META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

Hii ya Samia kutaka kumfanya mtoto wake mkuu wa majeshi nilivyoona watu wanaamini nilishangaa sana maana ni jambo lisilo wezekana labda huyo mtoto wake angekua tayari yupo ndani ya jeshi na siyo sahivi kwa miaka aliyobakiza madarakani kashachelewa hiyo plan haifanyi kazi
Afrika lolote linawezekana Mkuu..
 
Afrika lolote linawezekana Mkuu..
Hilo haliwezekani hiyo ni plan ya muda mrefu inafanya kazi kwa Rais aliekaa muda mrefu madarakani kama Kagame na Museven,, au kama tayari samia angemkuta mtoto wake tayari yuko Jeshini.
Kusema sahivi amteue mtoto wake kuwa CDF wakati huu kwa muda aliobakiza hataweza
 
Ngoja afunguliwe aje kumalizana na kijani chenu
Wamfungie tu hata kwenda haja. Ni lijinga, hawezi kusaidia upinzani kupambana na chama tawala wala kusaidia serikali kujirekebisha sababu hana hiyo heshima katika jamii japo ana watu wanatazama mambo anayopost
Alikuwa na nafasi ya kufanya mambo ya maana kutokana na idadi ya watu wanaomfatilia yeye akaanzisha soko la kuuza video za uchi na ngono.
 
Hivi huwa ana ndugu kweli au kabaki peke yake duniani? Maana hanaga aibu anamatusi kinoma kwa mtu ambae una watu wa karibu unao heshimiana nao huwezi kuwa na ujasiri wa namna ile maana ni kama unavua nguo sokoni mchana kweupe
Hayo ni matatizo ya Afya ya Akili !!
Sisi tumezowea na kuamini kwamba Kichaa au wengine husema Mwehu ni yule anayevaa nguo chafu chafu, haogi , hanyoi nywele na mambo kama hayo!

Lakini ukweli ni kwamba mtu anaweza kuwa yupo Nadhifu na anafanya kazi zake kama kawaida lakini ni MWEHU !!
 
Ana roho ya kinyama sana yule dem,ile ubepari ni unyama ya nyerere ndiyo imeonekana kwake,anachojali hela tu,wewe ndoa ikivunjika, heshima vunjika,ukijinyonga utajua mwenyewe
Lazima awe hivyo, mtu hawezi akazaliwa na kulelewa ndani ya mifumo ya CCM na kufaidi fursa zake za kilaana halafu abaki akiwa timamu kichwani. Ashukuru kuwa yupo Marekani kajijuta anaishia kuwa mtukanaji, angekuwepo huko angekuwa ni sehemu ya either Malaya wa Chama na serikali au angekuwa sehemu ya kikosi cha watekaji na wauaji.
 

Huyu hapa ana ana followe 1444 tayari
 
Maria Sarungi naye afungiwe pamoja na yule anayejiita Kigogo 2014 ili nchi itulie. Hawa wanachafua nchi yetu mbele ya mataifa mengine. Hakuna nchi hapa duniani inayoruhusu mambo wanayotenda hawa watu ambao kwanza hawaishi hapa Tanzania. Ni puppets wanaotakiwa kukamatwa na kushughulikiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
Huna akili.
Eti hakuna nchi duniani, acheni kufanya madudu, maria ana expose madudu, acheni kuua watu nyie mtakufa pia
 
Hilo haliwezekani hiyo ni plan ya muda mrefu inafanya kazi kwa Rais aliekaa muda mrefu madarakani kama Kagame na Museven,, au kama tayari samia angemkuta mtoto wake tayari yuko Jeshini.
Kusema sahivi amteue mtoto wake kuwa CDF wakati huu kwa muda aliobakiza hataweza
Sijazungumzia kuhusu Rais aliepo madarakani nasema Afrika lolote linawezekana maana hata wengi wanaoteuliwa ni wale wale tu
 
Huna akili.
Eti hakuna nchi duniani, acheni kufanya madudu, maria ana expose madudu, acheni kuua watu nyie mtakufa pia
Huyo Maria Sarungi wako alishakimbia nchi yetu. Akakimbilia nchi moja ya huko ughaibuni. Akaukana uraia wa Tanzania ili kupata uraia wa hiyo nchi ya ughaibuni. Hivyo si raia tena wa Tanzania. Iweje awe na mandate wa ku expose madudu ya nchi yetu (kama yapo)? Yana muhusu nini madudu yetu huyo mkimbizi? Si ajaribu ku expose madudu ya nchi alikokimbilia aone moto utakavyoyaunguza maka..... yake? Shame on her?
 
Back
Top Bottom