The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,huyu kijana aliwahi kukamatwa,genge lake likatembeza kichapo mtaani na ikawa kama vita kati ya hawa drug cartels na Polisi,ikabidi kijana aachiwe huru ili kuirudisha amani.Huyu kijana ashakamatwaga miaka sita iliyopita means alitoka jela akaendelea na Business na ndo leo wameamua kumdaka tena na ataachiwa