"Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

Well...ikiwa paid ndo itakuwa na growth ndogo sanaaa..

Bill Gates sikuzote anajua kuharibu tu huku akijionyesha anajali kwambele..
Muacheni mzee wa watu apumzike, hayupo huko Microsoft. Kiranja Mkuu wa Microsoft anaitwa Satya Nadela.

Pia Microsoft wapo vizuri sana kwenye Cloud issues, wamepower vitu vingi sana, unaweza Cheki Azure,
 
Microsoft hayupo kwasasa anadeal na kindakindaki na maswala ya Depopulation na kutafuta Elixir of life
 
Tumejipangaje kama waTanzania tunao vielewa ili boom likija tuwe mstari wa mbele??
Kwa mtazamo wangu; wakati tunaendelea kujifunza na kuyafanyia kazi mengine.

Basi katika ujuzi ulionao ni bora either ukaendeleza ujuzi wako uendane na digital world. OR

Tuendelee kujifunza ujuzi mpya ambao unaendana na digital world.
 
The dream will be true if and only if Quantum teleportation will be reality. Until now no any physt has poven it to be real. Ajaribu kuwashirikisha wachawi wa Afrika kutimiza ndoto yake they know the stuffs. Instant communication is very advanced technology which need advance physics, at that point we will no longer be human but aliens.
We are steal human so don't think about metaverse.Ni kama Elon na Life in Mars, mpaka teleportation iwe kweli, vinhinevyo utaendekea kuwa uongo na masumbuko ya akili ambayo hupelekea kuwa mwendawazimu.
 
Kwa mtazamo wangu; wakati tunaendelea kujifunza na kuyafanyia kazi mengine.

Basi katika ujuzi ulionao ni bora either ukaendeleza ujuzi wako uendane na digital world. OR

Tuendelee kujifunza ujuzi mpya ambao unaendana na digital world.
Uko sahihi kabisa....
If AI can do what i do, kwanini nisijifunze kuiopperate hiyo muda ukifika nisiwe replaced.
Kwasababu AI inaweza kufanya ninachofanya kwaubora zaidi muda mfupo na gharama nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…