama mpira ulikua rahisi...hawa mashabiki wa ronaldo wanatabu..wametoka kwa ronaldo wamehamia kwa pele..ni kwamba wameishiwa hoja.. Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea akifuatiwa na mwamba Diego Armando Maradona..Hahaha heri tumbo lililokuzaa msemakweli
Mimi nilipotazama kakomaa eti messi kacheza zama mpira ukiwa rahisi nikaona huyu ni team CR tu [emoji23][emoji23]
Haters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sadFootball is a Game of Opinions, na kuna wengi wanajaribu kufananisha umahiri wa mchezaji wa kipindi fulani na kipindi kingine; Ingawa ni vigumu na kila mchezaji ana repertoire yake tofauti tofauti ndio maana nikitaka kuwa entertained huenda ningemuangalia Garrincha, Ronaldinho na hata Okocha kuliko hata Messi; ningekuwa natengeneza Timu na nataka clinical finisher huenda nisingemuacha Ronaldo de Lima; LAKINI kuna kuwa na opinion na kuna Kupindisha Data (yaani kutofuata FACTS) hivyo basi ni vema tufanye Dissection ya Messi na Pele
PLAYING POSITION
Messi – Winger / Forward
Kwa aina ya mpira wa sasa na falfalsa ya makocha Messi alianza kama Winger (kama ilivyokuwa kwa kina Henry na Ronaldo) na akawa converted kuwa Forward / Playmaker;
Messi kumfaidi inabidi ujenge timu kwa kutumia strength zake ukimpa mpira anaweza kufungua defence anapenda kwenda kwenye wing na kuingia ndani na mabao yake mengi anayafunga hivyo (ila tukija kwenye taji la playmaker je tunamuhitaji Messi au mtu kama Maestro Andre Pirlo ambaye Pasi yake moja kwa sekunde moja inaweza ikafungua timu ? (Ndio hapo linakuja suala la Greatest of all time Je kina Claude Makalele au Viera na wao tunawaweka wapi)? Unaweza ukasema bila Makalele kwenye ile Galactico (Real Madrid) isingefanya kitu sababu hakuna mkabaji wote ni walikuwa Prima Donnas..., au Toure kwa Barcelona aliwapa kinga / defense ya kufanya wengine waweze kufanya yao...
Pele – Forward
Pele alikuwa Centre Forward anayeshuka mpaka katikati kutafuta na kuchukua mipira au kucheza kama striker wa pili.
PELE STRENGTH Clinical Finisher; Aerial Ability, Physical Strength
Kumbuka kipindi Pele anacheza mwanzoni kulikuwa hakuna Red wala Yellow Card, na faulo za nyuma kilikuwa kitu cha kawaida kwahio kuwapita defender ilihitaji skills na nguvu ya ziada. Pele aliweza kuwapita walinzi kwa urahisi pamoja na yote hayo huku akitumia chenga yake pendwa “dribble da vaca,”
Pele alikuwa ni mtaalamu wa kupiga vichwa, na akicheza kwa flair; ingawa walikuwepo wataalamu wa chenga kumzidi (Garrincha) lakini his eye for goals was second to none at the time
MESSI STRENGTH- Finisher, Vision, Positioning, Dribbler
Messi ana low center of gravity kwahio kumuangusha sio rahisi, na kuwapita walinzi sio kazi kwake ingawa ana bahati ya kucheza kipindi ambacho strikers wanalindwa hivyo kutochezewa rafu bahati ambayo Pele na wenzake walikuwa hawana...
BIASED OPINIONS
Pele alicheza kipindi ambacho hakuna Sheria za Offside hivyo alifunga Magoli Mengi (SI KWELI)
Ukiangalia sheria ya offside imebadilika tokea miaka ya 1800; hapo mwanzo ilikuwa ngumu zaidi sababu ilitakiwa kuwe na walinzi watatu mbele yako kujumlisha na kipa ndio sio offside; ikaja wawili na miaka ya tisini wakaleta rule ya kwamba hata ukiwa marginally na walinzi yaani mbele yako kuna kipa tu upo onside....
