Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Nyie kigezo Chenu cha kuwa na ubora si ni mpaka mchezaji awe umebeba ndoo kubwa duniani ndo maana nikamleta muller kwamba nae ni mchezaji bora maana ana world cup!Muller ni Gwiji? Au hujaiona hiyo?
Kwa Ujerumani soma link hii chini
Franz Beckenbauer - Google Search
Kuchezea timu tofauti sio ubora. Kama ndio hvy scholes maldin gerrard nao sio bora basiRinaldo uwezi kumfananisha na takataka messi kwani hata magoli yete aliyofunga kwa jumla ni mengi sana mess hafiki hata nusu. Ninaposema yote namaanisha aliyoyafunga akiwa fc porto, united, Madrid na timu yake ya taifa. Pia ronaldo amedhiirisha kwamba yeye ni bora kwa kecheza timu tofauti tofauti na kupata mafanikio makubwa kwa kila timu aliyoichezea na kuwa kunara wa ufungaji magoli
Pia tukumbuke ronaldo amecheza na viungo katika timu tofauti lakini pamoja na hayo yote ameendelea kutesa kama kawaida.
Sasa tumwangalie messi, ninasema hata nigekuwa mimi, ukaniweka pamoja na iniesta na sharvi kwa muda mrefu nikazoea, kucheza na hao viumbe wa ajabu katika soka, nisingeshindwa keep tu chochote. Au chukulia ronaldo ka angepata nafasi ya kucheza pamoja na hao niliowataja ingekuwaje?
Wote bila shaka mtakubaliana na Mimi kwamba messi ameshindwa kupata mafanikio katika timu yake ya taifa kwa sababu ya kuwakosa hao watu wawili yaani iniesta na shavi.
Hivyo basi messi ninamuona kuwa wa kawaida sana kwa sababu ameshindwa kucheza na kupata mafanikio akiwa hana hao kina iniesta na shavi, lakini ronaldo ninamuona ni bora sana zaidi ya messi kwa sababu amefanikiwa katika timu zote alizozichezea akiwa na wachezaji tofauti tofauti, na kufanikiwa kufunga magoli kama atakavyo.
Ronaldo de lima yeye na timu ya taifa tu Club level hana hata kombe je DE LiMA sio bora???Nyie kigezo Chenu cha kuwa na ubora si ni mpaka mchezaji awe umebeba ndoo kubwa duniani ndo maana nikamleta muller kwamba nae ni mchezaji bora maana ana world cup!
Sihitaji uniorodheshee mchezaji gwiji..hapana!
Tafsiri ya mchezaji mzuri na Fundi ni uwezo wake na sio makombe! Na kwenye makombe hapo ndipo Ronaldo anapojifichia...Gaucho hata kama asingezibeba ndoo kubwa bado ungekuwa bora kuliko wachezaji wengi tuliopata kuwaona.
Wanatafuta vichaka vya kujifichia kwa sasa tunachoma vichaka vyote..kichaka cha kucheza ligi tofauti hakipo tena...truth must be told!Kuchezea timu tofauti sio ubora. Kama ndio hvy scholes maldin gerrard nao sio bora basi
Ndio nawashangaa ina maana alex furgson sio kocha bora sababu kafundisha UK tu??Wanatafuta vichaka vya kujifichia kwa sasa tunachoma vichaka vyote..kichaka cha kucheza ligi tofauti hakipo tena...truth must be told!
Pele mwenyewe alikubali kwamba anashangaa kwanini watu wanamuita yeye mfalme wa soka akasema dunia INA haja ya kumtizama Messi kama king pia.
Gaucho wakati yuko PSG hakuna aliyemfahamu vizuri mpaka pale alipong'ara WC ya 2002 kwa kutoa mchango mkubwa sana kwa timu yake ya Taifa. Kumfunga Turkey kwenye fainali zile ilikuwa kazi ngumu sana maana jamaa pale katikati walikuwa na fundi mmoja alienda kwa jina la Hassan Sasi!Nyie kigezo Chenu cha kuwa na ubora si ni mpaka mchezaji awe umebeba ndoo kubwa duniani ndo maana nikamleta muller kwamba nae ni mchezaji bora maana ana world cup!
