META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

Hapa mkuu kuna uzembe wa watu wote wawili, Victims na connector.

Watu wanafanya ujinga bt wapo makini, Especially ukiwa celebrity ndo unatakiwa kuwa makini zaid kusiwe na loopholes.

Victim akiweza kulinda privacy yake bas nothing will happen.

bado sio hoja ya kumfanya yeye afanye anayoyafanya, watu wachakulia powa sana lakini mambo ya kishenzi sana.
 
Huyo Maria Sarungi wako alishakimbia nchi yetu. Akakimbilia nchi moja ya huko ughaibuni. Akaukana uraia wa Tanzania ili kupata uraia wa hiyo nchi ya ughaibuni. Hivyo si raia tena wa Tanzania. Iweje awe na mandate wa ku expose madudu ya nchi yetu (kama yapo)? Yana muhusu nini madudu yetu huyo mkimbizi? Si ajaribu ku expose madudu ya nchi alikokimbilia aone moto utakavyoyaunguza maka..... yake? Shame on her?

HUYO NAE NDIO WALELE, ni watu ambao always wapo desperate kujiona kama ni watu maana fulani hivi
 
Umbea kama content (kwake), ndio inamfanya ajulikane na kupara followers walio wengi, na wengine hulipia kabisa huo umbea, kupitia app yake. Umbea kwake ni biashara na inamlipa vilivyo.
Kuna kipindi alipiga pesa hadi 700M kwa mara moja
 
Ana roho ya kinyama sana yule dem,ile ubepari ni unyama ya nyerere ndiyo imeonekana kwake,anachojali hela tu,wewe ndoa ikivunjika, heshima vunjika,ukijinyonga utajua mwenyewe
Anafurahia anguko la watu wengine
 
Back
Top Bottom