Umezaliwa juzi kumbe (Ingawa hili sio tatizo lakini tatizo ni uvivu wa kufuatilia mambo) Pele ni (SI Unit) miaka yote Pele anafananishwa na kila mtu wala hii sio mara ya kwanza au ya mwisho ataendelea kufananishwa na kila mtu.... yaani kama unavyofananisha cm 100 na mita 1
Muhimili wa Brazil 1958 alikuwa nani ebu mtaje ? tofauti na Pele alikuwa na Captains ambao walikuwa wanahakikisha wana-command respect when things go wrong they stand and be counted tofauti mkiwa mnazama ukimuangalia Messi na yeye anasinyaa ndio matokeo ya kucheza fainali nyingi na kutoka empty handed (In comparison na Pele)
Sasa huoni kwenye Timu ya vinara kwa kumuachia Pele a 17 year old chance na akafanya yake its a show of respect au unataka kumaanisha nini ? Brazil ya mwaka huu nzuri kushinda Argentina ila imeshinda Kombe ? Angekuwepo mtu kama pele wa kuweza kufanya anayofanya ingekuwaje ? Unadhani waliomtarget Pele kwa buti ili asicheze walikuwa hawajui kwanini wam-target Pele
Aisee unajichanganya tuu mkuu kwahio Brazil ilikuwa nzuri 1938 au mwaka gani 1958 unajua Pele asingecheza ila kuna captains wa timu wakamlazimisha kocha awapange Pele na Garrincha (unadhani walipangwa ili kupendezesha timu) unasema wangeshinda regardless who was their players ? Kwamba Brazil ingekuwa Better without their Best Player ?;
Arguably the Best Brazil Teams ever ni 1970 na 1982 ya kina Zicco ila 1982 walishinda Kombe ? Kumbuka ni rahisi kutengeneza Timu ukiwa na mtu kama Pele (Team Player) kuliko kina Prima Donna's wa Sasa (hawakabi wanatembea na wanamgomea Kocha) kwahio Brazil were the best Teams (key word Team na sio a bunch of 11 individuals) na katika hizo Team Pele was their Main Man
Timu ya 1982 ilikuwa inasifika kwa one touch football, wakati wa Pele Ilikuwa inasifika kwa Ginga (Samba Style) ndio hii Neymar anafanya yaani ukipata mpira ni burudani tosha...
Kwahio sasa tunaongelea magoli peke yake angalia katika hizo world cup assits alikuwa anafanya nani Hivi unajua sifa nyingine ya Pele ilikuwa hata anapoweza kufunga bao akiona mwenzake yupo poa zaidi anatoa pasi ? angalia magoli yaliyofungwa Kwenye Fainali 1970..., by the way.. Kipindi kile timu nyingine zina goal poachers Pele was more than a scorer
https://www.worldfootball.net › wm-1970-in-mexiko
| # | Player | Country | Team | Assists |
|---|
| 1. | Pelé | Brazil | Brazil | 5 |
| 2. | Tostão | Brazil | Brazil | 4 |
| 3. | Hristo Bonev | Bulgaria | Bulgaria | 3 |
Mkuu hata kwenye vinara kuna vinara zaidi hivi tujiulize World Cup aliyochukua Messi kuna mtu aliyewabeba zaidi ya Kipa wao ?!!! Au unataka kusema nini kwamba katika Peak ya Brazil mchezaji wao nyota hakuwa Pele ? Nashindwa kukuelewa mkuu chagua point moja to delve into it na kwenda logically sio ku-pick and choose...