Hii kwa ma-striker wa sasa imekuwa rahisi na kwa ma-defender hali imekuwa ngumu..., watu kama Ruud Van Nistelrooy, Anelka, Henry, Andy Cole waliitumia sana hii mtu anakaa na wewe sambamba au anakuwa offside position...., watu kama kina David Beckham wakati wanapiga pasi (instantly) jamaa wanarudi usawa wa defender na kuukimbilia mpira / pasi.., Hivyo sio kweli kwamba Strikers wa sasa wana shida bali defenders wa sasa ndio wana shida...
Ballon d’Ors
Nadhani wanaoleta hii kitu katika maongezi ya Greatest of all Time hawajui hata hii Award inapatikana vipi; na hawajui kwamba Pele sio kwamba hakuweza kucheza Europe bali nchi yake ilimfanya Nyara ya Serikali ili asiweze kuondoka akiwa kwenye Peak... Anyway, waanzilishi wa hii Award wamerudi nyuma na kusema kama Pele angekuwepo kwenye voting basi angekuwa na hizi Award sawa na Messi
France Football claim Pele has same number of Ballon d'Ors as Lionel Messi | SportsJOE.ie
MESSI AND PELE STATS
(Kwenye Assists ni Debatable zamani zilikuwa haziwi recorded – na hizi game ni Official Pele alicheza nyingi zaidi)
Messi
Team Games Goals Assists Ratio PSG 53 23 28 0.43 Barcelona 778 672 269 0.86 Argentina 172 98 53 0.57 Total 1003 793 350 0.79
Pele
Team Games Goals Assists Ratio Santos FC 656 643 277 0.98 Cosmos NY 64 37 23 0.58 Brazil 92 77 43 0.84 Total 812 757 343 0.93
There you have it There is only one King Pele alafu wengine wengi....
Na kwenye mpira kuna entertainers, kuna watu ni clinical kuna watu wana footballing Brain kama Andre Pirlo, kuna kina Glenn Hoddle na hata Bongo tuna kina OCD, Hussein Amani Masha au hata Samli Ayoub (Beki Mstaarabu) - Kipindi kile cha Rafu na Undava undava mtu anamaliza mpira jezi bado safi (alafu ni Beki) - Avumae Papa Baharini ingawa wengi wapo ila bado Papa yupo na Papa ni Pele
Haters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sad
Zitaje hizo game za mchangani alicheza na timu gani ili tujue maana mkipewa takwimu mnaishia kuleta porojo zitaje hizo mechi za mchangani alicheza kota mwaka gani hadi mwaka Gani na alifunga magoli mangapi swali lako hukuliza Romario uliuliza Kitu ambacho Pele kafanya kweny soka na Messi kashindwa kufanya Romario anaingiaje hapaUmejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.
Na alisema wazi atacheza mpira mpaka afikishe 1000 goals.
Akaenda kucheza na ile mipira ya ufukweni nadhani timu inakuwa na wachezaji 6 kama sio wa5.
Kwanza kwa nini huu mjadala mmeutoa kwa cr na kuuhamishia kwa pele?
Vikombe Ata kina Sergio Ramos wameshindwa mjomba kwanin mkipewa takwimu hamtaki kukubali shida yenu mnalazimisha Messi awe GOAT ila takwimu zinamgomeaHaters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sad
Toa sababu kwaninNnavyojua kipindi cha babu hapakua na sheria kali kama ilivyo sasa, na hata kipindi cha diego sidhani kama mpira ulikua rahisi...hawa mashabiki wa ronaldo wanatabu..wametoka kwa ronaldo wamehamia kwa pele..ni kwamba wameishiwa hoja.. Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea akifuatiwa na mwamba Diego Armando Maradona..
