Messi Vs Pele

Messi Vs Pele

Pele wakati anacheza mpira alifikisha Goli 1000 Messi wakati anacheza mpira kashindwa kufikisha Goli 1000 ana jumla ya Goli kama 700hivyo kitu ambacho Pele ameweza kufanya uwanjani ni kwamba Kafunga jumla ya Goli 1000 wakati Messi amefikisha Goli 700 plus
Umejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.
Na alisema wazi atacheza mpira mpaka afikishe 1000 goals.

Akaenda kucheza na ile mipira ya ufukweni nadhani timu inakuwa na wachezaji 6 kama sio wa5.
Kwanza kwa nini huu mjadala mmeutoa kwa cr na kuuhamishia kwa pele?
 
Pele ana magoli ya mchongo [emoji23]
 
From the day Piers Morgan made an interview with him (Ronaldo) his life haven’t been the same. I’m mad at Piers Morgan because sometimes you need to think before asking questions. And Ronaldo is that kind of person who can’t hold certain things in his heart. Media destroyed a beautiful game and people reputations. Piers Morgan you have to learn more about moral
1671985899052.jpg
 
Pele wakati anacheza mpira alifikisha Goli 1000 Messi wakati anacheza mpira kashindwa kufikisha Goli 1000 ana jumla ya Goli kama 700hivyo kitu ambacho Pele ameweza kufanya uwanjani ni kwamba Kafunga jumla ya Goli 1000 wakati Messi amefikisha Goli 700 plus

Wewe unamchukia messi ndio maana unang'ang'ana na babu yako pele mtu ambae era yake hapakua na sheria ngumu kama ilivyo sasa.. Diego Armando alishamfunika huyo babu, kwa messi ndio ataweza!
 
Umejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.
Na alisema wazi atacheza mpira mpaka afikishe 1000 goals.

Akaenda kucheza na ile mipira ya ufukweni nadhani timu inakuwa na wachezaji 6 kama sio wa5.
Kwanza kwa nini huu mjadala mmeutoa kwa cr na kuuhamishia kwa pele?

Yani mtu anaanzisha thread ya pele na King Messi kweli! Ni kama ufananishe ukubwa wa bahari na bwawa lipi kubwa while inaeleweka kabisa ni bahari 😃
😃😃
 
Hahaha heri tumbo lililokuzaa msemakweli

Mimi nilipotazama kakomaa eti messi kacheza zama mpira ukiwa rahisi nikaona huyu ni team CR tu [emoji23][emoji23]
Nnavyojua kipindi cha babu hapakua na sheria kali kama ilivyo sasa, na hata kipindi cha diego sidhani kama mpira ulikua rahisi...hawa mashabiki wa ronaldo wanatabu..wametoka kwa ronaldo wamehamia kwa pele..ni kwamba wameishiwa hoja.. Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea akifuatiwa na mwamba Diego Armando Maradona..
 
Football is a Game of Opinions, na kuna wengi wanajaribu kufananisha umahiri wa mchezaji wa kipindi fulani na kipindi kingine; Ingawa ni vigumu na kila mchezaji ana repertoire yake tofauti tofauti ndio maana nikitaka kuwa entertained huenda ningemuangalia Garrincha, Ronaldinho na hata Okocha kuliko hata Messi; ningekuwa natengeneza Timu na nataka clinical finisher huenda nisingemuacha Ronaldo de Lima; LAKINI kuna kuwa na opinion na kuna Kupindisha Data (yaani kutofuata FACTS) hivyo basi ni vema tufanye Dissection ya Messi na Pele

PLAYING POSITION
Messi – Winger / Forward

Kwa aina ya mpira wa sasa na falfalsa ya makocha Messi alianza kama Winger (kama ilivyokuwa kwa kina Henry na Ronaldo) na akawa converted kuwa Forward / Playmaker;

Messi kumfaidi inabidi ujenge timu kwa kutumia strength zake ukimpa mpira anaweza kufungua defence anapenda kwenda kwenye wing na kuingia ndani na mabao yake mengi anayafunga hivyo (ila tukija kwenye taji la playmaker je tunamuhitaji Messi au mtu kama Maestro Andre Pirlo ambaye Pasi yake moja kwa sekunde moja inaweza ikafungua timu ? (Ndio hapo linakuja suala la Greatest of all time Je kina Claude Makalele au Viera na wao tunawaweka wapi)? Unaweza ukasema bila Makalele kwenye ile Galactico (Real Madrid) isingefanya kitu sababu hakuna mkabaji wote ni walikuwa Prima Donnas..., au Toure kwa Barcelona aliwapa kinga / defense ya kufanya wengine waweze kufanya yao...

