META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

Hivi kalishindaga Lottery ama namna ganii?
Maana inaonekana ana permanent permit ya kuishi US!
 
Hivi huwa ana ndugu kweli au kabaki peke yake duniani? Maana hanaga aibu anamatusi kinoma kwa mtu ambae una watu wa karibu unao heshimiana nao huwezi kuwa na ujasiri wa namna ile maana ni kama unavua nguo sokoni mchana kweupe
 
$1200 iwakasirishe meta?!..nyie ndiyo mazamwamwa yake anayoyalisha shudu,eti samia anataka kumfanya mwanae abdul kuwa mkuu wa majeshi Ili atawale milele na nyie mnaamini
Hii ya Samia kutaka kumfanya mtoto wake mkuu wa majeshi nilivyoona watu wanaamini nilishangaa sana maana ni jambo lisilo wezekana labda huyo mtoto wake angekua tayari yupo ndani ya jeshi na siyo sahivi kwa miaka aliyobakiza madarakani kashachelewa hiyo plan haifanyi kazi
 
Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.

Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.

Hakika tz nitajili mpaka meta wame kaa😀😀
 
Actualy wasichujua watu, kwenye terms and condition za meta , kuna kifungu ambacho kinatoa nafasi ya goverments kutoa taarifa kama inazushiwa uwongo. And wao wakidhibitisha wanafunga

Most of people hawasomi term and condition
Hawa wafuasi wa Mange Kimambi Wana akili kweli ya kusoma terms and conditions kweli!?
 
Back
Top Bottom