Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .

Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.

Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,

Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!
Upeo/akili ya mtanzania MNYONGE(Kama mnayoitwa na ccm).
 
Kolo, una haki ya Kuwa na hasira
Kwanza mimi si simba ni mwanachama halali wa coastal union mangushi wali ng'ombe ya tanga hasira zitoke wapi na mimi hiyo timu pia ni msekure wa Gsm!
 
Maskin maskin Nyau fc kila sehem ya moto ,,ina maana metacha alivyo sevu mashut mengi huyaoni unaona la kufungwa tuu? Mbona manula tulimla ,akaja Ayub mwarabu yule tukamla akaja na dogo Ally Salim tukamla ,inakuaje metacha unamtupia lawama?? Attempt zote zile yanga walifanya huzioni ? Kipa alifanya kazi yake Tena Zaid usmkatishe tamaa

Nyau fc hata wakipigwa na timu yeyote watasema kua yanga inahuska wao kupigwa hawawez kosa kisingizio watasema hata yanga walinunua waliohonga kipa wao afungwe
Metacha ni kipa wa yanga kwani huu mpira umeanza kutizama lini!
 
Tangu GSM augeukie mpira wetu tayari kuna mambo ya kihuni huni na ujanja ujanja yanafanyuka chini ya kapeti, mbaya zaidi kupata ushahidi wake wa moja kwa moja ni ngumu.

Ila tujue kwa syle hii tunaua mpira wetu, yaani watu 10 wanacheza uwanjani kwa damu na jasho afu mchezaji mmoja anaigharimu timu hii si sawa.
 
Upo sahihi kabisa Mungu atakubariki kwa kusimamia ukweli!
 
Manula kafungwa na Yanga
Ayoub kafungwa na Yanga
Camara kafungwa na Yanga mara mbili leo hii mnamuongelea Mnata aliyejitahidi kupunguza idadi ya magoli ya Yanga kwa kufanya saves tatu za maana sana
 
Wewe kweli ni Kipara Kipya ! Umeona mpira wa jana ? Jinsi Hao Singida BS walivopania mechi na jinsi walivoumiza wachezaji wa Yanga ??? Ifikie mahali ukubali tu huwezi kushindana na Yanga katika kikosi ulichoacho sasa hivi utabaki kumsingizia mara GSM mara TIFUATIFUA
 
Milango ipo wazi kwa Mo Kanjibai kudhamini timu nyingine ,halafu mwambieni TAJIRI janja janja alete wachezaji wa ukweli asiokoteze ,amwage Mpunga ,azizi watu wamewekeza zaidi ya 400m halafu mnataka mshindane na Yanga?
Ndugu usisumbuane na mb.mb.mbu
 
Wewe kweli ni Kipara Kipya ! Umeona mpira wa jana ? Jinsi Hao Singida BS walivopania mechi na jinsi walivoumiza wachezaji wa Yanga ??? Ifikie mahali ukubali tu huwezi kushindana na Yanga katika kikosi ulichoacho sasa hivi utabaki kumsingizia mara GSM mara TIFUATIFUA
Bado mdogo ukikua utajua mengi!
 
Manula kafungwa na Yanga
Ayoub kafungwa na Yanga
Camara kafungwa na Yanga mara mbili leo hii mnamuongelea Mnata aliyejitahidi kupunguza idadi ya magoli ya Yanga kwa kufanya saves tatu za maana sana
Kiini macho!
 
Kwa lile shuti ka pakome lililopita katikati msitu wa wachezaji kipa kuliona ilikuwa kazi.
Jana singida walijitahidi ila waliniudhi kujiangusha na kucheleweshachelewesha mpira kwa maksudi
 
Polepole kila mtu Kwa yanga hii atachanganyikiwa huyu mleta mada awahishwe milembe Kwa machizi wenzie.
GaudhXCWoAE6O6q.jpeg
 
Back
Top Bottom