Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

Sinaloa wakikukamata kama ni snitch unakatwa kiungo kimojakimoja ukiwa hai mpaka unazimia kwa maumivu na kufa au wakikuonea huruma unachinjwa kwa chainsaw kama yule jamaa na mjomba wake.
 
Ukiangalia tamthiliya za Kifilipino unajifunza kitu katika utafutaji hela kiharamu kwa sababu fasihi ina-reflect maisha halisi ya jamii fulani

Unakuta muuza madawa ya kulevya mkubwa anamiliki vikosi vyenye silaha za kisasa, na anairithisha hadi familia yake (mke & watoto).

Kubwa zaidi anafanya kazi na viongozi wakubwa serikalini, hivyo hata akikamatwa kunakuwa na wa kumsaidia kutoka jela.

Unakuta hao kina El Chapo wanashirikiana na viongozi ndani ya serikali kwa sababu kama wanajulikana mtaa wanaoishi, kwa nini jeshi zima lisihamie hapo!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sinaloa wakikukamata kama ni snitch unakatwa kiungo kimojakimoja ukiwa hai mpaka unazimia kwa maumivu na kufa au wakikuonea huruma unachinjwa kwa chainsaw kama yule jamaa na mjomba wake.
Hii kitu ukiangalia narcos Mexico ndio imeelezewa sana..
Hizo drug cartels zina nguvu sana yaani hata Rais au mkuu wa majeshi wanachukuliwa poa

Ila natamani kungekuwa na business legit yenye cartels zenye nguvu kama hizo haswa kwa nchi zetu hizi.. Pengine wanasiasa wangepunguza kujiona ni demi gods
 
Mbunye business
 
Hiyo nguvu inatengenezwa kwa matukio ya kikatili sana yanayo vunja sheria na utu wa binadamu.
Ngumu kwa biashara 'legit' kutumia nguvu hizo ikabaki kuwa 'legit business'.
 
Dah...umenikumbusha home. Sinaloa nyumbani kabisa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…