Pele – Forward
Pele alikuwa Centre Forward anayeshuka mpaka katikati kutafuta na kuchukua mipira au kucheza kama striker wa pili.

PELE STRENGTH Clinical Finisher; Aerial Ability, Physical Strength
Kumbuka kipindi Pele anacheza mwanzoni kulikuwa hakuna Red wala Yellow Card, na faulo za nyuma kilikuwa kitu cha kawaida kwahio kuwapita defender ilihitaji skills na nguvu ya ziada. Pele aliweza kuwapita walinzi kwa urahisi pamoja na yote hayo huku akitumia chenga yake pendwa “dribble da vaca,”

Pele alikuwa ni mtaalamu wa kupiga vichwa, na akicheza kwa flair; ingawa walikuwepo wataalamu wa chenga kumzidi (Garrincha) lakini his eye for goals was second to none at the time

MESSI STRENGTH- Finisher, Vision, Positioning, Dribbler
Messi ana low center of gravity kwahio kumuangusha sio rahisi, na kuwapita walinzi sio kazi kwake ingawa ana bahati ya kucheza kipindi ambacho strikers wanalindwa hivyo kutochezewa rafu bahati ambayo Pele na wenzake walikuwa hawana...

BIASED OPINIONS

Pele alicheza kipindi ambacho hakuna Sheria za Offside hivyo alifunga Magoli Mengi (SI KWELI)

Ukiangalia sheria ya offside imebadilika tokea miaka ya 1800; hapo mwanzo ilikuwa ngumu zaidi sababu ilitakiwa kuwe na walinzi watatu mbele yako kujumlisha na kipa ndio sio offside; ikaja wawili na miaka ya tisini wakaleta rule ya kwamba hata ukiwa marginally na walinzi yaani mbele yako kuna kipa tu upo onside....

Hii kwa ma-striker wa sasa imekuwa rahisi na kwa ma-defender hali imekuwa ngumu..., watu kama Ruud Van Nistelrooy, Anelka, Henry, Andy Cole waliitumia sana hii mtu anakaa na wewe sambamba au anakuwa offside position...., watu kama kina David Beckham wakati wanapiga pasi (instantly) jamaa wanarudi usawa wa defender na kuukimbilia mpira / pasi.., Hivyo sio kweli kwamba Strikers wa sasa wana shida bali defenders wa sasa ndio wana shida...

Ballon d’Ors
Nadhani wanaoleta hii kitu katika maongezi ya Greatest of all Time hawajui hata hii Award inapatikana vipi; na hawajui kwamba Pele sio kwamba hakuweza kucheza Europe bali nchi yake ilimfanya Nyara ya Serikali ili asiweze kuondoka akiwa kwenye Peak... Anyway, waanzilishi wa hii Award wamerudi nyuma na kusema kama Pele angekuwepo kwenye voting basi angekuwa na hizi Award sawa na Messi

France Football claim Pele has same number of Ballon d'Ors as Lionel Messi | SportsJOE.ie

MESSI AND PELE STATS
(Kwenye Assists ni Debatable zamani zilikuwa haziwi recorded – na hizi game ni Official Pele alicheza nyingi zaidi)

Messi
TeamGamesGoalsAssistsRatio
PSG5323280.43
Barcelona7786722690.86
Argentina17298530.57
Total10037933500.79

Pele

TeamGamesGoalsAssistsRatio
Santos FC6566432770.98
Cosmos NY6437230.58
Brazil9277430.84
Total8127573430.93

There you have it There is only one King Pele alafu wengine wengi....

Na kwenye mpira kuna entertainers, kuna watu ni clinical kuna watu wana footballing Brain kama Andre Pirlo, kuna kina Glenn Hoddle na hata Bongo tuna kina OCD, Hussein Amani Masha au hata Samli Ayoub (Beki Mstaarabu) - Kipindi kile cha Rafu na Undava undava mtu anamaliza mpira jezi bado safi (alafu ni Beki) - Avumae Papa Baharini ingawa wengi wapo ila bado Papa yupo na Papa ni Pele
Haters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sad
 
Wanatia huruma sana.. hivi kweli King Messi wakumlinganisha na babu!
 
