Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

Ukicheki utakuta ni biashara ambayo hata wamarekani kama serikali inawasaidia.Mujusi na kenge.
 
George W. Bush alitua Iraq katikati ya vita kali... USA ni kitu ingine.
Ziara za Marais wa U.S kwenye nchi zenye vita hasa Iraq huwa hazitangazwi kabla. Ni za kushtukiza

Bush (akiwa rais) alifanya ziara nne Iraq ambazo hazikutangazwa kabla na mbili Afghanistan. Tena ile ya Iraq ya Disemba, 2003 (ambapo vita bado ilikuwa mbichi kabisa) alikaa kwa muda wa saa 2 na nusu tu.

Drama za Hollywood zisikuchanganye mzee. Katika dunia halisi kuna wahuni na vichaa hawajui nani rais wa Marekani. Na Wamarekani wenyewe wanajua hilo na wanakuwa makini.
 
Sinaloa wakikukamata kama ni snitch unakatwa kiungo kimojakimoja ukiwa hai mpaka unazimia kwa maumivu na kufa au wakikuonea huruma unachinjwa kwa chainsaw kama yule jamaa na mjomba wake.
Hao magaidi wanaua watu na kuuwana kikatili mno mno mno. Ni mashetani wa kibinadamu.
 
Hata mimi nimeshangaa sn ktk hili.Halafu huyu dogo anaonekana ni moto wa kuotea mbali bora hata baba yake
 
Mexico wenyewe wasingeweza. Hapo DEA wamehusika.

Cartels zina nguvu sana, omba isitokee hapa Tz
Sisi ambao after 60 years ya uhuru bado yunajivunia hatukupata uhuru kwa damu tuwe na cartels?🤣🤣 bado sana
 
Back
Top Bottom