Mexico: Wiki moja kabla ya ziara ya Rais Biden, mtoto wa El Chapo akamatwa Mexico

Huyu kijana ashakamatwaga miaka sita iliyopita means alitoka jela akaendelea na Business na ndo leo wameamua kumdaka tena na ataachiwa
Mkuu,huyu kijana aliwahi kukamatwa,genge lake likatembeza kichapo mtaani na ikawa kama vita kati ya hawa drug cartels na Polisi,ikabidi kijana aachiwe huru ili kuirudisha amani.
 
Kwahiyo Rais wa marekani asiogope vita na magaidi aogope drug cartels? Huyo baba wa mtuhumiwa mbona ananyea ndoo Marekani?

Marekani ni baba wa dunia taka ama usitake
 
Kwahiyo Rais wa marekani asiogope vita na magaidi aogope drug cartels? Huyo baba wa mtuhumiwa mbona ananyea ndoo Marekani?

Marekani ni baba wa dunia taka ama usitake
Bahati mbaya sana umekosea njia. Mimi sio wale mashabiki humu Jf. Watafute wengine.


Nilikuwa naweka sawa tu baadhi ya mambo.
 
Hapa ndipo marekani inapozidi kuchukua max, kutokana na upumbavu wa dunia, mfadhili mkubwa wa madawa ya kulevya ni yeye mwenyewe hivyo kukamata mawakala wake(drug lord) na kuwachia ishakua jambo la kawaida.
 


Dogo walimkamata 2019 vituo vyote vya polisi vilisafishwa hapo sinoloa , zilitembea chuma siku 3 usiku na mchana polisi wakamwachia bila masharti
 
Sinaloa ilichezwa series ya Narcos Mexico humo yupo El Chapo..halafu kuna series moja inaitwa ZeroZeroZero limechezwa Monterrey utakuja kunitafuta hapa hilo tambala sanaaa yanii
Usiiache nyuma Queen of The South
 
The Sinaloa cartel gave the Mexican government an ultimatum. If Ovidio, El Chapo's son, is not released within 72 hours, gas stations and government buildings will be burned. The cartel fears Ovidio's extradition to the US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…