Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Muller ni Gwiji? Au hujaiona hiyo?
Kwa Ujerumani soma link hii chini
Franz Beckenbauer - Google Search
Nyie kigezo Chenu cha kuwa na ubora si ni mpaka mchezaji awe umebeba ndoo kubwa duniani ndo maana nikamleta muller kwamba nae ni mchezaji bora maana ana world cup!

Sihitaji uniorodheshee mchezaji gwiji..hapana!

Tafsiri ya mchezaji mzuri na Fundi ni uwezo wake na sio makombe! Na kwenye makombe hapo ndipo Ronaldo anapojifichia...Gaucho hata kama asingezibeba ndoo kubwa bado ungekuwa bora kuliko wachezaji wengi tuliopata kuwaona.
 
Rinaldo uwezi kumfananisha na takataka messi kwani hata magoli yete aliyofunga kwa jumla ni mengi sana mess hafiki hata nusu. Ninaposema yote namaanisha aliyoyafunga akiwa fc porto, united, Madrid na timu yake ya taifa. Pia ronaldo amedhiirisha kwamba yeye ni bora kwa kecheza timu tofauti tofauti na kupata mafanikio makubwa kwa kila timu aliyoichezea na kuwa kunara wa ufungaji magoli
Pia tukumbuke ronaldo amecheza na viungo katika timu tofauti lakini pamoja na hayo yote ameendelea kutesa kama kawaida.

Sasa tumwangalie messi, ninasema hata nigekuwa mimi, ukaniweka pamoja na iniesta na sharvi kwa muda mrefu nikazoea, kucheza na hao viumbe wa ajabu katika soka, nisingeshindwa keep tu chochote. Au chukulia ronaldo ka angepata nafasi ya kucheza pamoja na hao niliowataja ingekuwaje?
Wote bila shaka mtakubaliana na Mimi kwamba messi ameshindwa kupata mafanikio katika timu yake ya taifa kwa sababu ya kuwakosa hao watu wawili yaani iniesta na shavi.

Hivyo basi messi ninamuona kuwa wa kawaida sana kwa sababu ameshindwa kucheza na kupata mafanikio akiwa hana hao kina iniesta na shavi, lakini ronaldo ninamuona ni bora sana zaidi ya messi kwa sababu amefanikiwa katika timu zote alizozichezea akiwa na wachezaji tofauti tofauti, na kufanikiwa kufunga magoli kama atakavyo.
Kuchezea timu tofauti sio ubora. Kama ndio hvy scholes maldin gerrard nao sio bora basi
 
Ronaldo de lima yeye na timu ya taifa tu Club level hana hata kombe je DE LiMA sio bora???
 
Kuchezea timu tofauti sio ubora. Kama ndio hvy scholes maldin gerrard nao sio bora basi
Wanatafuta vichaka vya kujifichia kwa sasa tunachoma vichaka vyote..kichaka cha kucheza ligi tofauti hakipo tena...truth must be told!

Pele mwenyewe alikubali kwamba anashangaa kwanini watu wanamuita yeye mfalme wa soka akasema dunia INA haja ya kumtizama Messi kama king pia.
 
Ndio nawashangaa ina maana alex furgson sio kocha bora sababu kafundisha UK tu??
 
Nyie kigezo Chenu cha kuwa na ubora si ni mpaka mchezaji awe umebeba ndoo kubwa duniani ndo maana nikamleta muller kwamba nae ni mchezaji bora maana ana world cup!

Sihitaji uniorodheshee mchezaji gwiji..hapana!

Tafsiri ya mchezaji mzuri na Fundi ni uwezo wake na sio makombe! Na kwenye makombe hapo ndipo Ronaldo anapojifichia...Gaucho hata kama asingezibeba ndoo kubwa bado ungekuwa bora kuliko wachezaji wengi tuliopata kuwaona.
Gaucho wakati yuko PSG hakuna aliyemfahamu vizuri mpaka pale alipong'ara WC ya 2002 kwa kutoa mchango mkubwa sana kwa timu yake ya Taifa. Kumfunga Turkey kwenye fainali zile ilikuwa kazi ngumu sana maana jamaa pale katikati walikuwa na fundi mmoja alienda kwa jina la Hassan Sasi!
Kwa hiyo hii line ya akina Gaucho unakuta Messi bado ana deni kubwa na tumtie nguvu maana bado muda upo tu. So, Gaucho baada ya lile kombe la dunia ndo akabakia katika ramani ya soka kwelikweli na hiyo ndio hali halisi hata kama hupendi.

Hapohapo on basing CR7 v Messi ukweli kwamba wote ni washambuliaji na ili uone tofauti mchango wao uko kwenye statistics tu maana maneno maneno tutasumbuana. Kwenye kuwakilisha hizo timu zao naona hats kwa magoli waliyopeleka kwenye kamba CR7 ana ratio kubwa kuliko Messi (ichungulie wikipedia). Lakini uwezo mkubwa wa CR7 angani na ardhini si unakumbuka hat trick ya juzijuzi na Bayern. Miguu yote ilifunga hata kichwa kilitumika katika mechi moja. Hatari sana
 
Hilo halipo na haya ndio mungu hayataki eti kati ya mungu na shetni nani ana nguvu eti unasema wote wanalingana kisha na shetani nae ana super power!? Nop

Be specific kati ya Messi na Ronaldo nani fundi basi!