Uyo Diego maradona na Messi wanamzidi kitu Gani Pele viseme apa tusikieWewe unamchukia messi ndio maana unang'ang'ana na babu yako pele mtu ambae era yake hapakua na sheria ngumu kama ilivyo sasa.. Diego Armando alishamfunika huyo babu, kwa messi ndio ataweza!
Tunaangalia main key kwenye hvyo vikombe husika, sasa tukihesabu hayo magoli kuna ligi za mchangani watu Wana magoli kibao , kuna makombe na vikombe, makombe aliyobeba Pele ya maana ni world cup tuuu , na hajawahi cheza kwenye ligi shindani ulaya ,Messi kabeba makombe yote shindani tena akiwa mchezaji tegemewa , narudia tena makombe yoteeee...na bado anaendelea kuyanyanyua mana hajastaaaf , usipomkubali kama mchezaji Bora kuwahi kutokea kuliko wote basi wajukuu zako watamkubali .....Vikombe Ata kina Sergio Ramos wameshindwa mjomba kwanin mkipewa takwimu hamtaki kukubali shida yenu mnalazimisha Messi awe GOAT ila takwimu zinamgomea
Pele Hana Balon d'Or hata MojaUyo Diego maradona na Messi wanamzidi kitu Gani Pele viseme apa tusikie
Wote wana world cup, wawili wamecheza ulaya na pia Messi ana Ballon d'Or na mazagazaga.. vile vile wamechezea timu kubwa na haswaa wakiwa ndio tegemezi na kuzisaidia timu hizo kunyanyua ubingwa...Uyo Diego maradona na Messi wanamzidi kitu Gani Pele viseme apa tusikie
Kwa kukuonyesha kwamba mpira sasa hivi umekuwa rahisi kwa Striker ngoja uone jinsi freak of Nature Striker Erling Braut Haaland atakavyopangua rekodi za magoli...., sio kwamba ni mchovu jamaa ana nguvu na ana pace (mbio ) na ukizingatia kiatu hapigwi kutokana na sheria za sasa wewe ngoja uone mambo yatakavyokuwa..., Unless Sheria zibadilike tena au kitokee kitu cha kusitisha career yake..., ila bado ukiangalia ratio nadhani atapata ratio kubwa ambayo itakuwa shida kuivunja....Haters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sad
Messi ana World Cup Moja; na hapo ni baada ya kuingia Fainali mara mbili na ku-bottle it, Messi amecheza mechi nyingi World Cup kuliko wote hao Yaani ni mmoja kati ya wanaoongoza kwa kucheza hili Kombe - Na ameshinda Kombe moja courtesy of heroics za kipa na hapo kwa kukosa penalty kadhaa na timu yake mabao kurudishwa huku wakiwa wanaongeza....Wote wana world cup,
Tafuta History moja Ulaya walikuja Politics zikakataa asiuzwe pia kipindi hicho cultural differences unless angecheza portugal na language barrier ingekuwa ngumu kwa kijana wa miaka 17 na kipindi hicho wachezaji walikuwa wanacheza makwao hio ndio ilikuwa formula sio kipindi hiki cha mercenaries...., by the way sababu Ballon d'Or ni ya ulaya pekee watoa TUZO walikuja kufanya tena uchambuzi kama lingetoka kwa non European Clubs basi Pele angeshinda same number as Messi na hapo ni kwa yeye kuwa na a shorter careerwawili wamecheza ulaya na pia wana Ballon d'Or na mazagazaga..
Hivi unajua kitu kilikuwa kinaitwa Intercontinental Cup Hili lilikuwa Kombe la Timu za Ulaya na South America, katafute Pele na Santos walishindwa mara ngapi na hapo ni against na kina AC Milan alafu rudi tuendelee na mjadala ulioshiba (yaani ukiwa na Data zinazoeleweka)vile vile wamechezea timu kubwa na haswaa wakiwa ndio tegemezi na kuzisaidia timu hizo kunyanyua ubingwa...
Mbali na world cup, hebu niambie huyo babu alichowazidi Messi na Maradona!