META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

mange Arudi hapa, JF akumbane na "kipigo" cha moderators, akileta jeuri!
====
shida ya mange anajiamini mno wakati hajashika mpini. watu siku hizi wamehamia kwa maria sarungi, hana connections yeye ni siasa tu.
Eti website hakuna wakumzuia....!!! Atapigwa "shadow ban" na "pseudo phishing" ashangae! Teknolojia ya mtandao ipo speed balaa. Si mtishi aendelee!!!
 
Walimfungia account moja ya Instagram akawapeleka mahakamani akawashinda na kuamriwa wamlipe $1200 na gharama za kesi.
Sasa wamekasirika wamemfungia account zake zote,lakini mahakama za Marekani sio za Professor Juma safari hii anawapeleka kwenye mahakama kubwa zaidi na faini kubwa na amri ya kumfungulia.
Hakuna mkono wa CCM wala Samia au TISS hapo.
$1200 iwakasirishe meta?!..nyie ndiyo mazamwamwa yake anayoyalisha shudu,eti samia anataka kumfanya mwanae abdul kuwa mkuu wa majeshi Ili atawale milele na nyie mnaamini
 
Mwana dada machachari mitandaoni anaye julikana kwa jina la Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi huko Marekani amefungiwa kurasa zake zote na Shirika kubwa la upashaji habari-META.

Mange alijulikana zaidi kwa maandiko yake ya kuwatweza watu binafsi na hata Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.
Sijui atakula nini sasa maana kazi yake ni umbea na kutukana watu. Naona tafsiri lugha ya kiswaili kwenda lugha zingine hatimae matusi yamemponnza.
 
Kweli mkuu upo sahii,Kama angekua anafichua maovu ya serikali tu,ingekua poa..ila kuingilia Faragha za watu sio jambo Jema...
Elimu yake ni ndogo mnoo ,yeye aliona ni bonge ya dili?🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Si
Yule naye bhana, hata kama humpendi mtu, huwezi kumsema na kumtukana matusi ya nguoni, bora afungiwe tu

Midomo yake imejaa matusi
mpendi mtu asiyekuwa na Adabu kiasi cha kutukana wakubwa wanaoweza hata kumzaa !!

Ila ikumbukwe hii sio kwa Mange tu bali hata ndani ya CCM silaha yao kubwa ya kupambana na mtu mwenye hoja nzito ilikuwa ni kumtengenezea kashfa ya kumdhalilisha na kutumia nguvu kubwa ya kumtangaza vibaya huyo mbaya wao 😳🙄 !!

What goes around comes around !!
Wenye tabia hizo za Kishetani waache mara moja maana malipo ni hapa hapa !
KARMA is a bitch , kama bado haijakufikia usijali, sooner than later itakubishia hodi ulipo 😳🙌🙏🙏
 
Kwenye elimu mkuu katuzidi Mimi na wewe ana masters degree kasoma mtoni na UAE,kafanya kazi Mashirika Makubwa Huko Gulf..Basi tu akili yake mbaya
Elimu nzuri ni ile ya kuelimika sio ya kuhold Certificates !
Siku zote mtukanaji huwa anadharaulika haraka sana kwa sababu watu humchukulia huyo mtu kama ana matatizo ya Akili !
 
Back
Top Bottom