Kwa mtazamo wangu kiuwezo wa mchezeshaji hata Marcelo ni bora kuliko Ronaldo wenu ambae anaweza kuwa anamzidi Marcelo mafanikio na sio uwezo.
hapo naona unaweka mifano tofauti na mpira

hapa unataka niweke mtazamo wangu ila nikiweka unataka nifanane mawazo na mtazamo wako nikipingana na wewe utaona nimekosea japo nishatanabaisha awali

katika post yangu sijasema wangu Ronaldo wala Messi hapo unafosi Ronaldo awe wangu

anko mchezaji anapimwa kwa stats na performance kama mpira ungekuwa magoli Pele angekuwa mchezaji bora ever, manjonjo hakuna kama Gaucho kila siku angeziokota, fouls David Beckham mpira s unaz
 
Hapo kuna utofauti mkubwa mno. Tofauti kati ya Messi and Cr7 ni uwezo.

King messi anatumia akili uwanjani, anakusanya mkoa anafunga. Na hakuna mchezaji yoyote aliyemfikia leo messi tangia soka lianze hapa duniani. Ctaki ubishani wakati ki2 kinaeleweka.

Cr7 ana2mia nguvu/boxer, magoli yake mingi yakupewa na kumarizia.

Kwahiyo ni kosa kubwa mno kulinganisha SHEPHERD na KOKO

1 KING MESSI
2 KING DIEGO
3 pele
4 alfredo de stefano
5 Zinedine
6 requelme
7 cr7
8 redondo
9Burruchagga
9 iniesta
10 Aguero
10 Beckenbauer
11 De lima
12 Dybala
 
Hapo kuna utofauti mkubwa mno. Tofauti kati ya Messi and Cr7 ni uwezo.

King messi anatumia akili uwanjani, anakusanya mkoa anafunga. Na hakuna mchezaji yoyote aliyemfikia leo messi tangia soka lianze hapa duniani. Sitaki ubishani wakati kitu kinaeleweka.

Cr7 anatumia nguvu/boxer, magoli yake mingi yakupewa na kumarizia.

Kwahiyo ni kosa kubwa mno kulinganisha SHEPHERD na KOKO

1 KING MESSI
2 KING DIEGO
3 pele
4 alfredo de stefano
5 Zinedine
6 requelme
7 cr7
8 redondo
9Burruchagga
9 iniesta
10 Aguero
10 Beckenbauer
11 De lima
12 Dybala
We jamaa hata Pirlo humjui kweli?
 
MAMBIENI MESSI AHAMIE UINGEREZA TUPIME UBORA WAKE HALISI,SI ANAZUNGUKWA NA WANAUME NA KUMPETIPETI NAYE KUJIKUTA MWANAUME
 
Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
TOFAUTI NI KUA
Mess mvulana

Ronaldo kidume mwenzetu
 
Mkuu ss tuliocheza mpira wa kisom kidogo angalau tunao ufaham juu ya Hao jamaa...

Ronaldo..., he is a goal machine. Anaweza kufunga Magoal ya kichwa, miguu yote na ana nguvu za ajabu miguun anapopga mawe golin... Hakika analijua goal...huwa nnamfananisha na Ronaldo de lema japo de lima kwenye kuwapunguza mabek na ku score alikua juu zaid kuliko cr7.so mess is the most complete player in the pitch

Messi.....huyu jamaa he is a king play maker.., chenga, driblling, passes n hatar tupu....some time anacheza kama kaka, ama dihno, wakat mwingne kama cr7 mwenyewe...huyu jamaa n hatar...pass za Aina zote.., diagonal pass,turning pass, individual skills na impossible pass.... Wakat wote mess anapokua ana mpira hofu inatanda...

Mwisho kabsa Hawa watu ulipaswa urud nyuma miaka mitatu ungeelewa n yup alie complete player anapokua uwanjan....
 
Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.
Kuna mambo mawili tu yanaweza kukufanya usione tofauti ya Messi na Ronaldo:
1. Upumbavu
2. Kutoangalia mechi ya juzi
 
TOFAUTI NI KUA
Mess mvulana

Ronaldo kidume mwenzetu
cristiano-0.jpg

Kidume, mambo! Nauza hereni
 
Gaucho wakati yuko PSG hakuna aliyemfahamu vizuri mpaka pale alipong'ara WC ya 2002 kwa kutoa mchango mkubwa sana kwa timu yake ya Taifa. Kumfunga Turkey kwenye fainali zile ilikuwa kazi ngumu sana maana jamaa pale katikati walikuwa na fundi mmoja alienda kwa jina la Hassan Sasi!
Kwa hiyo hii line ya akina Gaucho unakuta Messi bado ana deni kubwa na tumtie nguvu maana bado muda upo tu. So, Gaucho baada ya lile kombe la dunia ndo akabakia katika ramani ya soka kwelikweli na hiyo ndio hali halisi hata kama hupendi.

