Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

Pablo Escobar alitaka alifute kabisa deni la taifa, rais akakataa
Huyo alikuwa balaa na angekuwa hata mayor au Rais ila walikataa kwa hela chafu
Nimeangalia documents zake nyingi sana kwenye Netflix
Yaani alikuwa na hela na nguvu za ajabu

Ila kama kuuwa ameuwa sana na alikuwa anaogopewa haswa
 
Hakuna drug kingpin anaekamatwa bila USA kuhusika. Kuna uhusiano complex sana kati ya CIA na Drug cartels. Sio marafiki wala sio maadui.
Nafikiri wana uhusiano mkubwa kiasi cha wao CIA kuwa na uwezo wa ku control iingie kiasi gani sokoni

Huwa nashangaa hata hapa [emoji636] wanakumbia kuna kiasi gani kipo na thamani yake katika soko la ndani

Hii ni biashara ya wakubwa na inakuza uchumi haswa
Waafrika kila kitu tunaambiwa haram wakati wenzetu ndio mzunguko wa hela nchini

Wana akili sana
 
True kabisa brother, CIA involvement is deep in this shit and some of that dirty money zinatumika kurun off-the-book blackops.

Kwa baadhi ya nchi za South and Central America, drug cartels ni alternative tools za CIA. Nchi isipo-align na US interests cartels zinatumika ku-destabilize na kupush interests. Na at times cartel wasipo-align na CIA interests wanakumbana na mkono wa chuma kma hii ya dogo wa El Chapo.

Crazy world out there!
 
Umesema ukweli kabisa kuwa hii ni biashara ya wakubwa
Wachache wanaliona hili mkuu

This shit is real
Hebu imagine kwanini wazungu wamegawana hata huko Afghanistan
Yaani wanaenda kukaa huko miaka kwa ajili ya nini? Jibu ni Opium

[emoji636] wapo Helmand province na ndio panapolimwa sana

Huko Mexico na kwingine kila leo mauwaji na biashara inashamiri tu na Unga wote unaenda [emoji631] na kwingine

Wanahakikisha jeshi la maji na anga linazunguka na kukamata wote wanaopitisha kwa Magendo halafu tunapewa na bei kabisa eti wamemwaga baharini baada ya kuikamata

Hivi cost yote ya chopper kupaa na meli zote who pays ?
Kama sio makusanyo hayo ya Unga
 
Ina maana serikali ya Mexico imezidiwa nguvu na wahuni ?
Shida sio wahuni! Shida ni kua wahuni wana mpunga mkubwa afu wamejijenga kijeshi wana siraha za kisasa na jeshi binafsi mbali na kununua baadhi ya maafisa muhimu kabisa wale wa serikali na kijeshi... So wamejiwekea protective layer kwenye maisha yao..
 
Back
Top Bottom