Sihitaji uniorodheshee mchezaji gwiji..hapana!
Tafsiri ya mchezaji mzuri na Fundi ni uwezo wake na sio makombe! Na kwenye makombe hapo ndipo Ronaldo anapojifichia...Gaucho hata kama asingezibeba ndoo kubwa bado ungekuwa bora kuliko wachezaji wengi tuliopata kuwaona.
hapo naona unaweka mifano tofauti na mpiraHilo halipo na haya ndio mungu hayataki eti kati ya mungu na shetni nani ana nguvu eti unasema wote wanalingana kisha na shetani nae ana super power!? Nop
Be specific kati ya Messi na Ronaldo nani fundi basi!
Kwa mtazamo wangu kiuwezo wa mchezeshaji hata Marcelo ni bora kuliko Ronaldo wenu ambae anaweza kuwa anamzidi Marcelo mafanikio na sio uwezo.
We jamaa hata Pirlo humjui kweli?Hapo kuna utofauti mkubwa mno. Tofauti kati ya Messi and Cr7 ni uwezo.
King messi anatumia akili uwanjani, anakusanya mkoa anafunga. Na hakuna mchezaji yoyote aliyemfikia leo messi tangia soka lianze hapa duniani. Sitaki ubishani wakati kitu kinaeleweka.
Cr7 anatumia nguvu/boxer, magoli yake mingi yakupewa na kumarizia.
Kwahiyo ni kosa kubwa mno kulinganisha SHEPHERD na KOKO
1 KING MESSI
2 KING DIEGO
3 pele
4 alfredo de stefano
5 Zinedine
6 requelme
7 cr7
8 redondo
9Burruchagga
9 iniesta
10 Aguero
10 Beckenbauer
11 De lima
12 Dybala
TOFAUTI NI KUAHabari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
Mkuu ss tuliocheza mpira wa kisom kidogo angalau tunao ufaham juu ya Hao jamaa...Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
Kuna mambo mawili tu yanaweza kukufanya usione tofauti ya Messi na Ronaldo:Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
TOFAUTI NI KUA
Mess mvulana
Ronaldo kidume mwenzetu
poa kijike,usiuze mpaka za kwako za kuvaa,bakiza kama ulivyobakiza shanga hizo ulizovaa hapo
Kidume, mambo! Nauza hereni
Mkuu gaucho wa barca na Brazil n wachezaj wawil tofaut...refer world cup 2006 walipocheza na zizzou...gaucho wa barca n habar nyingne kabsa...Gaucho wakati yuko PSG hakuna aliyemfahamu vizuri mpaka pale alipong'ara WC ya 2002 kwa kutoa mchango mkubwa sana kwa timu yake ya Taifa. Kumfunga Turkey kwenye fainali zile ilikuwa kazi ngumu sana maana jamaa pale katikati walikuwa na fundi mmoja alienda kwa jina la Hassan Sasi!
Kwa hiyo hii line ya akina Gaucho unakuta Messi bado ana deni kubwa na tumtie nguvu maana bado muda upo tu. So, Gaucho baada ya lile kombe la dunia ndo akabakia katika ramani ya soka kwelikweli na hiyo ndio hali halisi hata kama hupendi.
