Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hata hivyo alishapoteza mvuto. sasaivi Maria sarungi ndio dada wa taifa. wameona anatengeneza mpunga bila wao kufaidika. na hata x watamfurumua tu.Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.
Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.