Umejaribu kueleza. Goals 1000 kwenye game nyingine za mchangani. Ndio maana hata Romario naye kafikisha magoli 1000.
Na alisema wazi atacheza mpira mpaka afikishe 1000 goals.

Akaenda kucheza na ile mipira ya ufukweni nadhani timu inakuwa na wachezaji 6 kama sio wa5.
Kwanza kwa nini huu mjadala mmeutoa kwa cr na kuuhamishia kwa pele?
Zitaje hizo game za mchangani alicheza na timu gani ili tujue maana mkipewa takwimu mnaishia kuleta porojo zitaje hizo mechi za mchangani alicheza kota mwaka gani hadi mwaka Gani na alifunga magoli mangapi swali lako hukuliza Romario uliuliza Kitu ambacho Pele kafanya kweny soka na Messi kashindwa kufanya Romario anaingiaje hapa
 
Haters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sad
Vikombe Ata kina Sergio Ramos wameshindwa mjomba kwanin mkipewa takwimu hamtaki kukubali shida yenu mnalazimisha Messi awe GOAT ila takwimu zinamgomea
 
Nnavyojua kipindi cha babu hapakua na sheria kali kama ilivyo sasa, na hata kipindi cha diego sidhani kama mpira ulikua rahisi...hawa mashabiki wa ronaldo wanatabu..wametoka kwa ronaldo wamehamia kwa pele..ni kwamba wameishiwa hoja.. Messi ndie mchezaji bora kuwahi kutokea akifuatiwa na mwamba Diego Armando Maradona..
Toa sababu kwanin
 
Embu tuheshimu nafasi za hawa watu. Pele/Maradona. Kuna sababu ni kwann kabla yao hakuna anayetajwa tajwa kwa kiwango chao.

Messi ni wa kizazi hichi, alinganishwe na wa kizazi hichi ambao tayari ameshawaburuza na kuchukua nafasi yake, kumrudisha kwa babu zake na kutaka wavue nafasi zao wampe yeye ni kujidanganya. Tutajadili mpaka mwisho wa JF ila nafasi ya kina Pele itabaki kuwa ya kipekee.
 
Vikombe Ata kina Sergio Ramos wameshindwa mjomba kwanin mkipewa takwimu hamtaki kukubali shida yenu mnalazimisha Messi awe GOAT ila takwimu zinamgomea
Tunaangalia main key kwenye hvyo vikombe husika, sasa tukihesabu hayo magoli kuna ligi za mchangani watu Wana magoli kibao , kuna makombe na vikombe, makombe aliyobeba Pele ya maana ni world cup tuuu , na hajawahi cheza kwenye ligi shindani ulaya ,Messi kabeba makombe yote shindani tena akiwa mchezaji tegemewa , narudia tena makombe yoteeee...na bado anaendelea kuyanyanyua mana hajastaaaf , usipomkubali kama mchezaji Bora kuwahi kutokea kuliko wote basi wajukuu zako watamkubali .....
Tuzo alizobeba Messi , Pele hata nusu hafiki , Pele Hana hata Balon d'Or Moja , Messi anazo Saba na anaenda beba ya nane ..... Tuache unafiki na data za mchongo .... Baada ya hyo ndoo kupelekwa kabatini , mjadala ulifungwa rasmi Nani ni Real 🐐

20221220_054732.jpg
 
Uyo Diego maradona na Messi wanamzidi kitu Gani Pele viseme apa tusikie
Wote wana world cup, wawili wamecheza ulaya na pia Messi ana Ballon d'Or na mazagazaga.. vile vile wamechezea timu kubwa na haswaa wakiwa ndio tegemezi na kuzisaidia timu hizo kunyanyua ubingwa...

Mbali na world cup, hebu niambie huyo babu alichowazidi Messi na Maradona!
 
