META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

Hapa mkuu kuna uzembe wa watu wote wawili, Victims na connector.

Watu wanafanya ujinga bt wapo makini, Especially ukiwa celebrity ndo unatakiwa kuwa makini zaid kusiwe na loopholes.

Victim akiweza kulinda privacy yake bas nothing will happen.

bado sio hoja ya kumfanya yeye afanye anayoyafanya, watu wachakulia powa sana lakini mambo ya kishenzi sana.
 

HUYO NAE NDIO WALELE, ni watu ambao always wapo desperate kujiona kama ni watu maana fulani hivi
 
Umbea kama content (kwake), ndio inamfanya ajulikane na kupara followers walio wengi, na wengine hulipia kabisa huo umbea, kupitia app yake. Umbea kwake ni biashara na inamlipa vilivyo.
Kuna kipindi alipiga pesa hadi 700M kwa mara moja
 
Ana roho ya kinyama sana yule dem,ile ubepari ni unyama ya nyerere ndiyo imeonekana kwake,anachojali hela tu,wewe ndoa ikivunjika, heshima vunjika,ukijinyonga utajua mwenyewe
Anafurahia anguko la watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…