Hapohapo on basing CR7 v Messi ukweli kwamba wote ni washambuliaji na ili uone tofauti mchango wao uko kwenye statistics tu maana maneno maneno tutasumbuana. Kwenye kuwakilisha hizo timu zao naona hats kwa magoli waliyopeleka kwenye kamba CR7 ana ratio kubwa kuliko Messi (ichungulie wikipedia). Lakini uwezo mkubwa wa CR7 angani na ardhini si unakumbuka hat trick ya juzijuzi na Bayern. Miguu yote ilifunga hata kichwa kilitumika katika mechi moja. Hatari sana
Mkuu hapa unaonesha n jins gan usivyoujua mpira....Hawa wachezaj huwez kuwafananisha kwa kufunga uwanjan.., wafananishe kwa movement zao hasa Katka umilik wa mpira na matukio huko kufunga likiwa n tukio moja wapo Katka matukio meng uwanjan...Rinaldo uwezi kumfananisha na takataka messi kwani hata magoli yete aliyofunga kwa jumla ni mengi sana mess hafiki hata nusu. Ninaposema yote namaanisha aliyoyafunga akiwa fc porto, united, Madrid na timu yake ya taifa. Pia ronaldo amedhiirisha kwamba yeye ni bora kwa kecheza timu tofauti tofauti na kupata mafanikio makubwa kwa kila timu aliyoichezea na kuwa kunara wa ufungaji magoli
Pia tukumbuke ronaldo amecheza na viungo katika timu tofauti lakini pamoja na hayo yote ameendelea kutesa kama kawaida.
Sasa tumwangalie messi, ninasema hata nigekuwa mimi, ukaniweka pamoja na iniesta na sharvi kwa muda mrefu nikazoea, kucheza na hao viumbe wa ajabu katika soka, nisingeshindwa keep tu chochote. Au chukulia ronaldo ka angepata nafasi ya kucheza pamoja na hao niliowataja ingekuwaje?
Wote bila shaka mtakubaliana na Mimi kwamba messi ameshindwa kupata mafanikio katika timu yake ya taifa kwa sababu ya kuwakosa hao watu wawili yaani iniesta na shavi.
Hivyo basi messi ninamuona kuwa wa kawaida sana kwa sababu ameshindwa kucheza na kupata mafanikio akiwa hana hao kina iniesta na shavi, lakini ronaldo ninamuona ni bora sana zaidi ya messi kwa sababu amefanikiwa katika timu zote alizozichezea akiwa na wachezaji tofauti tofauti, na kufanikiwa kufunga magoli kama atakavyo.
Ukitaka kuifunga RMA maliza uwezo wa Marcelo na hivyo basi ukimwacha Marcelo apeleke kazi yake kwa wafungaji wake hakika utajua CR7 ni naniMkuu hapa unaonesha n jins gan usivyoujua mpira....Hawa wachezaj huwez kuwafananisha kwa kufunga uwanjan.., wafananishe kwa movement zao hasa Katka umilik wa mpira na matukio huko kufunga likiwa n tukio moja wapo Katka matukio meng uwanjan...
Yaan kwa zaid ya miaka mitatu Sasa Madrid mtu aliye bora kuliko wachezaj wote n Marcelo...yawezekana huwa huangalii mpira zaid ya uefa na El classico...Marcelo anatisha sana.. Tangu Roberto Carlos aondoke huyu jamaa amekua mhimil sana...
Ukiangalia mechi zote za El classico Marcelo Mara nying anaibeba Madrid...without Marcelo no Madrid at all
Haswaaa.... Japo Kuna mech huwa hafungi pamoja na kupewa nafac nying..mfano mech ya juz alikosa Magoal pamoja kusubir mipira ifke kwake lakn hilo halimuondolei credit kama mfungaj..bado nna amin Katka ufungaj wake na si uchezaj na movement zake uwanjan...Linapokuja swala uchezaj na movement zake uwanjan hatofautian kabsa na kina inzagh ama kluvert..Ronaldo anakua mzigo zaid..hata team ya taifa miaka yote alieibeba ureno n Luis nan..angalia nusu fainal ilichezwa kat ya Spain vs Portugal, uero iliyopta.....but in real sense Marcelo n hatar sana...hata mech ya juz Magoal yote mawil yeye ndie mpish mkubwa...anajua jins ya kutia presha kwa wapinzan.....Ukitaka kuifunga RMA maliza uwezo wa Marcelo na hivyo basi ukimwacha Marcelo apeleke kazi yake kwa wafungaji wake hakika utajua CR7 ni nani