Haters wa Messi mmeamua kujifariji kivingine , ungeweka na data za vikombe recently ,na bado Messi anazidi kuvikusanya, mpak aje kustafu watetezi wa legacy za babu mtakuwa mmetera na club zake za mchangani ,ukweli ni kwamba Messi amewapiga gap hao wazee , kizazi kijacho kitakuja kudhibitisha , kizazi cha sa hv bado mna ego , so sad
Kwa kukuonyesha kwamba mpira sasa hivi umekuwa rahisi kwa Striker ngoja uone jinsi freak of Nature Striker Erling Braut Haaland atakavyopangua rekodi za magoli...., sio kwamba ni mchovu jamaa ana nguvu na ana pace (mbio ) na ukizingatia kiatu hapigwi kutokana na sheria za sasa wewe ngoja uone mambo yatakavyokuwa..., Unless Sheria zibadilike tena au kitokee kitu cha kusitisha career yake..., ila bado ukiangalia ratio nadhani atapata ratio kubwa ambayo itakuwa shida kuivunja....

Tatizo wewe ni mpenzi kwahio macho yako yanatingwa unashindwa kufanya uchambuzi...., ungefanya uchambuzi kidogo tu ungegundua hata huko spain alikocheza kwenye his peak ingawa ana mabao mengi ila ratio yake sio kubwa (yaani sio clinical) goals per match ingawa sio mbaya ila kuna zaidi yake (na hapo tunachambua like for like)

Tukija world cup conversion rate yake kutokana ni kwamba ni kati ya watu waliocheza mechi nyingi kwenye Kombe la dunia lakini ana Kombe moja...., tofauti na Pele ambaye amecheza world cup nne, mbili kati ya hizo moja alipigwa kiatu mpaka mechi ya pili akashindwa kuendelea na kuamua kujiuzulu, nyingine alipigwa kiatu mechi ya pili akatoka wakati ya kwanza alishatupia goli...., Ya kwanza kucheza mechi za mwanzo hakucheza mpaka alivyoingia na kufanya mambo akaendelea mpaka kuchukua kombe 1958, na 1970 akafanya yake pia (baada ya introduction ya red and yellow cards) World Cup Nne - Makombe 3 that's what I call excellent conversion rate....

Unaona hapo juu ni tofauti kati yangu mimi na wewe, mimi nachambua kulingana na happenstances wewe unachambua kutokana na mapenzi yako kwa mtu.... hufanyi comparable analysis....
 
Wote wana world cup,
Messi ana World Cup Moja; na hapo ni baada ya kuingia Fainali mara mbili na ku-bottle it, Messi amecheza mechi nyingi World Cup kuliko wote hao Yaani ni mmoja kati ya wanaoongoza kwa kucheza hili Kombe - Na ameshinda Kombe moja courtesy of heroics za kipa na hapo kwa kukosa penalty kadhaa na timu yake mabao kurudishwa huku wakiwa wanaongeza....

Pele kacheza world cup nne kati ya hizo mbili alipigwa kiatu moja yeye na timu yake hata group la makundi hawakuvuka nyingine baada ya kufunga mechi ya kwanza ya pili kiatu hadi hakuendelea..., na ana World Cup Tatu (I repeat Tatu from Four)
wawili wamecheza ulaya na pia wana Ballon d'Or na mazagazaga..
Tafuta History moja Ulaya walikuja Politics zikakataa asiuzwe pia kipindi hicho cultural differences unless angecheza portugal na language barrier ingekuwa ngumu kwa kijana wa miaka 17 na kipindi hicho wachezaji walikuwa wanacheza makwao hio ndio ilikuwa formula sio kipindi hiki cha mercenaries...., by the way sababu Ballon d'Or ni ya ulaya pekee watoa TUZO walikuja kufanya tena uchambuzi kama lingetoka kwa non European Clubs basi Pele angeshinda same number as Messi na hapo ni kwa yeye kuwa na a shorter career
vile vile wamechezea timu kubwa na haswaa wakiwa ndio tegemezi na kuzisaidia timu hizo kunyanyua ubingwa...

Mbali na world cup, hebu niambie huyo babu alichowazidi Messi na Maradona!
Hivi unajua kitu kilikuwa kinaitwa Intercontinental Cup Hili lilikuwa Kombe la Timu za Ulaya na South America, katafute Pele na Santos walishindwa mara ngapi na hapo ni against na kina AC Milan alafu rudi tuendelee na mjadala ulioshiba (yaani ukiwa na Data zinazoeleweka)
 
Back
Top Bottom