Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Ronaldo ameanza kucheza UCL kabla ya mesi na anamzidi karibu mechi zaidi ya kumi lakn wako sawa kweny record ya ufangaji bora wa mda wote UCL.
messsi ni habar nyingine
 
Wote sawa,fomu tu ndo inatofautiana

sawa kwa kuwa wote binadamu na wote ni wachezaji mpira na wote wanachezea hispain ila kwa viwango MESSI ni kama jiji la NEW YORK alaf Penado ni kama kijiji cha BUNJU/BOKO
 
kama ningekuwa mzuri wa typing nikeandika yote but kidogo tofauti nu messi mzuri wa dribbling wakati ronaldo ni mzuri wa footwork average ya shoot ronaldo ni nzuri messi yuko vizur kweny choping ronaldo anawastani mzuri wa gol per mechi wakati mess anawastani mzuri wa kuutawala mchezo
 
Ronaldhinho on Messi Breaking Pele's record

Reporter : Messi breaks Peles record is he better than Pele?

Ronaldinho : To be better than pele you have to win 3 world cups. Not to score against Zaragoza ; Getafe and Mallorca #Dinho
 
Ukitaka kujua mtu mwenye akili nzuri , awe mtazama mpira .. Muulize Ronaldo vs messi nani mkali ... Akikupa jibu utajua akili yake ...
 
When CR scores, it's ordinary game small teams(and always Madrid already leading)
When Messi scores, frequently it's a deciding goal/s and tough games vs big Teams
 

cc Szczesny
 
Ume ignore ya ronaldinho
Alafu unaleta ya scholes

Bias hzo
Mkuu tambua Brazil & Argentina are rival enemies, so kwa Ronaldinho kusema aliyosema kuhusu kumlinganisha Pele na Messi sio ajabu. Isipokuwa kwa Scholes na wachezaji wengine ambao sio wa Argentina wala Brazil waliocheza nao kushare opinions zao juu ya Messi na Ronaldo zina uzito.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sababu zako ndogo sana ,alves pia ni mbrazil na anakwambia messi ni zaid ya pele

Ki ujumla mna taka kutulazimisha tuso amini messi mzuri tuamini jambo ambalo ni gumu
 
Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…