Hapohapo on basing CR7 v Messi ukweli kwamba wote ni washambuliaji na ili uone tofauti mchango wao uko kwenye statistics tu maana maneno maneno tutasumbuana. Kwenye kuwakilisha hizo timu zao naona hats kwa magoli waliyopeleka kwenye kamba CR7 ana ratio kubwa kuliko Messi (ichungulie wikipedia). Lakini uwezo mkubwa wa CR7 angani na ardhini si unakumbuka hat trick ya juzijuzi na Bayern. Miguu yote ilifunga hata kichwa kilitumika katika mechi moja. Hatari sana
Mkuu gaucho wa barca na Brazil n wachezaj wawil tofaut...refer world cup 2006 walipocheza na zizzou...gaucho wa barca n habar nyingne kabsa...
 
Na Uefa champions League barca vs arsenal...au barca vs ac Milan mwaka 2006.. Gatusso hatasahau
 
Rinaldo uwezi kumfananisha na takataka messi kwani hata magoli yete aliyofunga kwa jumla ni mengi sana mess hafiki hata nusu. Ninaposema yote namaanisha aliyoyafunga akiwa fc porto, united, Madrid na timu yake ya taifa. Pia ronaldo amedhiirisha kwamba yeye ni bora kwa kecheza timu tofauti tofauti na kupata mafanikio makubwa kwa kila timu aliyoichezea na kuwa kunara wa ufungaji magoli
Pia tukumbuke ronaldo amecheza na viungo katika timu tofauti lakini pamoja na hayo yote ameendelea kutesa kama kawaida.

Sasa tumwangalie messi, ninasema hata nigekuwa mimi, ukaniweka pamoja na iniesta na sharvi kwa muda mrefu nikazoea, kucheza na hao viumbe wa ajabu katika soka, nisingeshindwa keep tu chochote. Au chukulia ronaldo ka angepata nafasi ya kucheza pamoja na hao niliowataja ingekuwaje?
Wote bila shaka mtakubaliana na Mimi kwamba messi ameshindwa kupata mafanikio katika timu yake ya taifa kwa sababu ya kuwakosa hao watu wawili yaani iniesta na shavi.

Hivyo basi messi ninamuona kuwa wa kawaida sana kwa sababu ameshindwa kucheza na kupata mafanikio akiwa hana hao kina iniesta na shavi, lakini ronaldo ninamuona ni bora sana zaidi ya messi kwa sababu amefanikiwa katika timu zote alizozichezea akiwa na wachezaji tofauti tofauti, na kufanikiwa kufunga magoli kama atakavyo.
Mkuu hapa unaonesha n jins gan usivyoujua mpira....Hawa wachezaj huwez kuwafananisha kwa kufunga uwanjan.., wafananishe kwa movement zao hasa Katka umilik wa mpira na matukio huko kufunga likiwa n tukio moja wapo Katka matukio meng uwanjan...

Yaan kwa zaid ya miaka mitatu Sasa Madrid mtu aliye bora kuliko wachezaj wote n Marcelo...yawezekana huwa huangalii mpira zaid ya uefa na El classico...Marcelo anatisha sana.. Tangu Roberto Carlos aondoke huyu jamaa amekua mhimil sana...

Ukiangalia mechi zote za El classico Marcelo Mara nying anaibeba Madrid...without Marcelo no Madrid at all
 
Ukitaka kuifunga RMA maliza uwezo wa Marcelo na hivyo basi ukimwacha Marcelo apeleke kazi yake kwa wafungaji wake hakika utajua CR7 ni nani
 
Haswaaa.... Japo Kuna mech huwa hafungi pamoja na kupewa nafac nying..mfano mech ya juz alikosa Magoal pamoja kusubir mipira ifke kwake lakn hilo halimuondolei credit kama mfungaj..bado nna amin Katka ufungaj wake na si uchezaj na movement zake uwanjan...Linapokuja swala uchezaj na movement zake uwanjan hatofautian kabsa na kina inzagh ama kluvert..Ronaldo anakua mzigo zaid..hata team ya taifa miaka yote alieibeba ureno n Luis nan..angalia nusu fainal ilichezwa kat ya Spain vs Portugal, uero iliyopta.....but in real sense Marcelo n hatar sana...hata mech ya juz Magoal yote mawil yeye ndie mpish mkubwa...anajua jins ya kutia presha kwa wapinzan.....

Kwa hyo kuwalinganisha Hawa jamaa sio fair kabsa...Ronaldo is quiet different from Messi... Kwa kuangalia matukio ya wachezaj ndan ya uwanja..tukumbuke kufunga n tukio moja wapo ya matukio meng uwanjan
 
Back
Top Bottom