Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Upeo/akili ya mtanzania MNYONGE(Kama mnayoitwa na ccm).
 
Kolo, una haki ya Kuwa na hasira
Kwanza mimi si simba ni mwanachama halali wa coastal union mangushi wali ng'ombe ya tanga hasira zitoke wapi na mimi hiyo timu pia ni msekure wa Gsm!
 
Metacha ni kipa wa yanga kwani huu mpira umeanza kutizama lini!
 
Tangu GSM augeukie mpira wetu tayari kuna mambo ya kihuni huni na ujanja ujanja yanafanyuka chini ya kapeti, mbaya zaidi kupata ushahidi wake wa moja kwa moja ni ngumu.

Ila tujue kwa syle hii tunaua mpira wetu, yaani watu 10 wanacheza uwanjani kwa damu na jasho afu mchezaji mmoja anaigharimu timu hii si sawa.
 
Upo sahihi kabisa Mungu atakubariki kwa kusimamia ukweli!
 
Manula kafungwa na Yanga
Ayoub kafungwa na Yanga
Camara kafungwa na Yanga mara mbili leo hii mnamuongelea Mnata aliyejitahidi kupunguza idadi ya magoli ya Yanga kwa kufanya saves tatu za maana sana
 
Wewe kweli ni Kipara Kipya ! Umeona mpira wa jana ? Jinsi Hao Singida BS walivopania mechi na jinsi walivoumiza wachezaji wa Yanga ??? Ifikie mahali ukubali tu huwezi kushindana na Yanga katika kikosi ulichoacho sasa hivi utabaki kumsingizia mara GSM mara TIFUATIFUA
 
Milango ipo wazi kwa Mo Kanjibai kudhamini timu nyingine ,halafu mwambieni TAJIRI janja janja alete wachezaji wa ukweli asiokoteze ,amwage Mpunga ,azizi watu wamewekeza zaidi ya 400m halafu mnataka mshindane na Yanga?
Ndugu usisumbuane na mb.mb.mbu
 
Bado mdogo ukikua utajua mengi!
 
Manula kafungwa na Yanga
Ayoub kafungwa na Yanga
Camara kafungwa na Yanga mara mbili leo hii mnamuongelea Mnata aliyejitahidi kupunguza idadi ya magoli ya Yanga kwa kufanya saves tatu za maana sana
Kiini macho!
 
Kwa lile shuti ka pakome lililopita katikati msitu wa wachezaji kipa kuliona ilikuwa kazi.
Jana singida walijitahidi ila waliniudhi kujiangusha na kucheleweshachelewesha mpira kwa maksudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…