Mesut Ozil kafanyaje?

Acha kuleta udini na kuilaumu dini kwenye hii issue.
Kuna matatizo Kati ya serikali ya China na waislamu. Sasa ozil alipojaribu kuwasemea wale waislamu serikali ya China ilikasirika na wakachukua maamuzi ya kuiadhibu arsenal kwa kufanya mambo haya matatu

1) mechi yao iliyokuwa inafuatia ( vs city) ikafutwa na pia mechi zote zilizofuatia zinazoihusu arsenal zikafutwa

2)Kuna mikataba Kati ya arsenal na makampuni mbalimbali ya china. Sasa mikata hiyo ilikuwa mbioni kufutwa kwasababu ya swala la ozil

3) arsenal wanamiliki migahawa mingi huko china. Migahawa hiyo ikawa mbioni kufungwa kutokana na swala la ozil

Baada ya haya mambo matatu Uongozi wa arsenal ukaamua kuchukua hatua ambazo tunaziona leo

Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine
 
KUNA JAMAA KAELEZA YOTE BA SABABU NAHISI MOD UNGEFUNGA TUHUU UZI
AMEKULA ALICHOPANDA
UJINGA ATUTAKI ALIHISI MSHAHARA TUNAUNYA NDIO ACHEKE AJESHIMU
 
Mkatabaaawakee kuvunjaa nyokooo mpwaa balaaaa wachaa abakii na VIJANA mpaka amalizee hukoo hatareee alijipanga kwenye mkataba
 
Hao Waisrael na hao Wachina sio Wakristo mkuu.
 
Ukweli ni kwa sababu anatetea waislam wanaoteswa. Lakini ingekuwa wengine Dunia nzima ingelimsapoti. Wale waislam wa china wanaoteswa ingekuwa wa dini nyengine dunia ingesapoti, ingekuwa mashoga wale basi dunia ingesapoti lakini kwa sababu ni waislam, imekuwa anachanganya dini, siasa na mpira 😀
 
Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine



Umeelezea vzr ila kuna changamoto nyengine. Ozil hauziki coz Timu nyingi zinakwepa ile salary package yake.
 
ozil huko alipoingia siko kabisa
na sio epl wala arsenal watakua upande wake
 
Kule kwa asilimia kubwa ni dini ya Kiyahudi, uislam ni wa pili, Ukristu ni wa tatu afu kuna dini za nyingine ndogo ndogo. Sioni uhusika wa nchi za Kikristu hapa.
 
Inawezekana pia kuwa sababu maana alikasirisha wadau wengi na ile Kauli yake ya kulaani unyanyasaji wa waislamu wa Uighur huko China.

Poa Inasemekana kuna kipindi alikataa kuvaa badge ya captain yenye rangi za rainbow kama kusapoti agendas za LGBT ni moja ya sababu ya yanayomkuta sasa
 
Arsenal nao pia wanamuhitaji Ozil Vile vile, sina data za 2020 ila mpaka mwishoni mwa mwaka jana Ozil ndio alikuwa anaongoza Mauzo ya Jezi, Alimpita mpaka Auba. Hivyo hata kama Hachezi anawaingizia Arsenal mpunga Mrefu.
 
Duuu ndio Mana Plato hakupenda sanaa demokarsia Mana inatoa Uhuru Wa watu kuongea chochote anachojisikia kama hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi story imezitoa wapi
 
Huyo dogo dini itamuharibia carriar yake ajitathimini kauli za udini kwa waislam China imepelekea timu ya arsenal kupata air time kwenye media.
 
Acha uongo wewe Wachina siyo Wakristo ishu ya Ozil ni wachina ndo wamei blackmail Arsenal... na Waislael siyo Wakristo na Ronaldo hajafukuzwa kwa swala hilo...acha uongo.

Unapata ujasiri wa kuandika vitu vya uongo? huoni aibu?
Umeguswa pambaya.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uwongo huo[emoji849][emoji1787]
 
Sasa hapo mzee mwenzangu ukristo umeingiaje mana wachina hata dini hawana hapa naona umeamua kutumia hisia zako binafsi
Kwahiyo unyanyasaji wa uislamu hauwi unyanyasaji mpaka ufanywe na mkristo
???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…