Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
So what ?Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
huyu aliyenyimwa akiliLaana ya kuwatukana Magufuli, Samia, Makonda
Serikali ya Tanzania inatumia gharama kubwa sn kupambana na Mange badala ya kupambana na umasikini wa watanzaniaMakonda huyu aliyenyimwa akili akapewa makalio makuubwa?
Umbea kama content (kwake), ndio inamfanya ajulikane na kupara followers walio wengi, na wengine hulipia kabisa huo umbea, kupitia app yake. Umbea kwake ni biashara na inamlipa vilivyo.lakini anaweza jikita kwenye content ili apatr real followers wanaofata content na sio UMBEA.
Actualy wasichujua watu, kwenye terms and condition za meta , kuna kifungu ambacho kinatoa nafasi ya goverments kutoa taarifa kama inazushiwa uwongo. And wao wakidhibitisha wanafungaDuh!kizimkazi anamkono marefu sana.Meta Kawapigia simu kama anavyowapigia mahakimu namna ya kuamua kesi? Hatari sana hii nchi
Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
Hatimae wenye akili wameelewa ingawaje wamechukua muda mrefu sana kumfungia aisee.Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
Samia na aheshimiwe,Laana ya kuwatukana Magufuli, Samia, Makonda